Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,834
- 21,076
Nitajirekebisha na siku nyingine nitakuwa makini.
Upo tungi nini ? maana Uzi umeandika kama unakimbizwa , embu tulia na tupe mkasa kamili tupate kujifunzaNitajirekebisha na siku nyingine nitakuwa makini.
Safi nini mkuu? Uzembe si kitu cha kupongeza.Safi sana
Hakuna mengi ya kuongeza mkuu. Nimejikuta tu nimeingia kuchangia mada. Baadaye ndiyo kuja kushtuka.Upo tungi nini ? maana Uzi umeandika kama unakimbizwa , embu tulia na tupe mkasa kamili tupate kujifunza
Utajua mwnyw hukoSafi nini mkuu? Uzembe si kitu cha kupongeza.