nchi

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania kwanini nchi zenye ukaribu na US/wazungu zinafanikiwa kiuchumi kuliko zile neutral au zenye ukaribu na Russia/China au Warabu

    Mfano Korea Kusini Taiwan Kwa East Africa Kenya. Israel middle east Rwanda (japo bado anaungaunga) Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania itafanikiwa endapo 90% ya Wananchi watakuwa wamepata elimu na kujifunza nidhamu ya kufuata sheria

    Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Propaganda za CHADEMA na mkakati wa kuchafua taswira ya nchi

    Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua siri nyingi kuhusu chama hicho. Kauli ya Dk. Slaa inahusiana moja kwa moja na madai ya kutekwa kwa...
  4. Bams

    JamiiForums Tanzania Kwenye Haki za Wananchi, Awamu Hii, Nchi Ipo Kwenye Hali Mbaya Kuliko Awamu Yoyote

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo. Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya awamu hii. Kwenye awamu zilizopita, mathalani wakati wa utawala wa Kikwete, Dr Ulimboka alitekwa...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kaskazini wako nchini Russia kuisaidia nchi hiyo kwenye vita vyake na Ukraine

    Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na Vladivostok, na katika kituo cha kijeshi huko Khabarovsk. Inadaiwa kuwa vikosi vya ziada vya DPRK vimewekwa...
  6. ADOLPH EMMANUEL

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kubadilisha mindset za Watanzania ili kuifikia nchi ya ahadi.

    Watanzania wengi (Waafrika) mindset zetu kuna namna bado haziko huru yaani bado zinatawaliwa na watu wachache hasa mataifa yaliyoendelea. Inawezekana nitakuwa natumia lugha ngumu kama nikisema tuna colonised mind. Ndio ni maneno makali lakini huo ndio ukweli. Kuna mambo tunashindwa kuyafanya na...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wa Tanzania tuna katiba Bora kuliko ya wa kenya

    Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
  8. Logikos

    JamiiForums Tanzania To my African Comrades (Kama hatuwezi kusimamia lolote, tunaweza kusimamia Nchi)

    Preamble: Binafsi naamini Free market na Competition ndio inaleta Huduma Bora na Bei rahisi kutokana na kwamba watu wanashindana kugombania wateja. Ingawa kuna mambo ya Huduma naamini kabisa Serikali / State ni muhimu kujikita kinagaubaga.., Mengine yote luxurious hatuna haja ya kuweka Kodi zetu...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi 2 zinazoshindwa kutoa wachezaji 11 bora AFCON

    Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi? tumerogwa?
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

    Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa. Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Dkt. Kikwete: Amani na Utulivu nchini kwetu ni matokeo ya msingi imara uliowekwa Hayati Mwalimu Nyerere

    RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?

    Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Iran: Takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa

    Nchini Iran takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa Wadau hamjamboni nyote? Huu ni utafiti kuhusu biashara ya magendo ya mafuta nchini Iran na uhusika wa Viongozi waandamizi kisiasa na kijeshi kufanikisha biashara...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa: Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine kukuza Uchumi wa Kidijitali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine duniani katika kukuza uchumi wa kidijitali kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa katika sekta ya TEHAMA. Waziri Silaa aliyasema hayo wakati akifungua kikao...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

    Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Ni Nchi Tano tu zinatengeneza nusu ya Pato la Taifa la Afrika

    Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa. Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato lao la kiuchumi kwa pamoja ni sawa na lile la bara zima. Data imetolewa kutoka Shirika la Fedha la...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania, nchi ya watu wastaarabu

    Kwanza nianze kwa kumushukru Mungu muumba mbingu na nchi na Yesu kristo mwokozi wetu. Naomba kutoa wito kwa viongozi wote wa selikari ya Tanzania kuongoza nchi hii kistarabu kwa sababu Tanzania ni nchi ya watu wastarabu. Watanzania siyo wajinga Wa Tanzania ni wastarabu. Wa Tanzania wamejaa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tuilinde nchi Yetu Tanzania

    Tanzania ndio nchi pekee ambayo ni mama Yetu. Hivyo ni lazima tuilinde tuipende na kunilinda. Tanzania ndiyo nchi pekee katika Bara la Africa ambayo imejariwa Amani upendo na mushikamano. Tuilinde tuipende Tanzania
  19. Papaah

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi tembelea @bambalivetz

    Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah.. Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu. Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo...
  20. Soul21

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaleta utamaduni wa ovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia

    Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!! Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo. Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki. Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi...
Back
Top Bottom