nchi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulamula asisitiza umoja na mshikamano kwa nchi za Afrika na Nordic

    15 Jun 2022 Helsinki, Finland Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic baada ya kumalizika kwa mkutano wa 19 wa Mawaziri hao jijini Helsinki, Finland. Waziri wa...
  2. JamiiForums Tanzania SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiishi Kigamboni ni kama uko nchi nyingine

    Yaani kigamboni pamekaa kushoto sana, pantoni zenyewe magumashi tupu, kuna muda usiku huwezi kupata huduma. Kuishi kigamboni ni sawa na kuishi Bujumbura tu. Changamoto ni nyingi...
  4. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. • Algeria 🇩🇿 • Angola 🇦🇴 • Congo DR 🇨🇩 • Egypt 🇪🇬 • Guinea 🇬🇳 • Libya 🇱🇾 • Morocco 🇲🇦 • Nigeria 🇳🇬 • South Africa 🇿🇦 • Sudan 🇸🇩 • Tanzania 🇹🇿 • Tunisia 🇹🇳
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku . Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Tanzania kuanzishwa kwa "Tanzania mortgage bank" kama nchi nyingine

    It's advantage mikopo yake hutolewa haraka sana baada ya bank kujirizisha na thamani ya asset iliyopo na actually value it has, It's loan are very fast even good for businessmen.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Poland yajitwika mzigo wa madeni ili kujiimarisha kijeshi

    Kwa kile kinachoonekana kama kupaniki,kujishtukia & kupatwa na uoga nchi maskini ya Ulaya,Poland imeamua kufanya maamuzi ya ajabu ya kutumia mbinu zozote zile ikiwemo kukopa hovyo ili kuliimarisha jeshi lake na kujiweka tayari kwa uvamizi wa super power Russia Kwa sasa nchi ya Poland imeamua...
  8. JamiiForums Tanzania Comrade humphrey PolePole akiiwakilisha nchi

    Hebu msikilize hapa chini.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kazi nje ya nchi

    habari wakuu tafadhali anayejua mawakala wa ajira nje nchi bara lolote ila siyo uarabuni naomba msaada wenu 🙏
  10. JamiiForums Tanzania Kilimo cha jembe la mkono kwa Nchi ya Uchumi wa Kati

    Tanzania ni nchi huru kwa miaka 61 sasa.Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na raslimali nyingi kila mkoa Tanzania ni nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo mito mabwawa maziwa na bahari. Tanzania ni nchi yenye misitu Tanzania ni nchi yenye mifugo mingi na wanyamapori wengi Tanzania ni nchi yenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

  12. JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Kaliningrad, eneo la Urusi ndani ya Ulaya ambalo sasa litazungukwa na nchi za NATO

    Kufuatia uvamizi wa kijeshi wa Urusi nchini Ukraine, nchi mbili za nchi za Skandinavia yaani Nordic zisizoegemea upande wowote, Finland na Sweden, zilibadili sera zao na kuomba kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO. Kwa baadhi ya wachambuzi, uamuzi wa Finland na Uswidi ni "janga" kwa Moscow...
  13. JamiiForums Tanzania Je, tatizo ni uwezo mdogo wa VIONGOZI wetu au wameamua tu kuigeuza nchi kuwa shamba la bibi?

    Habari! Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu. Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, wafugaji wa kimasai na Kimang'ati wanasaidia nchi kwa lipi?

    Ukweli ni kwamba kila mahali ukienda kwenye mashamba karibu Tanzania nzima utakuta migogoro ya wafugaji na wakulima. Wafugaji wengi ni wamassai na wamang'ati na wamekuwa kero kila mahali. Leo hii kuna mmang'ati kapika kambi na ngombe kwenye shamba langu Kidomole, Pwani bila kuomba au kuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi haya nambo yanatokea na kwenye nchi za wenzetu?

    Bajeti kuu ya Serikali inasomwa bungeni,huku Rais wa nchi akiwa yuko kuzurura nchi za nje? Kwenye nchi za wenzetu huko wanakojielewa hili suala huwa lipo kweli?
  16. JamiiForums Tanzania Tuwe makini, hakuna nchi ambayo haikuwa na wanyama pori wake kama sisi

    Utalii wowote ambao unahusisha kuhamisha wanyama wetu kutokoka Tanzania kwenda nchi nyingine yoyote tuukatae wote bila kujali kabila, dini, jinsia wala elimu ya mtu. hata tukipewa bei gani. Hakuna nchi ambayo haijawahi kuwa na wanyama wake lakini tabia na maendeleo yao ndiyo yaliyosababisha...
  17. JamiiForums Tanzania Shamte: Katiba ya nchi haijasema 'Head of State' atawale miaka 10, miaka mitano ikiisha tutafute Rais mwingine lakini siyo huyu

    Baraka Shamte ni mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar ambae pia ni mtoto wa Waziri mkuu wa Kwanza wa Zanzibar, Mohammed Shamte amesema Rais wa sasa wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi hatoshi kuendelea baada ya miaka yake mitano kwisha. Shamte amesema miaka yake mitano inakwisha na kurudia kosa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi inapitia wakati mgumu kuwahi kutokea. Gunia la mahindi limefika Tsh 180,000

    Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkakini walivyo wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lakini ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mexico, nchi jirani kabisa na Marekani, ameikosoa vikali sera ya NATO katika vita vya Ukraine na kuiita ya 'kishenzi'

    Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.” President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya Petroli huko Urusi inazifanya nchi za Magharibi ziisagie meno lakini hazina jinsi

    Russia Gasoline prices, 06-Jun-2022 Russia Gasoline prices Litre Gallon RUB 51.790 196.046 USD 0.840 3.180 EUR 0.786 2.975 United Kingdom Gasoline prices, 06-Jun-2022 United Kingdom Gasoline prices Litre Gallon GBP 1.756 6.647 USD 2.199 8.324 EUR 2.056 7.783...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…