nchi

  1. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania CCM wameichafua nchi yetu

    Utumbo walio ufanya Sasa ivi unaligharimu taifa..kila sehemu. Raia hawana Imani na Jeshi la Wananchi. Uadui umekua mkubwa kati ya Polisi na Raia. Usalama wa Taifa wanaonekana kama migambo wa UVCCM. Utalii umedorora. Raia wameanza kutoa fedha zao benk kwa hofu. Kunyooshewa vidole vya kukusolewa...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tukishachukua Nchi, Kifo Cha Hayati Magufuli kitachunguzwa, Wahusika wa Mauaji hayo Kuchukuliwa Hatua Kali za Kisheria !!Hakuna Cha Msamaha hapa !!

    Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!. Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nchi za kikristo zikizuia misaada nchi za kiislamu zitatusaidia

    Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Tanzania pamoja na nchi nyingine 8 imepokea msaada wa $10.8m kutoka TDF and the World Bank Group

    Mfuko wa Biashara na Maendeleo (TDF) na Group ya Benki ya Dunia wameingia makubaliano matano ya msaada yenye thamani ya dola milioni 10.8 kwa ajili ya programu ya ASCENT. Programu hii itatoa mifumo ya kupikia safi na nishati ya jua kwa zaidi ya 350,000 kwa watu milioni 1.8 katika nchi nane za...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali yapokea msaada wa magari mawili kutoka Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja nchini

    𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗞𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝘄𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗤𝗮𝘁𝗮𝗿 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini. Qatar kama mshirika wa maendeleo ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Jenerali Augustino Pole Pole ni mwanajeshi wa nchi gani?

    Watanganyika wenzangu, naomba kufahamishwa kuhusu uanajeshi wa huyu mwamba aliyetoa masaa 24. Huyu mjeda ni mwanajeshi wa nchi gani na yupo wapi kwa sasa? By the way nayasubiria kwa hamu masaa 24 yapite ili kazi ianze
  7. Fukua

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiapo changu Kwa nchi yangu ya Tanganyika

    Mimi fukua wa jf nianaapa kwamba, nitaipenda,kuipigania na kuitumikia nchi yangu ya Tanzania Kwa moyo wangu wote. Kwamba, ninaikataa CCM na serikali yake yote, ninamkataa Samia na mambo yake yote,bunge, mahakama, TISS, polisi na vyombo vyote vya Dola hii haramu Kwamba...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nchimbi asijipe tumaini la kushika nchi kama Samia atakutwa na hatia na kuvuliwa Urais

    Kuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi. Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri . Itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama Samia sheria itambana ajihudhuru halafu Nchimbi akapandishwa kuwa...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Sasa itakuwaje kwenye nchi ya kusadikika

    Baada ya kulazimisha ushindi, sasa analazimisha furaha, lakini moyoni hana raha wala amani. State funded manipulators wanakuja kwa kasi na ni wengi sana, huyo Madenge ni kitangulizi tu, mara waseme wamelipwa, mara sijui nini, watakuja mpaka na risiti za kutengeneza, lakini wananchi washausoma...
  11. Logikos

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tulitumia gharama sana kufungua Nchi; Sasa tunajifungia kimzaha mzaha

    Tulijitenga na Mwamba, lawama tukamtupia na video tukatengeneza, sio moja tu bali tukatengeneza version mbili ya kule kuonyesha kwamba alikuwa katili na hamnazo na asiyesikia la mtu..., tukasema sisi huko hatuendi tunakwenda huku pengine...; Filamu tukaitangaza kuliko kutangaza kile...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa marais au viongozi ndio wanaharibu nchi?. Hili limeonekana nchi nyingi

    Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
  13. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi nchi imekuwa paralysed

    Sababu kubwa ni njaa, unafiki, uwongo, chuki, fitna, husuda, ulafi, wizi na zinaa. Hizi ndizo sababu zinazosababisha damu ya Habil kulia ardhini. Mungu yupo.
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msimamo wa watawala mpaka sasa unazidi kuiweka nchi pabaya zaidi

    Hakuna dalili yoyote ya uwajibikaji wala maridhiano mpaka sasa kwa kauli hizi 1. Wahalifu(Waandamanaji) walitoka nje 2. Waandamanaji walikuwa na silaha na wengine walikuwa hawajui Kiswahili 3. Waandamanaji walilipwa 4. Hii ni vita ya uchumi, tunachonganishwa na kuchachafuliwa na watu wa nje...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Elon Musk aelezea kwa nini nchi za Dunia ya 3 zinazaliana kwa wingi

    Udini mwingi + Elimu Duni + Umaskini (Kipato kidogo )= Uzaliana kwa wingi Udini kidogo + Elimu Nzuri + Utajiri (Kipato kikubwa)= Uzaliana kwa uchache https://www.instagram.com/reel/DRLsnfKAk0Z/?igsh=MTR1MXlqaGMyaWFnag==
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini marais na vyama vyao tawala vinapoelekea kushindwa ufanya maamuzi yanakuja kugawa nchi kuleta ubovu kabisa

    Kipindi cha marehemu Mugabe alipoona utawala unazidi kuwa mgumu kwake alianza kuwafukuza makaburu na kuwakabidhi mshamba yao watu wake ili azidi kubaki madarakani. Katika tawala nyingi mambo haya utokea sana ili mradi wajihokoe kitawala. Je, hapa Tanzania kwa huyu Samia unafikiri nini anacho...
  17. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imekosa wafikiriaji wakuu!

    Unataka watu wasigome ikiwa bado mnafanya siasa zakishamba!, mahitaji ya watu yapo serious we ndo kwanza unaleta wabunge wakununua gari la harusi!.. Hivi Tanzania yasasa ndo kusema wafikiriaji mmeshindwa kabisa kabisa..? Kama hivi ndivyo mnavyoendesha basi hili lazima liwalalie tu!, mnashindwa...
  18. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo Hatari wa Tanzania: Pale Upendeleo wa Ukoo Unapogeuka Njia ya Kuteka Nchi Sauti Inayotoka Mtaani. (NEPOTISM)

    Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi. Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Kwa sasa hali ni shwari na vyombo vya ulinzi vianaendelea kuhakikisha usalama

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali yote yatapokelewa na kufannyiwa kazi hivyo hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu
Back
Top Bottom