nchi

  1. K

    Wafahamu wajinga wa aina 2 wanaoiumiza nchi

    Katika hii dunia, tunao watu wajinga sana wa aina mbili: Wajinga wenye kaujanja fulani, wenye uwezo wa kupewa elimu na kuacha ujinga. Wajinga wenye upumbavu wa kuwatotosha, uliowasahaulisha Mwenyezi Mungu na kuwafanya kujihisi kuwa na kauungu ndani yao. Tusichoke kutoa elimu ili tulinusuru...
  2. L

    Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana. Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi...
  3. L

    Ushuru wa Trump kwa nchi washirika wake wa kibiashara huenda ukaifanya Marekani iishie kujipiga risasi yenyewe mguuni

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika wake wa kibiashara kwa kutoa vitisho kwa nchi mbalimbali duniani, huku akitilia mkazo sera ya...
  4. Mhafidhina07

    Inakiwaje Nchi ya Misri imekosa nabii hata mmoja?

    Kwanza naomba kujua ni sababu zipi wazungu waliziona kwa misri na nchi nyengine za mashariki ya kati kuziunganisha na bara la Afrika? Je ni usalama au Kuwagawa waarabu? Jambo la pili inakuwaje nchi kama Misri ambayo inahistoria kubwa mno,imeshindwa kutoa hata nabii mmoja,Kiongozi(sayansi...
  5. D

    Biteko anafaa kuwa rais baasa ya Samia kuongoza nchi kwa takribani 40 years mana hatujawahi kuwa na rais aina hii.

    Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru. Rais mpole na msikivu Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na...
  6. S

    Ukitaka kujua nchi hii ina wenyewe, uliza tenda zote za mabilioni za huduma kwenye mradi wa bwawa la Nyerere nani walipewa!

    Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
  7. I

    Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  8. Amba Samedi

    Hali ya Elimu katika Nchi Yetu Sasa

    Habari wanajamvi, Naamini tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kufunga mwaka wa 2024. Mungu amekuwa mwema kwetu, na ni kwa kudra zake tunaendelea kuishi. Jana nilimtembelea rafiki yangu mmoja. Yeye na mke wake ni waalimu wa sekondari. Tuliongea mengi, na mojawapo ya tulivyovigusia ni hali ya...
  9. THE BIG SHOW

    Ni rahisi sana kwa CHADEMA kumpa Tundu Lissu nafasi awe Rais wa nchi kuliko kumpa uenyekiti wa chama

    Friends and Our Enemies, Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao. Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
  10. Knock life

    Ipi kazi ngumu kati ya kuongoza nchi na kuongoza chama cha siasa?

    Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa . Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
  11. K

    Rasimalimali za nchi ni muhimu kulindwa na kila mtu , uwanja wa Taifa ni miongoni mwa rasimalimali muhimu Kwa maendeleo ya vipaji vya soka

    Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo. Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa...
  12. Titicomb

    Lissu anaweza kuivusha nchi lakini hawezi kukivusha chama chake!

    Haya maajabu au dharau kwa watanzania? Kwamba baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wanasema Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao lakini hao hao wanasema anafaa(alifaa mwaka 2020) kuongoza nchi nzima ya Tanzania. Tutafakari! Demokrasia iwe kwa vitendo siyo kwa maneno matupu ya majukwaani au...
  13. U

    Wazo langu: amani ya kweli itapatika Mashariki ya kati kwa kuigawanya nchi ya Syria kuwa nchi

    Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo Syria igawanywe kuwa nchi 2 Lebanon igawanywe kuwa nchi 2 Siku njema
  14. Bullshit

    Nchi za Kiislamu Zinazotoa Hukumu ya Kifo kwa Kuacha Uislamu

    Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na tafsiri za sheria za Kiislamu kuhusu “kufuru” au “apostasy” (kuasi dini). Ingawa si nchi zote za...
  15. F

    Tanzania haipo kwenye mpango wa 2025 wa internet ya StarLink ya Elon Musk; zipo nchi mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji. Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
  16. M

    Tuchambue Wazungu wa nchi mbalimbali kwa sifa na tabia zao.

    Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni sifa, tabia na hulka zipi walizo nazo? Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili, Wafaransa...
  17. G

    ATC kuzuiwa kutumia anga la nchi za EU, vyombo vya habari vimezibwa mdomo tena?

    Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
  18. Allen Kilewella

    Ni nchi gani Afrika watanzania wakienda wanapokelewa kiurafiki?

    Mchango wa Tanzania kwa mambo mbali mbali ya kimaendeleo kijamii ni mkubwa sana Afrika Na Tanzania ni nchi ambayo inawezekana inaongoza kuwapokea raia wa nchi nyingine za Afrika bila ya kuwafanyia Bugudha. Kwa wale wenye uzowefu wa kutembelea nchi nyingine za Afrika. Ni nchi gani Afrika ambako...
  19. D

    Nchi za Africa ili ziendelee, futa dini zote wote tuwe wapagani. Sisitiza kazi tu.

    Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa. Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
  20. D

    Kwanini tusikubali kwamba tumeshindwa na hivyo tukampa nchi Elon musk atuongoze vyema. Hakika tutafika mbali.

    Inajulikana wazi susi waafrica hatuna tunachojua zaidi ya kupas kwa ungo na ulozi mwingi. Nchi zetu tumeshindwa kuziendeleza mpaka Mungu anstucheka. Nahauri tumpe nchi Elon musk au tumpe Africa yote kabisa. Tukse palee tutulie mwanaume akiwa kazini.
Back
Top Bottom