nchi

  1. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

    Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram. Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania D.R.C Taifa lililolaniwa tangu wapate Uhuru

    Kongo imelaaniwa, tangu wapate Uhuru hawajawahi kupata utulivu. Dalili kuu ya mtu au Taifa lililolaniwa ni kukosa utulivu. DRC nchi iliyojaa madini. Kuna sehemu ukiingia msituni kabisa huko ukichota mchanga gunia 1 unaweza kupata pure gold debe moja lakini kwasababu ya laana iliyotokana na...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Je, kuzaliwa baharini kunakupa Uraia wa Nchi gani?

    Kuzaliwa baharini ni tukio la nadra linalochochea maswali ya kisheria na kijamii kuhusu utambulisho wa uraia. Je, mtu anayeona mwanga wake wa kwanza akiwa majini, anahesabika kama raia wa nchi gani? Swali hili linaibua changamoto za kipekee, huku majibu yake yakitegemea vigezo mbalimbali...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ni kama sielewi naombeni ufafanuzi, Kumewahi kuwa nchi au falme inayoitwa Palestina kabla ya 1948 inayoongozwa na waarabu kabla ya 1948 ?

    Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
  5. Full charge

    JamiiForums Tanzania Usalama wa US Aids ukoje katika nchi zetu?

    Sorry wakuu mimi mdogo wenu kuna muda najiwazia tu. Back to the point,Hivi hii misaada ya nchi za Magharibi inayokuja Afrika usalama wake ukoje? Hapa namaanisha:net,vifaa vya uzazi wa mpango,vyakula,dawa nk. Mfano net zao tunaambiwa zimetiwa sumu ya kuua mbu ila sijawahi kukuta mbu chini...
  6. kwisha

    JamiiForums Tanzania DRC nchi iliyobarikiwa utajiri wa asili ikapewa laana ya viongozi

    Katika nchi ambayo inachekesha na kuumiza ni DRC Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) ina rasilimali nyingi za asili, ambazo ni muhimu kwa uchumi wa nchi na pia kwa dunia. Baadhi ya rasilimali muhimu ni: 1. Madini: Cobalt: RDC ni mtayarishaji mkuu wa cobalt duniani, ambao ni muhimu kwa...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Katika majukumu 2018-2022 Nchi za Urusi, Armenia,Vietnam,Thailand na Singapore, nilidakwa na Binti Mnyaru kimahusiano nikagundua kagame Noma Hatari

    Asalaaaaamu, Britanicca hapa! Matumaini yangu ni wazima ! Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake! Kagame mnyoshee mikono! Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Yanga ndio timu pekee iliyoshinda mechi katika Nchi nyingi za kigeni

    Yanga inajivunia kionesha umamba katika Ardhi nyingi za kigeni kuliko timu yeyote Tanzania na Afrika Mashariki Misri Tunisia Nigeria Liberia Mauritania South Africa Congo Drc Algeria Rwanda Somalia Ethiopia Burundi Loading.......... Ni timu inayotarajiwa kuweka rekodi nyingine ya kutinga...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

    Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi. Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Lebanon anasema magaidi wa hezbollah hawana nafasi katika nchi hio

    Mwamba anaitwa joseph aoun. Aliwahi kuhudumu kama jenerali katika jeshi la Lebanon.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini shule zinafungwa na kufunguliwa siku moja kwa nchi nzima?

    Shule zetu zinafungwa na kufunguliwa siku moja nchi nzima. Inawezekana wazo hili lina nia njema na manufaa. Hata hivyo, naona utaratibu huu una changamoto ambazo zina athari kubwa mno kwa wanafunzi na wazazi. Baadhi yake ni changamoto ya usafiri, malazi na chakula safarini. Vyombo vya usafiri...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye biashara ya vitenge Jumla na Rejareja. Mikoa yote Tanzania na nchi jirani.

    Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge vikiwemo vitenge kutoka Tanzania, Kongo, Nigeria, Ghana na China (mfano Wax aina zote, Java za Kongo na...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana. Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya...
  15. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi Kuhusu Mambo ya Nishati

    Wakuu Tanzania tunategemewa kuwa host wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaenda kwa jina la Africa Heads of State Energy Summit utakaofanyika January 27 - 28, 2025 Dar es Salaam, Tanzania Tungependa Kujua Utaratibu ambao Wizara ya Nishati inatumia Kuinvite delegates na stakeholders mbalimbali...
  16. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Uongo wa kiimani: Majanga ya moto yametokea nchi nyingi sana

    https://www.google.com/amp/s/www.aljazeera.com/amp/news/2021/8/19/mapping-wildfires-around-the-world-interactive Watu hamsomi. Hamjiongezi mkapata taarifa. Wanaibuka watu wanasema ni Mungu amewaadhibu sababu ya Gaza. Hizi akili za watu ambao hawana elimu na ufahamu. Hizi nchi zimewahi pata...
  17. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Hongereni Usalama wote ambao mmeamua kuwa upande wa raia na nchi, kuwa wazalendo.Kazi yenu tunaiona

    Uzi tayari "Wewe jamaa naye ni great thinker?!?"
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wazungu wamewezaje kuwa wazalendo kwa nchi zao kuliko ilivyo kwa Waafrika wengi kwa mataifa yao!

    Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka! Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla! Japo siyo wote, lakini Wazungu wengi wapo tayari kuua, na hata ikibidi wao wenyewe kufa kwa ajili ya mataifa yao, wakati...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Misri na Afrika Kusini zinakoromewa na Wazungu kama wafanyavyo kwa nchi masikini?

    Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi. Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri & South Africa zinazo. Wazungu alau wanaziheshimu au wanaichukulia kama nchi zingine za Afrika...
  20. kwisha

    JamiiForums Tanzania Tunatukana wazungu lakini bado tunajazana kwenda kwao kwa njia ambazo sio halali

    Katika mambo ambayo yanichekesha ni kutokana na nchi za africa jinsi wanavyotukana nchi za magharibi na kusifia urusi,china,iran, Pakistan, korea, na nchi nyingi zinazopambana na nchi za magharibi. Sisi ambao tunapenda nchi za magharibi na kuzisifu tunaitwa vibaraka, mashoga. Lakini sasa cha...
Back
Top Bottom