Nchi za kusini mwa jangwa la Sahar mpaka sasa ndio zimebaki chini ya ukoloni mamboleo na hawajaonesha dhamira ya kuachana na ukoloni huo.
Eneo hilo lenye utajiri mkubwa unaokodolewa macho na mataifa yote duniani ndizo kila siku zinazoshikilia mkia katika takwimu za maendeleo na ndio za mwanzo...
Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera.
Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao...
Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule.
Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
Finland imeorodheshwa kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo.
Wataalamu wanaamini kuwa ukaribu wa Wafinlandi na asili pamoja na upatikanaji wa mfumo mzuri wa ustawi husaidia kuelezea nafasi yake ya juu inayoendelea katika Ripoti ya Furaha ya Dunia inayosimamiwa na...
Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake...
Nchi tatu za Afrika Magharibi, Mali, Niger na Burkina Faso hivi karibuni kwa nyakati tofauti zimetangaza uamuzi wao wa kujitoa katika Jumuiya ya Francophonie (OIF). Nchi hizo ziliwahi kujulikana kama nguzo ya “Afrika ya Ufaransa”, lakini sasa zimechukua hatua thabiti kuondoa alama za kikoloni...
Nitawapa mambo mawili muhimu
Afya: Pamopja na tatizo kubwa ya mfuko wa bima wa taifa sasa kuna watanzania zaidi ya 1.5M wenye virusi vya ukimwi ambao walikuwa wanategemea USAID. Raisi Trump wa USA kafuta hili shirika na kuzuia pesa. Sasa mpaka leo kama Raisi hajaongea lolote na hakuna mpango...
Katika taswira ya ulimwengu wa kisasa, Uingereza bado inajulikana kama taifa lenye historia tajiri ya mafanikio ya kiuchumi. Hata hivyo, chini ya uso wa fahari hiyo, kuna ukweli mchungu: taifa hili lipo katika mchakato wa kudhoofika kiuchumi kwa kasi inayotisha. Kupitia historia yake ya kisiasa...
Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ?
Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili.
Je kuna siri gani hapa ?
Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
Nchi ya Niger imejitoa rasmi kutoka umoja wa nchi zinazotumia lugha ya kifaransa pamoja na zile zilizokuwa makoloni ya Ufaransa ujulikanao kwa lugha ya kifaransa kama Organisation Internationale de la Francophonie ( OIF).
Taarifa ya kujitoa huko ilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Niger...
Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani.
Wamekuwa maadui kwa wafuatao:
Mashoga
Transgenders
Wanaofanya abortion
Wahamiaji holela
Wavushaji wa...
Serikali imejenga Barabara za lami zaidi ya kilometa 819 nchi nzima huku barabara za changarawe zimejengwa kwa zaidi ya kilometa 11,900 kote nchini kwa barabara za mijini na vijijini.
Bajeti ta TARURA imeongezwa kutoka shilingi bilioni 654 hadi trilioni 1.59 ambazo zimeongezwa ndani ya miaka...
Mchana umetoweka, usiku umeingia!
Wakati wa usiku, tunapokwenda kulala na kufumba macho yetu, hatuna uwezo wa kujua yanayotokea katika ulimwengu wa roho au hata kimwili. Ndiyo maana ni muhimu kumkabidhi Mungu maisha yetu kila usiku kabla ya kulala, ili atulinde na kutuepusha na mabaya.
Yesu...
Siwezi kusema nausimanga uongozi wa sasa ila nazungumzia tu yale maono na utashi aliyokua nao marehemu.
Aliwahi kusema katika hotuba zake huko nyuma kuwa kwanini Tanzania tusipeleke nguo za mitumba wakavae wazungu huko ulaya?
Akasema Tanzania tutapanda treni za umeme wazaramo wakipigw picha...
Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au ambao wanapinga mambo ambayo utawala ufanya upotea kwa maelezo rahisi ambayo utolewa.
Tofauti...
Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana.
Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa.
Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.