Hii nchi ngumu sana!
Tanganyika ukitaka kuiona basi ni hapo TAMISEMI - ila sasa tumeletewa DC huyu Mohamed Hasan Moyo ambaye kwa mujibu wa taarifa ni mzanzibari!
Isitoshe kumbe ni baba watoto wa Wanu na ndo mume wa kwanza - Mchengerwa ni mume namba mbili! Yaani mmekosa nchi nzima mtu wa kumweka...