Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.
Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,
Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa...