nchi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Afrika haipaswi kufanya chaguo chini ya shinikizo kutoka kwa nchi kubwa

  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Anayeogopa kufa na kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli ni mhaini dhidi ya serikali ya mungu na anamchango mdogo kwenye kujenga nchi bora

    Ndugu zangu waislam na wakristo Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali. Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote

    Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote . Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

    Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC. Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake. Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tulikimbilia kudai uhuru wa nchi haraka ukilinginisha nchi ambazo zilichelewa ukipelekwa utaona utofauti

    Kujiendesha hatuwezi kiufupi kama taifa. Ila wakoloni wa kizungu wangebaki nahisi tungekuwa mbali sana kimaendeleo kama kusingekuwa na vita vya kwanza na vya pili duniani. Nchi kama south Africa walichelewa kupata uhuru ila kwa maendeleo yaliyokuwepo tu unaona.Ila kupewa watu weusi ndio kama...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Makonda usitishe watu hapa , hii nchi sio ya baba yako au mama yako ,chunga kauli zako

    Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu. Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika Samia anatumia nguvu nyingi kutuharibia nchi yetu, Kwanini sio Dkt. Shein?

    Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kushinda mamlaka ya nchi hizi 6 ni kuishindia amani ya dunia kwa ongezeko hadi la asilimia 85.

    1: Uturuki 🇹🇷 2: China 🇨🇳 3: Russia 🇷🇺 4: Iran 🇮🇷 5: Qatar 🇶🇦 6: Pakistan 🇵🇰 Hawa ndio baba wa syndicates za ugaidi, kupandikiza madikteta katika nchi masikini, uundaji wa vikundi vya kuharibu amani katika nchi, kuchonganisha jamii ili wajichukulie rasilimali na mambo mengine mengi ambayo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye madeni makubwa zaidi duniani

    Madeni ya umma barani Afrika yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa nchi nyingi, huku viongozi wa bara wakitafuta suluhu endelevu ya mgogoro huu unaokua kwa kasi. Mwezi Mei 2024, Umoja wa Afrika uliandaa mkutano wake wa kwanza kuhusu madeni ya umma mjini Lomé, Togo, ambapo ilibainika kuwa zaidi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Makonda haruhusiwi kuingia USA-World Cup hata kama ni Waziri

    Makonda haruhusiwi kuingia USA-World cup hata kama waziri The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tuna rais wa mfano kwa kuwahurumia watanzania hataki kuendesha serikali kwa fedha ya dhuluma

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu...
  12. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tulipofika Tanzania, mtu akiwa na mawazo tofauti anaitwa ‘Mwanaharakati’

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema tulipofikia katika taifa hili kila aliye na mawazo tofauti anaitwa Mwanaharakati.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Mwigulu: Walipanga kuchelewesha uchaguzi ili kuiingiza nchi vitani

    Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita. Akizungumza hivi karibuni na wananchi...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nchi inapochafuka Amani inatakiwa kutangulia ndipo ifuate HAKI

    NCHI INAPOCHAFUKA AMANI INATAKIWA KUTANGULIA NDIPO IFUATE HAKI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Nimeulizwa swali; Mtibeli sijasikia ukitoa maoni yako kuhusu kati ya Haki na Amani kipi kinatangulia. 2. Mtibeli najibu; Kati ya Haki na Amani kuhusu kipi cha Kwanza au kinachotangulia...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Marekani imezilenga tena nchi za Afrika kwenye vizuizi vya kuingia Marekani?

    Hivi karibuni serikali ya Rais Donald Trump ilitangaza orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanawekewa vizuizi vya kuingia Marekani. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani inasema orodha hiyo inahusisha nchi zilizothibitishwa kuwa na upungufu sugu na mkubwa katika ukaguzi, uhakiki, na...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Nataka kutana na top 3 viongozi wa nchi hii. Nipo na ujumbe kwao

    Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k Nataka kutana na uongonzi wa taifa ,namanisha top 3 . Nimepeni utaratibu namna ya kuwaona ila mambo ya kutekana, kupotezwa...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hili la ‘Wakatoliki feki’ linaliabisha Taifa. Unafikiri mabalozi na nchi Duniani zinatuona tuna akili timamu kweli?

    Hili suala lililotokea leo linaliabisha taifa unafikiri mabalozi na nchi duniani zinatuona tuna akili timamu kweli ? Hawa wapumbavu walioandamana leo niwaambie kile mtu anajua kuwa ni maigizo balozi zi ajua, watanzania wanajua, mashirika ya haki za binadamu yanajua kama tuna watu wa haina hii...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini China haiingilii kati kusaidia mataifa mengine yanapovamiwa na nchi za Magharibi?

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa. Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini. Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nchi Zenye kutumia Ubabe kulinda Mipaka yake na Maeneo Jirani, hata kama Nchi Jirani haitaki kulindwa italindwa tu

    The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi zozote zilizoko katika mabara ya America kusini na America kaskazini. Na nchi yoyote itakayojaribu...
  20. Keynez

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani ambayo Marekani imewahi kuwapelekea na kuwalazimisha ushoga?

    Kuna wapuuzi wanadhani hatuna akili kama wao. Tunapolalamikia ukiukwaji wa haki za binadamu, utawala mbovu usiofuata misingi ya sheria, ubadhilifu wa mali za umma, rushwa, utekaji na mauaji ya watanzania wasio na hatia, wanatuambia Marekani na "wazungu" wakishirikiana na baadhi ya watu waliopo...
Back
Top Bottom