nchi

  1. R

    Ni sababu zipi zinazoweza kupelekea nchi kubadili sahihi ya Waziri na Gavana kwenye fedha?

    Naomba mtusaidie sababu na utaratibu unaotumika kuweka sahihi ya Waziri na Gavana katika noti za nchi. Je, ni sheria inataka hivyo au maamuzi ya utawala uliopo madarakani? Je, kuna gharama kwenye zoezi hilo? Pia soma > Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu...
  2. Usiende ughaibuni kutafuta maisha

    Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
  3. T

    Je Nchi haina wazee wakushauri na neno lao likaogopwa na watawala? Tumechoka na Karma

    Nawaza sana Nawaza sana nawaza nasipati majibu. Nani alimtonya Mh Mpango abwage manyanga na akamsikia mapema nakung'atuka? Alafu akakosekana Mzee wakukishauri kiti badala yake akasogeza kiti kweli? Ina maana Mzee wangu Kikwete na weŵe ukatoa ushauri ambao umetuacha na giza nene kuliko mwanga...
  4. R

    Godfrey Malisa: Nitakwenda mahakamani kupinga kuvunjwa kwa katiba ya CCM na ya nchi kwa yaliyotokea Dodoma

    Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli. "Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa...
  5. Hakuna Rais wa nchi hii atakayekuja kumzidi kikwete.

    Wakati wa JK uhamiaji ulikuwa makini. Kwa sababu tu kikwete mwenyewe mtoto wa mjini. Kwa sasa raia wa mataifa jirani wengi sana wamejaa nchini. Wale wanaojitia wa iq kubwa na yule mkuki wao alikuwa hafukuruti kwa JK sasa hivi wanyaroo wamejaa
  6. Tetesi: Zelensky amejiandaa kuikimbia Nchi endapo Trump atatangaza kusitisha msaada

    Duru zinatabanaisha, Zelensky ameshajiandaa kukimbilia uhamishoni Nchini Uingereza endapo tu Rais Trump atatangaza usitishwaji wa msaada wa silaha na fedha zinazofadhiri vita ya Nchi yake dhidi ya Urusi. Duru.
  7. Sisi kama nchi Tumetoka kwenye mfumo wa haki na demokrasia tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu uliovaa uso wa kidemokrasia

    Tumetoka kwenye ukweli na haki tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu ambao ni mfumo usiokuwa na maana yoyote hali inayopelekea nchi kuonekana kama ni ya kidemokrasia kwa nje lakini ndani yake sio kama inavyoonekana kuanzia kwenye vyama hadi kitaifa kwa ujumla. Watanzania wengi kama mimi wapo...
  8. Tanzania Kuanzisha Biashara ya wa Bangi kwa Nchi Zilizohalalisha Matumizi Yake

    Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara. Angalizo! Mawazo ya mwandishi yanaweza kuleta fikra mbaya kwa baadhi ya watu! Hata hivyo, hali ya matumizi ya bangi inatofautiana...
  9. Israel (IDF) ni Nchi (jeshi) ambao wako Very Overhyped. Hawana Uwezo Wowote

    Israel asee wanapewaga hype sana. Yani kupigana na magenge ya wahuni kama Kuluna (Hamas na Hezbollah) inawachukua karibu mwaka na nusu bila kufanikisha lengo lake la kuwakomboa mateka na kuifutilia mbali Hamas? Pamoja na kusaidiwa kwa silaha, manuari, fedha na kaka zao NATO lakini wapi...
  10. Ipi ni maana halisi ya jina "Tanganyika" na historia nyuma yake hadi nchi hii kuitwa "Tanganyika"?

    Karibuni wakuu.
  11. Naombeni Ushauri: Utaratibu wa kuuza bidhaa Nje ya Nchi.

    Good morning wadau, Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri. Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya hii biashara kiholela but nifanye kwa ustadi mkubwa and in a professional manner. Hivyo, naombeni...
  12. G

    Bilionea Mulokozi hulipa kodi ya bilioni 7 kwa mwaka. Je, wewe una mpango wa kulipa Kodi kiasi gani kusukuma maendeleo ya nchi yetu?

    Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi. Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka. Je, wewe kama mtanzania mzalendo unapanga kulipa Kodi kiasi gani kama tozo na Kodi mbalimbali ili maendeleo...
  13. Watanzania tuheshimu kura zetu, kama CHADEMA sasa hivi wanatukanana, na hata kutaka kupinduana, ndio tuwakabidhi nchi? Hapana, tuwape muda kuwasoma

    Hawa jamaa chama chao hakijatulia kwa kiwango cha kupewa nchi au wabunge. Ndani kimeoza, kina vita, fitna, mapambano, husda. Mbowe alijaribu kuonyesha mambo yako sawa kwa busara zake kabla hajastuka kwamba msaidizi wake ni mteja wa mirembe na kinywa chake kimeoza Tuna familia, watoto, ndugu...
  14. Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  15. G.Lema amekiri kuwa alikuwa mstari wa mbele kuichafua nchi kimataifa

    Inasikitisha sana kuona aliyekuwa kijana ambaye tulitegemea awe mzalendo ndiye alikuwa akichangisha fedha ili kuhudumia kampeni chafu ya kumchafua Magufuli kimataifa. Kukiri kwake kunaongeza chuki dhidi yake na washirika wake kutoka kwa jamii ya watanzania iliyompenda John Pombe Magifuli...
  16. Kiongozi wa nchi kuvaa suti bila tai ikoje kiitifaki?

    Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai. Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii?
  17. Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

    Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram. Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili...
  18. D.R.C Taifa lililolaniwa tangu wapate Uhuru

    Kongo imelaaniwa, tangu wapate Uhuru hawajawahi kupata utulivu. Dalili kuu ya mtu au Taifa lililolaniwa ni kukosa utulivu. DRC nchi iliyojaa madini. Kuna sehemu ukiingia msituni kabisa huko ukichota mchanga gunia 1 unaweza kupata pure gold debe moja lakini kwasababu ya laana iliyotokana na...
  19. Je, kuzaliwa baharini kunakupa Uraia wa Nchi gani?

    Kuzaliwa baharini ni tukio la nadra linalochochea maswali ya kisheria na kijamii kuhusu utambulisho wa uraia. Je, mtu anayeona mwanga wake wa kwanza akiwa majini, anahesabika kama raia wa nchi gani? Swali hili linaibua changamoto za kipekee, huku majibu yake yakitegemea vigezo mbalimbali...
  20. W

    Ni kama sielewi naombeni ufafanuzi, Kumewahi kuwa nchi au falme inayoitwa Palestina kabla ya 1948 inayoongozwa na waarabu kabla ya 1948 ?

    Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…