Naona hivi karibuni, Kila kiongozi wa serikali au wa kidini anayesimama anasema vyama vya siasa vinapaswa kuilinda amani ya nchi.
Lakini katika maelezo ya Kila mmoja kwa kina, utagundua anazungumia agenda za CHADEMA ikiwemo Ile ya "no reforms, no election". Yaani kwa tafsiri nyepesi...
Peace,
Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao.
Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala...
Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali.
"Ads" za nchi zingine kama Kenya, Rwanda na South Africa zimejikita kwenye kutangaza vivutio vya...
Nenda kawaulize waganda wenye miaka kuanzia 45 kuja mbele. Wanamfahamu vizuri sana. Jamaa alikuwa na kipaji.
Wakati tu haukuwa sahihi. Yanga miaka hiyo Yanga kweli kweli... Tuna wachezaji tunapiga mtu goals kiukweli kweli. Si masikhara.
Wa TZ pamoja na vyombo vyao vya habari wametumia sasa wiki zaidi ya tatu kujadili na kuchambua issue za derby. Hao Hao wa TZ Hawajui nini kinaendelea kwenye uchumi wa Taifa lao. Kwa jinsi wa TZ walivyo kuwa informed na mipira wangekuwa hivyo hivyo kwenye aspect za kupambania uchumi, kuibana...
Hii kuwa mfano wa nchi itakayopigwa mnada? ZIDISHA MARA 20 ILI UPATE IN TSH
Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa katika historia ya nchi hiyo, huku waziri wa fedha John Mbadi akidai kwamba thuluthi mbili za...
Leo katika pilika zangu za kutafuta rizki nilipita kwenye terminal ya makontena. Nikakuta hizi howo zinasomba hayo makontena na kuyapanga kwenye yard.
Hizi gari kama mnavyozijua zinaitwa Howo.
Lakini kwenye ulimwengu wa makuli hizi gari zinafahamika kama Zuchu.
Niliuliza baadhi ya madereva na...
Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja.
Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
Nimeelewa sana na Niko tayari kutoa elimu kwa wale ambao Bado hawajaelewa!! Kwa sasa ni sawa na kusema kipa wetu ni wao ccm !! Refa ni wao ccm ! Kamisaa ni wao ccm ? Chaguzi zetu zimekuwa kichaka Cha kujeruhi na kuwasababishia wapinzani ulemavu ! Na wengine wengi wamepoteza maisha !! Ikiwa mfumo...
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.
Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.
REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.
CCM cares only about...
CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"...
Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu ndani ya chama kwa kusema kunawafanya washindwe kujipanga vizuri kushindana na CCM...
Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani.
Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete. Anasema rasilimali za asili za Burkina Faso ni mali ya watu wa Burkina Faso. Niger nao wanafanya...
Nchi za kusini mwa jangwa la Sahar mpaka sasa ndio zimebaki chini ya ukoloni mamboleo na hawajaonesha dhamira ya kuachana na ukoloni huo.
Eneo hilo lenye utajiri mkubwa unaokodolewa macho na mataifa yote duniani ndizo kila siku zinazoshikilia mkia katika takwimu za maendeleo na ndio za mwanzo...
Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera.
Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao...
Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule.
Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
Finland imeorodheshwa kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo.
Wataalamu wanaamini kuwa ukaribu wa Wafinlandi na asili pamoja na upatikanaji wa mfumo mzuri wa ustawi husaidia kuelezea nafasi yake ya juu inayoendelea katika Ripoti ya Furaha ya Dunia inayosimamiwa na...
Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.