Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
😳😳😳Tatizo wasipokeketwa wanahangaika sana muda wote wanataka kukazwa
Imani potofu hizi.Tatizo wasipokeketwa wanahangaika sana muda wote wanataka kukazwa
Kwanini wapunguziwe majukumu yao hayo kufikia kukeketwa?!!Tatizo wasipokeketwa wanahangaika sana muda wote wanataka kukazwa
... "antenna" inasayo mawimbi....na mashavu*..Hivi kukeketwa kwao wanawake wanakata kitu/kiungo gani?
antenna inayonasa mawimbi ndio nini? mashavu ndio hio mashavu ya qwuma?(labia minora sijui wanaita?)... "antenna" inasayo mawimbi....na mashavu*..
....ndio waongozao duniani !Dah. Somalia kama wote.
Hakika...Mwanamke hata akikeketwa kama uhuni anapiga tu.Mademu wa kinyaturu na kirangi mbona chupi mkononi na wamekeketwa.Uhuni ni tabia ya mtu
Naunga hoja asilimia miaMwanamke hata akikeketwa kama uhuni anapiga tu.Mademu wa kinyaturu na kirangi mbona chupi mkononi na wamekeketwa.Uhuni ni tabia ya mtu
ili wasihangaike kabila zingine huwakeketa ili watulieTatizo wasipokeketwa wanahangaika sana muda wote wanataka kukazwa
Kwa hiyo wanawake wa mataifa yote yasiyo afrika huwa hawatulii kwa sababu hawakeketwi isipokuwa hao hapo juu takwimuni?!!ili wasihangaike kabila zingine huwakeketa ili watulie
We bwege acha kukashifu makabila ya watu, huko ni wapi wameshika chupi mikononi? Hizo ni husda na wivu wa kike kisa ni wazuriMwanamke hata akikeketwa kama uhuni anapiga tu.Mademu wa kinyaturu na kirangi mbona chupi mkononi na wamekeketwa.Uhuni ni tabia ya mtu