nchi

  1. JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi: Montevideo Convention na Vienna laws to Treaty hairuhusu Dubai kuingia mkataba na nchi yoyote

    "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,la kwanza,mpuuzi na mpumbavu tutamkabili kwa upuuzi na upumbavu wake" Wakili Boniface Mwabukusi. "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,kumekuwa na tabia ya kubadili upumbavu kuwa hekima,na unapoongea...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jambo kubwa la Nchi lipo Kondoa

    Jambo lipo Kondoa. Mkutano Mkuu wa Jimbo kondoa Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana. #VitendoVinaSauti #CCMImara #KaziIendelee
  3. JamiiForums Tanzania Prof Kitila unataka Jeshi lipindue nchi ndio tujue kuwa Mkataba wa Dp world ni mbovu?

    Impliedly
  4. JamiiForums Tanzania Je wajua Nyimbo za taifa za nchi hizi, hazina maneno?

    Spain, San Marino, Kosovo, na Bosnia and Herzegovina. Watakuja mbumbumbu na kuanza kusema chai
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Kulinda amani ya nchi

    Ili tuendelee kuilinda amani ya nchi yetu, Kwanza kabisa viongozi wa nchi wanatakiwa wawe waadilifu, waaminifu pia wawe na hofu ya MUNGU kwa lolote wanalolifanya ili kuwatumi wananchi wao. Watakapokuwa na hofu ya MUNGU wataogopa kufanya kinyume au kwenda tofauti na sheria za...
  6. JamiiForums Tanzania Tusiingize mambo ya Dini, Mkataba wa Bandari ni aibu na ni Najisi kwa Sovereignty ya nchi yetu

    Wasalaam, Kwenye hili la mkataba wa bandari kuna dalili ya baadhi ya watu kujivua koti la uraia na uzalendo. Jamani akili ya uhai itumike Kwa mkataba wa kizuzu kama ule kisa tu ukichaa wa dini na kuwaaabudi waarabu kweli tunakuwa vipofu kiasi hiki. Penye kweli ibaki kweli hizi dini zimeletwa...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

    Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi...
  8. JamiiForums Tanzania Mkataba wa kishenzi ni marufuku Tanzania, kama wana dhamira njema, mazungumzo yaanze upya

    Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule. Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania CCM ina udhaifu wa kupata viongozi wakuu wa nchi, Sasa nchi imeuzwa!

    Hadithi mitaani ni kwamba kumbe hata Ngorongoro ilikuwa ni dili la mwarabu! Misitu MWarabu! kila kitu sasa ni mwarabu. Ni maamuzi ya rais Samia. Tuliamini ni rais mwema, CCM iliamini ina kiongozi wa Tz. Zipo hadithi tofauti juu ya samia kuingia ktk siasa. Yeye mwenyewe alieleza safari yake kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari kwa cash na mkopo pia tunaagiza magari nchi mbalimbali

    Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam kwa Mawasiliano zaid Call or Whatssap {0719415519} List...
  11. JamiiForums Tanzania Pasipoti ya Tanzania yawa ya 69 kwa Ubora duniani na Watanzania sasa wanaweza Kusafiri nchi 73 bila Viza

    Kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati inazidiwa na Kenya tu ambayo sasa Pasipoti yao imepanda Ubora na kuwa ya 66. Nchi ya Singapore ndiyo inaongoza kwa kuwa na Pasipoti Bora na Wananchi wake kuweza Kusafiri bila Viza katika nchi 192 kati ya nchi zote 227 zilizoko duniani. Katika Ripoti ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha wakosolewa na nchi za Afrika

    Mkutano wa kilele wa katikati ya mwaka wa Umoja wa Afrika ulifanyika hivi karibuni mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Viongozi wa nchi za Afrika walioshiriki kwenye mkutano huo kwa mara nyingine tena walitoa wito wa mageuzi ya mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha. Rais William Ruto wa Kenya...
  13. JamiiForums Tanzania Napendekeza nchi iongozwe kwa mfumo wa kampuni, kila mwananchi anakuwa mwanahisa, na akitaka anaweza kuuza hisa zake kwa yeyote

    Rasimali na mali zote za nchi. (Kampuni) zifanyiwe tathmini na zipatiwa thamani ya fedha, jumla ya ‘assets’ za nchi zigawanywe kwa idadi ya waTanganyika wote, na kila mtu apewe hisa zenye thamani sawia, hivyo kila mwananchi ni mwanahisa wa kampuni ya Tanganyika. Kiongozi mkuu wa Kampuni ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tukiwajibika kwenye Madini, TEHAMA nchi itasonga mbele

    Tukiwajibika kwenye madini na Tehama, Tanzania itasonga mbele Abeid Othman Kwa mujibu wa kamusi kuu ya Kiswahili toleo la pili la mwaka 2017, neno uwajibikaji linatokana na kitendo wajibika, ambalo kamusi hiyo imelitafsiri kama tekeleza jambo linalokulazimu kulifanya. Ni vigumu mtu binafsi...
  15. JamiiForums Tanzania Kila kabila lilitakiwa kuwa na nchi yake

    Ukisoma historia ya dunia toka mwanzo utaona kuwa kila kabila la watu lilikuwa na nchi yake. Habari ya makabila mengi kuwa nchi moja ilitokea pale kabila moja kuteka jingine na kulifanya kuwa chini yao. Na hilo lilileta unyonyaji na ubaguzi. Hata wazungu ambao tunaona wamestaarabika wana ubaguzi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakufinyanga mavumbi ya nchi kuumba mwanamke badala yake akachukua nyama toka kwa Adam?

    Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali. Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti. Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Njia nyepesi ya upinzani kuchukua nchi 2025, ni kuwatia wananchi HASIRA juu ya namna watesekavyo kwenye nchi yao

    Ki ukweli kila ukifikiria namna nchi hii ya TANGANYIKA inavyohujumiwa na kikundi kidogo kilichojitanabaisha kwamba ni chama tawala unatamani kuhama nchi. Wananchi tumechoka na mifumo mibovu iliyotengenezwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya hicho kikundi kidogo huku majority ya wananchi wakiumizwa...
  18. JamiiForums Tanzania Global education link daraja kwa wanafunzi nje ya nchi

    Global Education Link yawakaribisha Wanafunzi wa ngazi mbalimbali za Elimu ya juu kutembelea katika Banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 18 ya vyuo vikuu nchini Yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja Jiji Dar es salaam ili kupata nafasi yakuunganishwa na Vyuo Vikuu mbalimbali Duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania unaweza kusema uongo hadharani na usiwajibike popote. Sheria ya kulinda maadili itungwe

    Toka sakata la Bandari lianze nimepitia na kusoma sheria nyingi sana. Nikasoma na sheria mbalimbli za nchi nyingine. Nikagundua nchi haina sheria ya Uongo na upotoshaji wa umma. Kwa nchi ya Tanzania unaweza kwenye vyombo vya habari ukasema uongo tu ambao si wa kichochezi na usiwajibike popote...
  20. JamiiForums Tanzania Kikwete: Rais Samia ni kiongozi asiye na papara na ni mtulivu

    --- Hivi Ndivyo Kikwete Anavyomfahamu Rais Samia, 'Anaongoza Nchi Vizuri, Ana UtulivuWakati wa kuahirisha kikao cha demokrasia kilichofanyika jijini Arusha, Rais Kikwete ameweza kukumbushia historia ya safari uongozi wa Rais Samia baada ya swali aliloulizwa na mwandishi wa habari wa The Chanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…