Mwana mtandao wa muda mrefu na mtoto wa mjini Rais msitaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alishindwa kumwachia urais anayemtaka 2015 baada ya wazalendo wa nchi kuchukua hatua kali za kulinda nchi yao na wakafanikiwa kumleta kutoka kusikojulikana Hayati Magufuli na kumfanya awe Rais wa awamu ya...
Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa Kikanda 2030 (Regional Indicative...
Katika hotuba ya Bajeti 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha Ndugu Mwigulu Nchemba ilitamka wazi kuwa kuanzia Bajeti mpya HOTEL LEVY imepunguzwa kutoka asilimia 10 mpaka asilimia 2. Wengi wa Wafanyabiashara hawana taarifa hii lakini wanapoenda Halmashauri bado wanalipishwa Hotel Levy kwa...
Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa.
Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
Polepole, leo kwenye wasilisho lake live, ameeleza mambo mengi mazito juu ya hatari ambayo Taifa linapitia. Katika kufikisha ujumbe wake, ameelezea majadiliano mbalimbali aliyoyafanya na watu mbalimbali wenye uzalendo wa hali ya juu kama Mzee Warioba, Butiku na hayati Mkapa hapo mwaka 2015. Na...
Kwanza ifahamike wanaume tunapata utulivu wa ubongo na burudani ya macho kupitia hawa wadada wenye maumbo mazuri.
Ninaposema wadada wenye maumbo mazuri sihusishi sura, namaanisha kunzia shingo kushuka chini, lakini kikubwa kikubwa kikubwa ni Makalio makubwa yaani Mizigo.
Ni ukweli usiokwepeka...
Sowah ni mchezaji mzuri, katika kuendelea kudhihirisha kile alichonacho, anahitaji kurekebisha vitu vichache tu
Sowah, anahitaji kutengeneza kitu kinaitwa Nidhamu, katika kujenga uwezo wa kipaji na kukipalilia, mtu yeyote anahitaji ajiheshimu na kuheshimu wengine hata kama ni kwa jambo...
Kila kona ya Tanzania yanasikika mayowe ya wana CCM kutuhumiana kudhulumiana huku wakirusha lawama kwa CHADEMA kwa nini hawashiriki uchaguzi na kusababisha dhuluma iwe kubwa ndani ya CCM.
Tulipowaambia NO REFORMS NO ELECTION mlitubeza. Hatutaingilia ugomvi wenu wa wanandugu!!
Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
Kundi la kwanza ni watu wazima na kundi la pili niliona ni watoto, sasa hili la kwanza lilikuwa likiimba oktoba hatutiki nalo lilikuwa limejitenga nafasi na la lile la kwanza,
Hili la kwanza au la watoto lilikuwa kimya, watoto wale nyuso zao walikuwa wanashangaa tu wala hawajui nini...
Bunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge:
1. Lililoidhinisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika na kupewa waarabu.
2. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati Watanganyika wakitekwa na kuuawa, kupotezwa na kuteswa...
Serikali ya China hivi karibuni ilizindua mpango mpya wa kutoa malipo ya kifedha kwa familia zinazojifungua watoto, ikiwa ni jitihada za kupambana na kupungua kwa kasi kwa viwango vya uzazi.
Kupitia mpango huo, familia zitapokea takribani dola 500 kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka...
Mimi nawaza hivi taasisi nyeti za serikali kuna watu wameziua kimaksudi kwa kuajiri watu kiundugu au kwa utashi wa kisiasa! Pia napata shaka mamlaka ya vetting hivi kweli nchi hii hatuna watu SMART na wazelendo kwelikweli?
Kwa sasa nahisi wahuni na watu janjajanja nyingi wanafanikiwa kupenya...
Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima.
Lakini usalama ni zaidi ya hapo
Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa.
Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa,Ngono au uwe Mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo.
Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako...
Tanzania na Qatar kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati
Tanzania na Qatar zinakusudia kuimarisha ushirikiano katika maeneo muhimu, ili kukuza biashara na uwekezaji kwa misingi ya amani, usalama, na maendeleo endelevu ya wananchi wa pande zote mbili.
Waziri wa Mambo ya Nje na...
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.
Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .
Prof Tibaijuka ...
Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu.
Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana.
Habari hizo...