nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA walikosea kukubali kuichoma nchi wanayotaka kuiongoza

    Hakuna chama kipya kinakuja madarakani pamoja na ofisi zake za serikali, majeshi, polisi, mahakama, barabara, hospitali, mahakama na majaji wake wapya. Watatumia miundombinu hiihii na rasilimali watu iliyopo, maana miundombinu hii sio mali ya chama kilichoko madarakani wala Rais, ni mali ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hi nchi imeharibika kila angle, traffic wanaposimamisha kila daladala

    Wakuu hii ishu inauma sana. Hawa jamaa wanaposimamisha kila daladala ni kwa ajili ya kula 2000 Atakapokuja Rais mwingine atapata shida sana kuirejesha nchi mahala pake
  4. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Tanzania kuingia mikataba ya 'Visa-Free' na nchi zilizoendelea kama Japan? nini athari zake?

    Wana-JF salamu, Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu. Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa (Bilateral Visa Waiver Agreement) ili wananchi wake watembee kwa uhuru? Kwa mfano, ikitokea Tanzania na...
  5. JamiiForums Tanzania BSS mmehujumu uchumi wa nchi kupeleka mil.50 nje ya Nchi.

    Nchi zinazojitambua zinajitahidi Kutunza mitaji ya ndani na hivyo kila fursa inayopatikana inatunzwa kwa faida ya Nchi. Kirando cha kumnyima Mtanzania (alistahili) Sofia (So-Fire) zawadi ambayo ingekwenda kuchechemua uchumi wake, familia yake na Jamii yake si Uzalendo mliofanya. Kama Mtu ana...
  6. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina wananchi wazuri kupenda nchi yao ila imefanywa kuwa nyumba za watu wachache kuwa nchi yao

    Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli. Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana. Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi. Kuna makahaa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Nimejaribu kupitia na kuangalia maslahi ya walimu kwenye nchi za wenzetu(botswana, South Africa, Rwanda, Qatar n.k) nikagundua walimu wanalipwa vizuri mno kuliko wanavyolipwa kwetu Nikaangalia vigezo na taratibu za kuomba ajira nikaona vyote ni rahisi na vinawezekana. Nilichojilaumu ni mimi...
  9. JamiiForums Tanzania AFC yafadhili mradi mkubwa wa umeme nchini Burkina Faso kukabiliana na upungufu wa umeme

    Wakati ukandamizaji ukizidi kushika kasi Burkina Faso na sifa kedwkede Kwa Traore ximeyeyuka baada ya Nchi kugeuka omba omba wa Kila kitu. Bwana yule alijizolea umaarufu miongoni Kwa wajinga na yeye kujaa kwenye mfumo lakini baada ya kuona uhalisia wa kuwa Kiongozi wa Nchi amerudi kule kule...
  10. JamiiForums Tanzania Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

    Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi imekosa Godfather, ukiangalia yanayoendelea. Mfano, Mwaipopo kuwa na kundi la Kigaidi na Vyombo vya Dola vipo kimya?

    Hii nchi kwa sasa hakuna Kiongozi mwenye sauti anaweza kutoka akakemea mambo yanayoendelea kwenye hii Nchi hakasikilizwa kutokana na past zao. Tulikua na Mkapa huyu pamoja na mambo yake alikua ni mtu huyu aliwambia maneno serikali yangu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu wanasema wanarinda Amani ya nchi alafu mseme nchi ni salama mnaelewekaje kwa mtazamo.

    Ni aibu sana sana kusema nchi ina haki na domo crazy maana sio democracy mnayo sema ina tawala kwa haki. Leo tarehe 7/7 mnaweza kusema mumeweka amani hapa mfano kariakoo kuwa watu waendelee na shuguli zao
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ananilea Nkya: Nchi itakuwa na amani ya kweli kama Wananchi na Viongozi tutazingatia kusema UKWELI

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa na AMANI ya kweli kama viongozi na wananchi tutazingatia kusema UKWELI. Utamaduni wa kusema UONGO umeharibu nchi yetu Kuteka, kuuwa au kuwabambikia kesi wanaosema ukweli kumevuruga amani ya nchi yetu. Pia soma: Amani Iliyofichwa na Ukimya wa hofu si...
  14. JamiiForums Tanzania Kila mtu amechoka na hali ilivyo na hakuna mtu ambaye anafurahia lakini tusiichome nchi yetu wanaoumia tena ni sisi

    Jeshi la Polisi Tanzania limefichua kuwepo kwa mipango ya siri ya vikundi vya watu wachache wanaotumia mitandao ya kijamii kuhamasisha vurugu, vifo kwa viongozi na wananchi, pamoja na mpango wa kushambulia askari ili kupora silaha kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi. Katika taarifa rasmi kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Maono: Baada ya hayo yote, akiondoka ataichoma nchi

    Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote. Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ina majeshi mangapi? Jeshi la Shehe Mwaipopo lipo kwa mujibu wa Katiba ipi?

    Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba JWTZ Jeshi la polisi Jeshi la magereza Jeshi la uhamiaji Na Maaskari game Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi? Na...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini urusi kwa nchi za afrika zinashindwa kuishtaki kwa udanganyifu wa ajira wakapigane Ukraine.

    Malalamiko mengi na mashuuda wameeleza kuhusu urusi ilivyo wafikisha kwa udanganyifu wa ajira na mambo mengine mwisho wa siku wanajikuta kulazimishwa kupigana na ukrain. Cha kushangaza tumeona raisi feki kaenda huko na nyie JWTZ msipo kuwa makini mtapelekwa kwa lolote.
  18. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Kauli zako zinahatarisha Usalama wa Nchi

    "Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali " Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu. Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Motjaba walishamla kichwa au ? unaogopaje kutoka hadharani nchi unayoiongoza iliyojigamba kushinda vita kwenye msiba wa kiongozi mkubwa na mzazi ?

    Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei, Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi. kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika zimeshindwa kutumia uchawi kufanikiwa kombe la dunia?

    Uchawi na uganga unaaminiwa sana Africa ila ajabu pale uchawi unapohitajika zaidi kufanikisha mambo kama kwenye hili kombe la dunia hauonekani kabisa kuleta matokeo, Hii inathibitisha uchawi ni porojo tu, ni kama Nyuki wa mashineni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…