nchi

  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi zinazotegemea misaada hali inazidi kuwa ngumu, Elon Musk aanzisha mpango wa kuiua USAID

    Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa” Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wanaandamana kupinga kuondolewa kwa wahamiaji haramu Marekani huku wakipeperusha bendera za Mexico, Honduras, na nchi zinginezo

    Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu. Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu. Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino. Hapa ni katika moja ya viunga vya mji wa Atlanta, GA. Wanaadamana kupigania istihaki [privilege] ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM KUSOMESHA VIJANA WOTE NCHI NZIMA BURE

    Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%.. Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao. Vyenginevyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania List ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara zenye zinazoogoza kwa kuwa na Diaspora matajiri huko Marekani

    Wakati Majirani zetu Kenya wakishika namba 2 sisi Tanzania hatupo kwenye list kabisa. Wakina Kiranga, Bufa na wengine vipi vyuma vimekaza huko sio 😅🤣😂
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video clip: Huu msafara wa kijeshi ndani ya DRC ni wa nchi gani? Na unaelekea jimbo lipi?

    Video hiyo hapo chini, inaonyesha msafara wa magari ya kivita yenye urefu wa kilometa 6, ukiangalia huoni mwisho. Ni jeshi la nchi gani hili?! https://www.instagram.com/reel/DFiC5DAtOZF/?igsh=MXR2cXIzNDI0NDR2eQ==
  6. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kagame hawezi kuongoza nchi yenye makabila tofauti kama kenya, Uganda au Tanzania

    Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide. Bila Genocide hana cha kusimamia. Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
  7. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Nchi zetu zifanye kama Israel kuyasambaratisha makundi ya kigaidi huku akimpiga na mfadhiri wa makundi hayo!

    Makundi ya Kigaidi huwezi kuyamaliza kama hujadhoofisha nguvu ya mfadhili wao Wengi tumeona vita vya Israel na makundi yaliyokuwa yakiisumbua nchi hiyo IDF hakuwa akipiga wanamgambo tu wa makundi ya kigaidi, bali aliwapiga na wafadhili wao wakuu na kuwadhoofisha kabisa, pale alipopiga mitambo...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya LISSU, Fanyeni mnavyoweza, Kuutangazia na Kuusambazia Umma Habari za Utabiri wa SHEIKH YAHYA kuhusu UPINZAN KUCHUKUA NCHI !!

    Mtakuja Kunishukuru sana !!. Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi. Tumieni Kila kitu mlichonacho kuhakikisha Huo unakua Wimbo Mtaani kuanzia Mijini mpaka Vijijin. Kwa wanaoona Mbali kama...
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu

    Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU; 1. Afrika Kusini: 7,700,000 2. Msumbiji: 2,400,000 3. Nigeria: 1,700,000 4. Uganda: 1,500,000 5. Kenya: 1,400,000 6. Zambia: 1,300,000 7. Zimbabwe: 1,300,000 8. Malawi: 980,000 9. Ethiopia: 610,000 10. DRC: 520,000
  10. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Mungu saidia wapigania haki m23 waikamate kinshasa

    Mungu wape nguvu Hawa wapambanaji wa haki za wananchi waweze kuikamata kinshasa na kuweza kuleta Maendeleo Kwa wacongoman bila ubaguzi wowote sababu Hawa ndio wapigania haki wa kweli japo wanapigana dhidi ya magaidi ya FARDC waliozoea kunyonya raia wameenda kumsaidia gaidi mwenzao tshekedi ila...
  11. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Nchi maskini na kulialia

    Sasa hivi nchi nyingi maskini hasa za kiafrika ziko katika kulia na kulalamikia hatua ya Marekani kuondoa ruzuku na misaada mbalimbali inayogharamiwa na tax payers wa Marekani. Ninajiuliza hivi kwa nini tunakaa kulialia badala ya kutafuta njia ya kuweza kujiendesha na kujisaidia bila kutegemea...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza, Nchi hata ikiwa saizi ya Hekari moja, kama Ikiungwa mkono na Mabeberu huwezi kuishinda hadi mabeberu hao waamue

    Mabeberu US na wenzake hakuna taifa ambalo litafanya mipango au miakakati isijue. Wataiuzia taarifa hizo. Mabeberu wana silaha ambazo wakiipa nchi ndogo saizi ya hekari moja, Silaha moja tu ikitumiwa lazima uipigie magoti nchi hiyo ndogo. Wanaweza kuipa nchi ndogo taarifa za kiintelijensia...
  13. Logikos

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Kudumu la Mgogoro wa Maziwa Makuu (Rwanda, Congo et al) ni kutenga na kupata nchi ya hao waliopo hapo sasa (North Kivu)

    Kwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao na kutokuaminiana; Hivyo Suluhisho pekee ni hapo katikati kuwepo na nchi ya hao waliomo. Kwa...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi kubwa kama DR Congo na Msumbiji hazipaswi kuwa na makao makuu ya nchi pembezoni

    Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake. Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na watu waliosahaulika ni rahisi kuasi. Hawa wameweka mji mkuu Kinshasa. Kilomita zaidi ya 2500 kufika...
  15. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
  16. Life2

    JamiiForums Tanzania Tumechelewa ila hatujachelewa sana kama Nchi

    Wakubwa shikamooni rika langu habarini za mchana. Labda nianze kwa kisa hiki ili nipate kueleweka kisa chenyewe ni hiki hapa. Nlipata kusimuliwa na mtu wangu wa karibu sana juu ya raia wa nchi flani aliyekuja kwenye kikao Moshi ila mwisho wa siku komputa mpakato yake (laptop) ikaishiwa...
  17. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Nchi 30 yenye nguvu Barani Africa

    Sijajua vimetumika vigezo gani. Lakini nadhani TZ ilipaswa iwe ya kwanza au angalau kwenye 3 bora.
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Msumbiji iliwakabidhi Rwanda majukumu ya kusaidia ulinzi badala ya nchi majirani zake wa SADC?

    Kutokana na uasi uliochanganyikana na ugaidi kushamiri katika jimbo la Cabo Delgado mwaka 2021 serikali ya Msumbiji baada ya kuzidiwa sana waliingia makubaliano na nchi Rwanda kupeleka majeshi yake katika jimbo hilo kurudisha hali ya utusalama na utulivu. Baada ya kuona ufanisi mkubwa wa kikosi...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasomali Wana maendeleo ugenini lakini kwao Kuna Hali mbaya zaidi ya Burundi

    Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori. Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu, vita vya wao kwa wao haviishi Huduma za kijamii zipo chini sana umasikini...
  20. PathwayzZote

    JamiiForums Tanzania JE NI KWELI CHINA ni nchi inayoendelea???

    Guys me sielewi kabisa hii statement Wale wajuzi wa mambo ya uchumi mjeni hapa kwenye comment Wekeni nondo hizo na sisi ambao hatujui tuzijue Tusije tukawa tunalishwa matango pori. Kwa china nayoona ile sehem kama Shanghai Beijing 🔥 lakini kuna watu wanasema ni DEVELOPING duh ni atare Ok...
Back
Top Bottom