nchi

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania wakristo kwa waislamu wote tuingie Mfungo kuombea nchi

    Mimi sio mtu wa siasa sana, wala sio mtu kanisa sana. Nimeona wachungaji wengi wakinena kuombea nchi hadi kanisa katoliki wamefunga novena kuombea haki na amani na kwa kweli nilikua naona maigizo tu. Naipenda nchi yangu, na hata kama nilikua naitetea mno serikali hii ya huyu mama nikiamini...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hii nchi ni ya Familia zisizopungua 50 wengine sisi ni wapangaji au Vidampa

    Je kweli maana mpaka sasa Polepole anaongelea mafichoni ukiangalia hamna kosa ila ameongea yale yale familia 50 wasiyopenda. Lissu yuko jela tatizo nini kaongea yaleyale familia 50 wasiyoyapenda. Wengine tumebaki kua makasuku kuimba yale ambayo famallia 50 wanapenda Leo Maxi Mello walimwambia...
  3. JamiiForums Tanzania Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kama mkuu wa usalama anahusishwa na na kashfa za ufisadi wa kupindukia, tunaweza sema bado tuna nchi?

    Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi? Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania sio nchi masikini

    Tanzania tumebarikiwa Mungu ametupa ila kitu isipokuwa akili tu ya kutumia vitu hivyo vizuri tuna madini ya kila aina dhahabu, almasi, makaa ya mawe ,graphite, ruby ,tanzanite n.k Mbuga za wanyama nzuri yenye kuvutia milima mizuri kma kilimanjaro maziwa na bahari nzuri lkn hivo vitu vyote bado...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi hii ni ya Kidikteta,hayawezi kutokea maandamano

    Nashanga kuona kwamba watu wsnafikiria kwamba wataandamana tarehe 29 October. Maandamano ya katika nchi hii tulifanya sisi Mwembechai. Inasikitisha sana kuona Hawa watu wanaongea haya maneno ya uongo,eti watafanya maandamano tarehe 29. Kwanza maneno kama hayo ndiyo yanasababisha Tundu Lissu...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

    Watoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi, Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe 17/02/2025 nikakutana na mtoto wa mstaafu fulan ambaye aliwahi zushiwa kuwekwa kuzuizini Aliniambia hivi...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Nchi zinalazimisha Watu Kupiga Kura

    Ukishangaa ya Waiba Kura yaani Upige, Usipige, itapigwa... Kuna nchi zinalazimisha ukapige! na Ajabu zaidi kuna zile zinaruhusu mtu kutuma mtu akampigie kwa kumpa Power of Attorney!!! https://worldpopulationreview.com/country-rankings/countries-with-mandatory-voting
  9. JamiiForums Tanzania John Heche ana kitu, tukimtumia vizuri Nchi yetu itasonga mbele

    Bwana huyu nimekuwa nikimfuatiliia sana hotuba zake hasa wakati wa kampeni ya No Reforms no Election. Alikuwa akichambua vitu mpaka nasema yes this is the leader we want in our country na si Hawa wanaosema watanunua matrekta million 10. Heche anajua kueleza, anajua kujenga hoja . Anajua Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Naionea huruma Tanganyika nawa one huruma wananchi wa tanganyika

    Poleni sana ndugu zangu
  11. JamiiForums Tanzania Suala la kufungiwa kwa makanisa na majukwaa pamoja na kuteka ni jaribio la kutaka kuiteka nchi

    Hivi vitu vyote utekaji, mauwaji, ubambikiwaji wa kesi, uhalifu kwa viongozi wa dini na kufungiwa kwa JamiiForums ni jaribio la kutaka kutoa vitisho ili waiteke nchi kila mtu hawaogope. Sasa kuna wahaini wanajaribu kujimilikisha hii nchi wanajaribu kupata control ya kila kitu, nchi bado haija...
  12. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wanapropaganda Waliozunguka nchi nzima kuipaka matope serikali kuhusu ubia wa Bandari hawakujua tofauti kati Ubinafshaji na Ubia

    https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mahojiano maalum, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bw. David Kafulila, ametoa...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu kanisa la Ufufuo na Uzima (Askofu Mwanamapinduzi) akimbia nchi kunusuru maisha yake

    Hii taarifa rasmi imetolewa na Askofu Emaus Mwamakula. Nimewawekea hapa chini tamko lake soon hapa (kwa njia ya video). Ameelezea kwa kina kilichomsibu na hata kutishiwa maisha. Askofu Gwajima yupo hatarini
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sio shida wala aibu kwa chama kuwasafirisha wanachama wake

    Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi kutoka Wilaya moja kwenda nyingine, tunatoa ndani ya Wilaya hiyo hiyo,,,siyo aibu kwa Chama...
  15. JamiiForums Tanzania Unabii mzito kwa nchi

    Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
  16. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiapishwa Urais aongoze nchi bila kuwabembeleza Watanzania wala kuwapa Uhuru Uliopitiliza

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ,ni watu wa kushangaza sana ,ni watu ambao tupo tofauti sana na watu wengine. Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani unakuwa umeharibu kabisa. Kwa sababu watatumia uhuru huo na kukuchukulia wewe uliyewapa uhuru huo...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  18. JamiiForums Tanzania Rwanda yashika nafasi ya 38 duniani kwa kuanzisha biashara. Yaizidi Portugal, Belgium, Netherlands na nchi nyingi

    Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa. Tanzania imeshika nafasi ya 141 huku majirani Kenya wakiwa nafasi ya 56 na Uganda nafasi ya 116...
  19. JamiiForums Tanzania Wafahamu Watawala Wasio Rasmi "Oligarchs" walioshutumiwa kipindi cha kikwete, Wakazimwa na Magufuli, Wamerudi kwa Samia.

    Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king dethroners (waangushaji wa watawala). Hawa watu huendesha siasa kwa kivuli, bila kuonekana moja kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nchi zetu za afrika mashariki vitamin D inapatikana kwenye jua tu kukidhi mahitaji ya mwili (Punguza kutumia usafiri unaoziba jua)

    Ukiachana na JUA vitamin D inapatikana zaidi kwenye samaki ambao east afrika hawapo, kuna njia zingine kama mayai ama maini ya ngombe lakini hizi hutoa asilimia chache sana ya vitamin D zinazohitajika na mwili kwenye shuhuli zake za kukinga mwili hivo basi kwa wale mnaopenda sana kutumia usafiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…