nchi

  1. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  2. JamiiForums Tanzania WALEMAVU WALIVYOSAHULIKA NCHI HII.

    Ndugu zangu nmepata wasaa wa kuhudhuria tukio la SPECIAL OLYMPICS TANZANIA linalofanyika hapa jijini Mwanza kitaifa nimejifunza na kuona mengi sana. Nilijichanganya tu na watumishi wengi wa Uma ili niweze kujua mawili matatu juu ya tukio hilo.Nikataka kujua hili tukio limehusisha watu...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi haishi vituko hii: Raul Ganzalez kutua Azam fc

    | Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿. ===== Former Real Madrid captain and Madrid's best ever forward Raúl González Blanco 🇪🇸 are among the top coaches who have applied...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nikiwa njiani najisomea na kusikiliza habari tofautitofauti za kijamii, kisiasa, kiuchumi toka mataifa tofauti; nimejikuta nikimshukuru Mungu kuwa mtanzania. Hakika Tanzania yetu ndio nchi ya furaha. Tumebarikiwa kuwa na waasisi bora wa taifa waliotuachia misingi imara isiyotikisika...
  5. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

    Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu, ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo. Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    Naombeni kwa wenye uelewa muweze kunijuza. Hivi kwa Mimi mwananchi wa kawaida (hohehahe) nikitaka kuonana na mkuu wa nchi natakiwa kufuata taratibu zipi ili nimfikie! Hususani Kama Nina Jambo la muhimu ambalo nataka nimfikishie yeye mwenyewe moja kwa moja? Au kwa Hali yangu nifute kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania Wajanja wanavyoitafuna nchi kimya kimya

    Mtandao wa kubook tiketi za treni ni mzito sana, baada ya kufunguka unakutana na ujumbe huo. Wewe umegundua nini hapo😁😁? Watu wanataka kufunga hesabu zao mwisho wa mwaka wasepe. Ndio maana nasema sasa hivi ukipata fursa piga tu hakuna mzalendo tena. Kila mtu anaangalia tumbo lake. Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.

    Wanabodi, Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they...
  9. JamiiForums Tanzania Wako mtandaoni wanapiga domo, Mama Yuko Kazini anajenga nchi

    CHADEMA wimegeuka kuwa Chama Cha Twitter, msemaji wao mkuu ni Mari Sarungi. Wako bize sana mtandaoni kupiga domo. Hawana hoja za maana tena,mijadala yao mikubwa ni mara Tanganyika haipo, mara Ucifu ulifutwa na vitu vingine vya kudandia dandia. Jambo moja ninalopenda sana kuhusu Serikali ya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Bulembo acha kudhalilisha watu kwa kuharibu diplomasia wakati wewe ndio muharibu

    Kutokana na uchu na tamaa ya madaraka mzee wangu Abdalah Bulembo na wengine wanakuita alhaji ulitoa kauli ambayo iliishtua dunia na pengine dunia kuamini Tanzania ni nchi ambayo serikali inaua watu wanaohoji pesa za miradi Kufuatia mkopo wa benki ya dunia(WB) kwenye mambo mbalimbali ambayo...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

    Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
  12. JamiiForums Tanzania Simba kuhama nchi?

    Katika kipindi cha michezo cha Redio Clouds, Nimemsikia kiongozi wa Simba akisema kuwa Simba imepata maombi toka Zanzibar, Zambia, Burundi, Rwanda na DRC wakiwaomba waihamishie timu ya Simba kwenye ligi zao iwapo mgogoro wao na TFF usipofikia muafaka. Je, ukiwa mdau wa Soka, ungetamani Simba...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

    Thread was deleted
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

    Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana. Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

    Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao...
  16. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Tanzania na Malawi kuhusu Mpaka katika Ziwa Nyasa umeishia wapi?

    Habari wakuu, inaonekana mara ya mwisho nchi zetu zilikutana mwaka jana kujadiliana kuhusu mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, na kweli kwa mwendo huu inaonekana mgogoro huu hautapata ufumbuzi mpaka mwisho wa dunia na wote tutakufa masikini wakati kuna utajiri mkubwa wa mafuta kwenye ziwa hilo, sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Njaa inanukia, mvua zimegoma. Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi

    Habari za mida.. Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa. Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo. Hali ya hewa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Hii ni namba ya nchi gani?

    Eti waku hii namba ya nchi gani naogopa kuipokea
  19. JamiiForums Tanzania Tunaifungua nchi kiuchumi sawa; nani aliifunga?

    Habari za majukumu wadau, Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano. Ujumbe wa kongamano hilo ni "...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu" Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…