nchi

  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ianze kuboresha vigezo vya usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa

    Sijui kama wizara Ina maono gani kuhusu usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa. Kwa upande wangu naona ni muda muafaka Sasa kupitia upya vigezo vya usajili wa makanisa kabla hatujachelewa. Naona kabisa matapeli wote wa mjini wamevamia usajili wa makanisa. Nashauri kwamba kwa kuanzia Sasa...
  2. JamiiForums Tanzania WHO: Tanzania Kinara Wa Utiaji Chanjo za Uviko-19 Barani Afrika

    Kutoka kukataa chanjo Hadi kuwa Kinara, shujaa ni SSH aliyeongoza na kuzindua zoezi Hilo. ===== Until early 2021, Tanzania was a Covid-19 denier, but two years later, the World Health Organisation (WHO) now ranks the country as the best performer in Africa in increasing Covid-19 vaccination...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

    Ushauri kwa ndugu yetu ambaye yupo masomoni nchi za Ulaya. Ndefu ila nafupisha kwa kadri ya uwezo. Bro.Wangu anasoma nchi moja hapo Ulaya! Huyu ni brother alienda Europe 2020 kimasomo katika fani ya afya hivyo amefanikiwa kupata chuo kizuri na kuanza kuishi maisha ya hostel. Hivyo baadae...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye waislamu wengi barani Afrika zinaongoza kwa unywaji pombe

    Je una habari kwamba baadhi ya nchi zenye waislamu wengi barani Afrika kama Libya, Algeria na Tunisia ndizo zinazoongoza kwa unywaji wa pombe katika Afrika? Hebu soma hapa chini...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge: Kwanini mwananchi akileta TV Bara kutoka Zanzibar analipia kodi wakati nchi ni moja?

    Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi, lakini anayetoka Zanzibar kuja Bara alipe kodi, hii ni kero kubwa,"- Bakar Hamad
  6. JamiiForums Tanzania I am looking for a Housemaid job

    I'm Doto from Temeke Toangoma Dar es salam, 26 yrs old. I'm here looking for housemaid job please can you help me, I have 5 yrs experience for housekeeping and 1 yr babysitter. I know to cook, cleaning, washing, ironing and family careers and all the home surround work. Nisaidie please...
  7. T

    JamiiForums Tanzania CCM, nani mwenye sababu za kwa nini Watanzania ni masikini wakati nchi imezungukwa na Utajiri kila kona?

    Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo. Wanakosaje Ubunifu? Ni kwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani

    Hii ndio orodha ya nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani. Pamoja na wanasiasa wa Tanzania hasa wale wa ccm kutudanganya hasa miaka ya nyuma kwamba na sisi tulikuwa miongoni mwa mataifa hayo kumbe zilikuwa ni kiki za kisiasa tu. 1. China - 332 Tons 2. Russia -330.9 Tons 3...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

    Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma. Poleni sana Wadanganyika.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Andika chochote kinachohusiana na nchi yetu, kivyetuvyetu

    Mi naanza na IDD yetu, kivyetuvyetu
  11. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mahakama zetu kushughulikia kesi za ushoga na kuwaacha mafisadi ya matrilioni mtaani hiyo ni failure ya nchi kwa 100%

    Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili. Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, tatizo la nchi zetu za watu weusi ni kuwa na uwezo Mdogo wa fikra?

    Naomba mawazo ya Great thinkers yatumike hapa. Yaani unakuta mtu Katika familia hana uwezo wa kuwafanya watoto au kuwaandalia maisha kipindi akiwa Mdogo hadi kuwa mtu mzima yaani unazaliwa bila kuoneshwa njia yakupita na wapi utokee ili ufike salama. Mfano Mimi binafsi kipaji changu cha asili...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tunaishi kwenye nchi yenye watu 60M+ ambayo wenye uhakika wa ajira ni Rais wa JMT na Zanzibar tu

    Mfumo wetu wa ajira nchini hasa ajira rasmi upo mikononi mwa wanasiasa. Leo wanasiasa wanaweza wakaamua Nani aajiriwe kwenye sekta binafsi au sekta ya umma. Wanasiasa pia wanaweza kuamua Nani afanye business Nani asifanye business. Kwa msingi huu wapo watu wawili Tu wenye uhakika wa ajira...
  14. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine Eid kesho Mwezi wa Shawwal ulishaonekana

    Kada Abubakar Zuberi na tawi lake la CCM (BAKWATA) kama kawaida watatufungisha siku ya Eid.
  15. JamiiForums Tanzania Zungu achaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge kwa 98.33% ya Kura

    Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mapigano ya Sudan yaonyesha tena kuwa nchi za Afrika hazitakiwi kuwa wahanga wa umwamba wa Magharibi

    Mapigano nchini Sudan yamedumu kwa siku kadhaa, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na kujeruhiwa. Licha ya wito wa kusimamisha vita wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, hadi sasa, pande zinazopigana za jeshi na kikosi cha usaidizi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi jirani na Ukraine zatangaza marufuku ya uagizaji wa bidhaa za kilimo kutoka Ukraine

    Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua hiyo inalenga kulinda wakulima wa ndani. Slovakia imefanya hivyo pia jana Jumatatu. Bidhaa za...
  18. JamiiForums Tanzania Nigeria inakuwa nchi ya Pili duniani kuridhia majaribio ya Chanjo ya Malaria baada ya Ghana

    #Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika #Ghana. Mkuu wa Idara ya Kitaifa ya Chakula na Dawa wa Nigeria, #MojisolaAdeyeye, amesema Chanjo hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania haimo kwenye nchi kumi zenye miundombinu bora Afrika!

    Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara. Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa Tarura bado hatujengi barabara zinazoweza kutolewa mifano. Kwenye maliasili ghafi kama dhahabu...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa ina uchumi mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya

    TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…