Unataka watu wasigome ikiwa bado mnafanya siasa zakishamba!, mahitaji ya watu yapo serious we ndo kwanza unaleta wabunge wakununua gari la harusi!..
Hivi Tanzania yasasa ndo kusema wafikiriaji mmeshindwa kabisa kabisa..?
Kama hivi ndivyo mnavyoendesha basi hili lazima liwalalie tu!, mnashindwa...
Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi.
Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali yote yatapokelewa na kufannyiwa kazi hivyo hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu
Leo ndo nimeamini hakuna jeshi bali ni kikundi cha wanasiasa
Jeshi gan uchwara kama hili?
Wanapongezana kwa mauaji kwa kupandishana vyeo
Gen Z, taifa halitokombolewa kwa kuwategemea JW bali ni wananchi pekee wanaweza kufanya hivyo
Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi wa kipekee aliyeongoza jamii yenye migogoro ya kikabila, kiimani, kijamii na kisiasa. Uongozi wake uliijenga amani, umoja, utawala wa sheria, na usawa katika mazingira ambayo awali yalikuwa magumu sana.
Njia alizozitumia
1. Alisimamia Mkataba wa Amani –...
Hapa tunaweka kumbukumbu zote sawa .
Tuwataje watu binafsi na taasisi zinazotumika kuihujumu Tanzania ili vizazi vijavyo viwakumbuke na kuwashughulikia
Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana.
Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya...
Taasisi ya urais imetoa sana kundule kwenye boliti ya wenzao lakini hakuna matokeo chanya. Je nyani haoni macho kwenye vibanzi?
Kati ya watu 70miloini hakuna anaeweza bali yeye tu? so Why!?
Mbona kama jahazi linazama mdogo mdogo, ina maana hakuna namna yoyote ya kuleta hari shwari!
Kama zipo...
Anajiita rais, lakini hajui anakwenda wapi! Alianza kwa kusema fujo ni watu wa nchi jirani. Sasa anadai walilipwa. Yaani anatoa majawabu anayotaka kusikia. Pembeni kuna usanii wa Commonwealth na hadithi ya maridhiano.
Yaonekana hakuna niya ya kueleza wauaji ni akina nani. Kuna kundi limetenda...
Organisation of Islamic Cooperation (OIC), inayojulikana pia kwa Kiswahili kama Umoja wa Ushirikiano wa Kiislamu, ni shirika la kimataifa ambalo linalenga kukuza umoja, ushirikiano wa kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa na kijamii kati ya mataifa wa Kiislamu. OIC ilianzishwa mwaka 1969, na makao yake...
Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29...
Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au Abdallah mumewe Rozaria. Nilipoenda kumtembelea rafiki yangu bruda Peramiho, nilishuhudia shekhe...
Wakuu
Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa?
Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Chanxo; Risch, Shaheen...
Wakuu, Amani iwe NANYI.
Nimetafakari kwa kina, Sijapata majibu.
Kwa nini hawa viongozi wanao semwa sio wazawa hivyo wapishe nafasi zao, Utendaji kazi wao ulionekana hauna mawaa, Hawana skendo za ufisadi, Matumizi mabaya ya madaraka nk.
Ni viongozi ambao wamekua wakikubakika katika jamii hata...
Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu
Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili
Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k.
wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
china
cuba
hai
hofu
kujiandaa
kutoka
kwasababu
marekani
muungano
nchi
nyerere
sababu
shinikizo
uhuru
uhuru wa zanzibar
urusi
ushawishi
vita
waingereza
wakati
wamarekani
wenzake
zanzibar
Ni ukweli usiopingika, Kila nchi kwa sasa inapigana na shida na Changamoto zake kuanzia za kisiasa na zile za kijamii.
Kwa mfano , sasahivi kuanzia Mexico hadi kule Nepal au Indonesia Changamoto za kisiasa na za kijamii viongozi wanahaha kuzikabili.
Mbaya zaidi kinachonyima Watawala na...
Tulisema na kuandika humu, matukio haya ya maandamano nk ndipo Pesa inapigwa hasa, waliopo kwenye mnyororo wa upigaji wanafuja pesa kwa nguvu kubwa sana.
Ilikuwa ya kumkamata Mange, leo kuna hii ya vifo vya wananchi na kurundikwa mochwari.
Soma mwenyewe hapa chini. 😢.
========================...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.