GT
Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane na huu upuuzi wa mpira tusimamae kidete na nchi kuhakikisha wanasiasa hawapati upenyo wakutuibia...
Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe?
Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
Hamjambo!
Nimemsikia viongozi kadhaa wakisema na kulaumu watu walioko nje kama kina Mange Kimambi na wengineo wao ndio wanachochea vurugu na amani ndani ya nchi. Kauli hiyo inatolewa ni kana kwamba huku ndani watu wako sawa na hakuna tatizo.
Kauli kama hizo zinatufanya tukimbie ukweli na...
Wasalaam Aleykhum,
Hatimaye nimefika nyumbani Zanzibar salama majira ya jana jioni na kuswali Isha nyumbani
Mie ni Muislam ninayeogopa Unafik kuliko Shirki (japo dhambi zote mbaya sana mbele ya Allah (S.A.W)
Nimeumizwa na vifo nilivyoshughudia huko bara kwasababu kikazi mi n maranyingi nakuwa...
Ukiangalia kwa kina JWTZ ilikaa kimya Mgunda hakuwai kuongea chochote wakati watu wanatekwa wakina Soka, Mdude, Kibao na Wengine wakina Polepole lakini ghafla katoka kuja Kukemea maandamano shame on you
Tunamshukuru kwa dhati Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema na Mwingi wa Hekima, kwa kutuneemesha amani, utulivu na mafanikio katika uchaguzi uliomalizika hapa Tanzania.
Ni kwa fadhila Zake pekee tumeona uchaguzi ukifanyika kwa amani, pamoja na changamoto za hapa na pale za lakini kiujumla...
Kama tunavyofahamu jumatano ilopita kulikuwa na patashika khasa baada ya internet kuzimwa nchi nzima kupisha kazi ya Mafwele na vikosi vya mamluki kuwasaka, kuwatambua na kuwakamata kisha kuwatesa na kuwaua vijana wadogo.
Haya kama hayatakuwa mauaji ya halaiki ni lazima yawe documented kwa...
Rais Samia amesema Uchaguzi umeisha hivyo tusimame pamoja kama Nchi.
Kavishukuru vyombo vya Dola kuhakikisha virugu hazizuii watu kupiga kura. Watu walipiga kura za kishindo.
Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa.
Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
Samia kakimbia nchi. Yupo mpakani mwa Tanzania na Uganda.
Anang'ang'ania arudi ili aapishwe na kuendelea kuwa Rais. Anaua Watanzania kwa mercenaries wake aliowatoa Uganda kwa Mtoto wa Museveni.
Mumeona namna hao wanajeshi wa Uganda walivyoua na wanavyoua Watanzania. Samia sio tu hafai kuwa...
..Kichwa cha habari chahusika.
..Raisi alipuuza ushauri wa Tundu Lissu na Chadema katika kila hatua.
..Na kibaya zaidi akamtengenezea fitina, na hila, za kumtesa.
..kosa la Tundu Lissu ni nini?
..Je, ushauri aliotoa Tundu Lissu usingeepusha haya yanayoendelea?
..Sasa mhaini ni Tundu Lissu...
Namnukuu "Hakuna kabisa msamaha au sababu zinazoweza kuhalalisha kile kinachotokea Tanzania sasa hivi — uuaji wa watu wetu; kabisa hakuna! Acha wazimu huu wa kudhani kwamba watu wetu ni watumwa wenu na hawawezi kujiondoa chini ya mnyororo wa utumwa wenu. Ndiyo, wanaweza na watafanya hivyo, na...
Viongozi wote tuliowaamini wakishirikiana na wezi na mafisadi kama akina Rostam Aziz na wengineo wamemaliza utajiri wa nchi, hawana uchungu na nchi yetu, wakati wananchi wa kawaida wanateseka wanakosa hata jinsi ya kupata matibabu.
Hao ndiyo wanaotuua kwa sababu wanaogopa maslahi yao...
Iddi Amin Mama, inawezekana you’re in deep denial, lakini ukweli ni kwamba hakuna tena uwezekano wa wewe kuendelea kuongoza hii nchi bila kuzidi kuharibu umoja wake wa kitaifa!
Ukubali au usikubali, huna washauri wazuri. Washauri ulionao ni wale wanaokuambia kile wanachodhani unataka kusikia...
1. ADUI NO.1 wa SATIVA
Huyu jamaa alistahili aondolewe kabisa kwenye utumishi wa umma hasa upolisi, ananuka damu, ananuka damu, ananuka damu, ila kwakua anafanya kazi ya watawala vizuri wakaona hakuna wa kumgusa akaota pembe akidhaniataendelea sana (mtu mwenye akali timamu, SATIVA alikua wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.