Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kushiriki nje ya mipaka ya Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tangu alipoapishwa...
Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI!
Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa
Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha...
Bado haijulikani kitajadiliwa kitu gani lakini najuzwa ni hayahaya ya kuzamisha majini manuwari ya mtandao. Najuzwa kabla ya 912 kuna tukio la ajabu la kimafia linasukwa sijui kwa kweli. Jambo moja Redcross wanajiamini nalo ni kutotambulika. Hawajulikani ni kina nani. Wengi wao hawafuatiliwi...
Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake.
Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!.
DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa mauaji, ukandamizaji na udikteta
Vyombo vyetu vya habari vilipuuza sana kuripoti habari za matukio ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo la Katoliki Musoma ameeleza kuwa Wananchi waliomba Uchaguzi wa amani lakini imekuwa tofauti watu wengi wamepoteza maisha mbaya zaidi hata wasio na hatia waliokuwa majumbani mwao na wengi kujeruhiwa
Askofu Msonganzila ameongeza kuwa nchi inanuka imepakwa mavi...
Salute kwenu JF bosses!
Kutokana na usaliti wao kwa wananchi na kuwakumbatia watawala waliofanya mauaji ya kikatili October 29 ya mwaka 2025, ni dhahiri shairi sasa HAKUTAKUWA na MSANII atakayeandaa show ndani ya nchi au nchi jirani na Tanzania, au nchi nyingine yoyote duniani yenye wananchi...
Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu.
Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
Wote tunafahamu mzee huyo alipinga mchakato mzima ulivyofanyika wa kupata mgombea kitu cha Rais ndani ya CCM hadi kupelekea kufungua kesi ya kupinga mchakato huo mahakama kuu kanda ya Dodoma
Pamoja na juhudi zake lakini hakupata alichotarajia, shauri lake lilitupiliwa mbali kama mnavyofahamu...
Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali
Zambia , malawi, kenya wana haki na Amani
Uganda, Rwanda na Burundi wana amani hawana haki
Tanzania haina amani wala haki
Wasalam,
Ni asilimia chache sana ya Watanzania including Mange mwenyewe aliamini kama kuna watanzania watatoka 29 Oct. Kulikua kuna kundi kubwa la vijana lilokuwa linaongezeka kila dk. Kwa trending ile kama sio serikali kuzima internet tungezungumza mengine. Kukatwa kwa internet kuliwaathiri...
Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
Naandika huku nikiwa na huzuni kubwa kwa Taifa letu kupoteza nguvu kazi kubwa (vijana), inakadiriwa zaidi ya vijana elfu 20+ waliuawa kwenye kile kilichoitwa Uchaguzi.
Itakuwa nikujidanganya kwa kudhani mambo ni shwari kama ilivyokuwa kabla ya hicho kilichoitwa Uchaguzi, ukweli nikwamba Taifa...
Wanajamvi!
Enzi za medani ni medani kweli, nazungumzia enzi zile "Jumba jeupe" kuna watu wenye akili timamu, weledi, maarifa, wivu na uzalendo mkubwa sana kwa watu na nchi yao.
Enzi ile kabla ya "vetting" haijabadirika ya kuingiza "vilaza" kwenye medani bila vipawa.
Naam, enzi ile ambayo Spy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.