nchi

  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ni lini tutataka nchi zilizotutawala, dini zilizotudanganya, kutuibia na kutuharibu zitulipe fidia kwa uharibufu na hasara vilivyotusababishia?

    Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii. Kupitia jinai hii, nchi za magharibi na za mashariki ya kati ziliingiza dini na kutuibia mali nyingi huku zikiharibu na...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Afghanistan ni nchi moja safi sana kibinadamu kama mgeni japo vyombo vya habari kutangaza vibaya

    Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa. Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Waliomchomoa Ndugai kwenye Usipika wa bunge, wamuombe radhi, alionya nchi kuendeshwa kwa mikopo..!

    Kina Ndugai walikuwa wakiona mbaali sana, walikuwa wakiziona hizi nyakati, walionya wakapuuzwa na viongozi wa ccm, leo kiko wapi Nchi kujitegemea ndio mpango mzima ingawa mwanzo una maumivu yake lakini ndiyo heshima yenyewe Kina JPM (RIP) walikuwa na jicho kali sana, walijua kuwa, kuna siku...
  4. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Kuna Uhusiano wa Wizi wa Raslimali za Nchi Yetu na Wanasiasa wa Chama cha Democratic cha Marekani?

    Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  6. The Common

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

  7. T

    JamiiForums Tanzania Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni lazima Jenista Mhagama awe waziri wa Afya?, Unataka aaibishe nchi mpaka lini?

    Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu? Miaka...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tazama hizi video 3 ili ukiri kuwa bado wazee kama Wasira wanahitajika kwenye uongozi wa nchi yetu.

    Sio upinzani wala tawala, vijana bado. Kijana kama Yericko na huyu Assenga wanakatisha tamaa mno. Dunia inaenda mbele ila wao bado akili ziko enzi za mawe. Video ya 3 ni vijana wapuuzi wa UVCCM wakicheza kwenye maji machafu. https://www.instagram.com/reel/DFc4a3wSWhI/?igsh=OHVibDR6bDViYmU3...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Huyu lady soloist ni nani na anatokea nchi gani?

    Msikiliziseni na kumtazama msimsumbue
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tanzania tuwe na miji mikuu miwili ya nchi, Dodoma na Dar es Salaam

    Kwa sababu Dar es Salaam bado ni mji muhimu sana katika utawala wa nchi kutokana na uwepo wa miondombinu ya kutosha na kuwa mji mkubwa wa kibiashara na pia kwa sababu kwa upande mwingine Dodoma ni mji muhimu sana kwa sababu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alishaamua na kuelekeza uwe ndio mji mkuu wa...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni. Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tatizo la hii nchi ni ubinafsi

    Watu wachache wanataka wachukue mali yote ya nchi. Wanataka wachukue kila kitu: dhahabu,almasi. In fact,almasi hatuisikii kabisa. Inanikumbusha zamani nilipokuwa shule ya msingi boarding school. Nikaenda nyumbani weekend nikarudi na keki. Nimekaa dormitory nakula keki na rafiki yangu yupo...
  14. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Siasa za misaada ya Wahisani na Madeni, Je, Nchi Zinazoendelea Zinaweza Kufikia Uhuru wa Kiuchumi?

    👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi. source...
  15. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kama CCM imeshindwa kuisimamia katiba ya chama chake, inawezaje kuisimamia katiba ya nchi?

    Utangulizi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na historia ndefu na yenye umuhimu katika siasa za Tanzania. Hata hivyo, kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu ufanisi wa CCM katika kusimamia katiba yake yenyewe. Hali hii inatupa swali muhimu: kama chama hakiwezi...
  16. idoyo

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Tanzania iwe nchi ya kifalme. Tuanze na Malkia Samia

    Halafu Abdul aoe binti wa kisukuma kudumisha muungano.
  17. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi zinazotegemea misaada hali inazidi kuwa ngumu, Elon Musk aanzisha mpango wa kuiua USAID

    Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa” Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wanaandamana kupinga kuondolewa kwa wahamiaji haramu Marekani huku wakipeperusha bendera za Mexico, Honduras, na nchi zinginezo

    Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu. Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu. Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino. Hapa ni katika moja ya viunga vya mji wa Atlanta, GA. Wanaadamana kupigania istihaki [privilege] ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM KUSOMESHA VIJANA WOTE NCHI NZIMA BURE

    Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%.. Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao. Vyenginevyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania List ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara zenye zinazoogoza kwa kuwa na Diaspora matajiri huko Marekani

    Wakati Majirani zetu Kenya wakishika namba 2 sisi Tanzania hatupo kwenye list kabisa. Wakina Kiranga, Bufa na wengine vipi vyuma vimekaza huko sio 😅🤣😂
Back
Top Bottom