nchi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ina majeshi mangapi? Jeshi la Shehe Mwaipopo lipo kwa mujibu wa Katiba ipi?

    Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba JWTZ Jeshi la polisi Jeshi la magereza Jeshi la uhamiaji Na Maaskari game Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi? Na...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini urusi kwa nchi za afrika zinashindwa kuishtaki kwa udanganyifu wa ajira wakapigane Ukraine.

    Malalamiko mengi na mashuuda wameeleza kuhusu urusi ilivyo wafikisha kwa udanganyifu wa ajira na mambo mengine mwisho wa siku wanajikuta kulazimishwa kupigana na ukrain. Cha kushangaza tumeona raisi feki kaenda huko na nyie JWTZ msipo kuwa makini mtapelekwa kwa lolote.
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Kauli zako zinahatarisha Usalama wa Nchi

    "Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali " Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu. Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Motjaba walishamla kichwa au ? unaogopaje kutoka hadharani nchi unayoiongoza iliyojigamba kushinda vita kwenye msiba wa kiongozi mkubwa na mzazi ?

    Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei, Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi. kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika zimeshindwa kutumia uchawi kufanikiwa kombe la dunia?

    Uchawi na uganga unaaminiwa sana Africa ila ajabu pale uchawi unapohitajika zaidi kufanikisha mambo kama kwenye hili kombe la dunia hauonekani kabisa kuleta matokeo, Hii inathibitisha uchawi ni porojo tu, ni kama Nyuki wa mashineni.
  6. JamiiForums Tanzania Je umewahi kukanyaga nchi gani? Taja list yako

    Mimi mpaka sasa nimeshafika nchi hizi: Ethiopia Thailand Timor-Leste Indonesia Myanmar Singapore Ufilipino Msumbiji Japan Sasa ni zamu yako. Taja nchi ulizowahi kutembelea, iwe kwa kazi, masomo, biashara au utalii. Pia ni nchi ipi bado ipo kwenye bucket list yako..mimi nataka sana kutembelea...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Combo ya Tundu Lissu na John Heche kila Mtanzania sasa anaielewa na kuiishi kwa mustakabali na ustawi jumuishi wa nchi yetu pendwa Tanganyika

    Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Jamaa aliewadanganya wapalestina waendelee kupambania nchi hewa huku yeye akijikusanyia mabilioni. Mtoto wake yupo france na ndio mrithi wa mabilioni

    Jenzii wengi hawawezi kumuelewa huyu tapeli
  9. JamiiForums Tanzania Hii nchi vipi, imekuaje Kila Kona ni malalamiko na vilio?

    Aisee imekaaje hii, mbona Kila kitu kimekua hovyo. Vilio Kila Kona imekaaje hii?
  10. JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye amani Afrika, Tanzania haimo. Salaam kwa Samia na Mwigulu

    Nafasi ya amani Afrika Chanzo cha picha,ABI Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi na Zambia MY TAKE Kila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindaje amani ambayo haipo? Wanalinda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wajaluo kuna makabila maarufu upande wa Tanzania yenye mafanikio makubwa nchi jirani?

    Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
  12. JamiiForums Tanzania CCM inaogopa na inawaza siku wakishika nchi CHADEMA ndio mwisho wa wao umeishia hapo

    Tokea kupata uhuru kumekuwa na uchafu mwingi na mambo mengi ambayo si rahisi hawa watu kama msipo kaza buti. Tena wanatakiwa kutolewa kwa nguvu sio maneno ya kubembeleza. Walicho wahi sasa ni kuingiza mpaka jeshi la nchi kuwalinda na idara za polisi na TISS. Tarehee 7 msije shangaa mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Maisha katika Nchi za Ulaya kama Uingereza (UK) ni Rafiki kwa Wahamiaji Wanaotafuta Maisha Bora?

    Kwa miaka mingi, nchi za Ulaya, hususan Uingereza (UK), zimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wanaotafuta maisha bora. Wengi huamini kuwa huko kuna ajira nyingi, mishahara mikubwa, huduma bora za afya na elimu, pamoja na fursa za kujenga maisha yenye utulivu. Hata hivyo, swali la msingi ni: Je...
  14. JamiiForums Tanzania Unafikiri kwa nini Mabeberu hayapigi vita maendeleo ya Makanisa na shule katika nchi maskini?

    Habari za Jumapili. Kwa uelewa wangu huu ninaamini kabisa Wazungu, mabeberu kamwe hawataruhusu nchi walizozitawala ikiwemo Tanzania ifanye Jambo ambalo litaiinua nchi, kuiendeleza, ikiwezekana kuwapita wap. Mtibeli naamini, Ukiona Mzungu hakuzuii kufanya Jambo Fulani linalokufanya uendelee...
  15. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru, umeme ni WA grid ya Taifa unakatika masaa 5, usalama wa nchi u wapi?mwizi wa RASIRIMALI akiukata anatuua wote

    Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani. Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme IKITOKEA IMEKATIKA mkoa unawash? Mwizi wa RASIRIMALI alkipitia hapo si atatumaliza wote kasoro ikulu?
  16. JamiiForums Tanzania tanzania imeingia kwenye Nchi 5 zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV duniani

    Kwa mujibu wa makadirio ya kimataifa ya hivi karibuni hizi ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV South Africa – Takribani milioni 8.3 India – Takribani milioni 2.5 Mozambique – Takribani milioni 2.4 Nigeria – Takribani milioni 2.0 Tanzania – Takribani...
  17. JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme nchi nzima ni mbinu ya kupooza maandamano ya July 7

    Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno. Kuzima umeme nchi nzima kamwe hakuwezi kuwa ni tukio la bahati mbaya wala kuhusianishwa na tangazo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hivi anaevunja amani ya nchi ni nani hasa; yule anaetaka haki yake ya kikatiba ya kuandamana kwa amani au yule anaekataa katakata kumruhusu aandamane?

    Yaani imefikia kwamba katika uongozi wa Raisi Samia na CCM yake, wao wakisikia tu maandamano wanatafsiri kuwa ni uvunjifu wa amani. Hata siku moja sijasikia wakisema tutalinda amani ili kuhakikisha watu wanaandamana bila vurugu. Raisi Samia na viongozi wote wa serikali na CCM, maandamano yeyote...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: wafuasi na Viongozi wa CHADEMA heshimuni kauli za viongozi wetu hiyo jeuri yenu kafanyieni kwenye nchi zingine siyo Tanzania

    Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi ya kuvuruga amani ya Tanzania hilo halipo kabisa huu ndo ukweli. Hamna mtu mwenye uwezo...
  20. JamiiForums Tanzania Awamu ya sita ndo inaongoza kua na viongozi mzigo kwa wananchi kuzidi awamu zote. Tangia nchi imepata uhuru

    Awamu zote hiii awamu kiboko Ina viongozi mzigo kuanzia kitongoji mpka huko juu kwenye mihimili wana uwezo mdogo sana IQ na EQ zao kwakweli zinatia mashaka makubwa sana. Jamani hata kama mlijichagua bila kuchanguliwa na wananchi ndo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…