nchi

  1. C

    Je, hii ni nchi au familia?

    Moja kwa moja kwenye mada, Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli? Au ni familia ya mtu kaamua ajinywee pombe zake na kuamua chochote? Hebu tazama mifano michache hapa chini:- Hebu soma mtiririko hapo juu, Je, sisi wananchi ni "majuha"?! Au hii...
  2. Korea Kusini nchi yenye hifadhi kubwa ya silaha duniani wakataa kutoa silaha zaidi kwa Ukraine

    Raisi wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ameondoka nchini Ukraine kurudi Seul baada ya kufanya ziara ya kustukiza akitokea Vilnius nchini Lithuania. Raisi huyo wa Korea Kaskazini alikuwa alihudhuria kikao cha NATO kilichokutana kujadili masuala mbaimbali likiwemo suala lla misaada zaidi kwa Ukraine...
  3. Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuhusu suala la Bandari

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI. 1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu. 2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
  4. Hii nchi kwa sasa inakosa viongozi wenye maono na tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi

    Kwa sasa tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye maono na fikra, wengi waliopo kwa sasa kizazi hiki ni wale ambao hawaijui kuwaza ya kesho na hawana maono ya kesho. Wao wanaiwaza leo tu na mawazo yanaishia hapo na ndio maana hakuna kitu kipo katika mpangilio mzuri wa baadae kila jambo linafanyika...
  5. Kwa kukabidhi bandari tumemkufuru Mungu. Awezaye kuomba na aombe sasa maana ghadhabu ya Mungu ipo juu yetu

    Mwenyezi Mungu alitupa nchi takatifu. Akatupatia waasisi. Akawapa elimu na utambuzi na akaamuru tuwe taifa huru. Watu mtakaoishi humo mpate hifadhi ya makazi na ardhi nzuri ya kuzalisha kila aina ya bidhaa. Ardhini akawawekea wanyama ili mkiwatumia na kuwahifadhi mpate fedha za kuishi...
  6. Mbunge Ngassa: Miundombinu ni Uti wa Mgongo Kwenye Uchumi wa Nchi

    ".. Serikali yetu imeweka nguvu kwenye Miundombinu ya uchumi kwa kuwa miundombinu ni uti wa mgongo kwenye kukuza uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja. Barabara, Umeme, Mawasiliano na Huduma za kifedha ni muhimu sana katika kukuza uchumi jumuishi na shindani..." "...Hivyo tunapoona wakandarasi...
  7. Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  8. V

    Mkataba hauifungi DP World isiwekeze Congo na Rwanda. Waliizunguka Djibouti mizigo ya Ethiopia na Somalia ikawa kesi

    Associated Press Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza. Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC. Kesi mahakamani...
  9. KWELI Kwa nchi za jirani na Tanzania Hakuna bendera ya nchi hizo iliyowahi kuwekwa jengo la Burj Khalifa baada ya Tanzania

    Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani zetu zikiwa kwenye jengo hilohilo. Mjadala wa bendera za nchi za Afrika mashariki kuwekwa kwenye...
  10. Ni wakati sahihi sasa wa kubadili nembo ya Taifa. Ina vitu haramu katika nchi yetu

    Kwenye nembo ya Taifa kuna pembe za ndovu (pembe za tembo). Kwa wakati huo inatengenezwa nahisi au nadhani biashara ya pembe za ndovu ilikuwa halali ila kwa zama hizi ni haramu ikiwa inamaana haifai tena kuendelea kukaa kwenye nembo ya taifa letu.
  11. Mmeziona Fursa za kusomeshwa Bure na KCB? Changamkia hizi short course nchi nzima

    Benki ya KCB imetoa fursa ya mafunzo kwa vitendo na ujasiriamali kwa kushirikiana na vyuo vya kati (VETA na SIDO) Course za miezi mitatu zitakazofundishwa ni Tembelea website ya KCB kujisajili ONLINE na kusoma vigezo na masharti Mwisho ni tarehe 26 July.
  12. Majina ya watoto wa nchi za Magharibi

    Naamini hili jukwaa lina watu wengi wanaofahamu tamaduni za watu wa Ulaya na Marekani. Inaonekana ni kawaida kwa baadhi ya watu wa Ulaya kuwapa watoto wao majina mawili kwa mkupuo, ambayo hayana uhusiano na jina lake (mzazi). Mfano, baba anaweza akawa anaitwa James Allen Robert, lakini mtoto...
  13. R

    Kamati kuu CHADEMA wataka wote walioingiza nchi katika mkataba huu mbovu kuchukuliwa hatua

    akisoma maazimio hayo leo 14/7/2023 katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Kamati Kuu kuhusu Mkataba wa Bandari amesema, Kamati Kuu ya CHADEMA imeazimia serikali kuwachukulia hatua wote walioigiza nchi hii kwenye mkataba mbovu ambao haurekebishiki...
  14. Aliyeelewa Mkurugenzi wa DP World kusaini mkataba wa nchi ya Dubai na Tanzania anieleweshe

    Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi! Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko...
  15. Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

    Dah , sio poa! Nipo hapa nafuatilia BBC London habari... Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa. Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo? --- Nchi tano za Afrika: Botswana, Eswatini, Rwanda, Tanzania na Zimbabwe tayari zimefikia malengo ya kimataifa ya...
  16. F

    Chanjo ya kwanza kabisa ya malaria inasambazwa Afrika. Nchi 12 za kwanza kupatiwa

    Kati ya nchi za kwanza kabisa ulimwenguni kupata chanjo hii ya malaria ya kwanza kabisa duniani ni Kenya, Rwanda na Burundi. Watanzania tusibaki nyuma katika hili. 18 million doses of first-ever malaria vaccine allocated to 12 African countries for 2023–2025: Gavi, WHO and UNICEF World Health...
  17. L

    Shutuma za nchi za Magharibi kuwa China inaharibu mnyororo wa ugavi duniani hazina msingi

    Wizara ya Biashara na Mamlaka ya Forodha nchini China hivi majuzi zilitangaza kudhibiti mauzo ya nje ya bidhaa za Gallium na Germanium kuanzia tarehe mosi Agosti. Baada ya kusikia habari hii, Wizara ya Biashara ya Marekani ilitoa malalamiko mara moja, huku baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za...
  18. Imefikia muda hii nchi pale ambapo Mtu Tajiri anafanya matumizi yake ya kila siku,Masikini wanadhani anafanya anasa. Tafuteni pesai!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Hii nchi inavituko sana kila uchwao,naomba nirudie tena hii kauli, ya kwamba "Unapotaka kuolewa au kuoa hakikisha unaoa au kuolewa na mtu mwenye akili timamu, usipofanya hivyo matokeo yake mnaibebesha nchi watu wapumbavu ingawaje shule wamekwenda"...
  19. Ripoti Goldman Sachs: China na India zitaongoza Uchumi wa dunia mwaka 2075

    🇨🇳 China: $57 trillion 🇮🇳 India: $52.5 trillion 🇺🇸 United States: $51.5 trillion 🇮🇩 Indonesia: $13.7 trillion 🇳🇬 Nigeria: $13.1 trillion 🇵🇰 Pakistan: $12.3 trillion 🇪🇬 Egypt: $10.4 trillion 🇧🇷 Brazil: $8.7 trillion 🇩🇪 Germany: $8.1 trillion 🇲🇽 Mexico: $7.6 trillion 🇬🇧 UK: $7.6 trillion 🇯🇵 Japan...
  20. G

    SoC03 Mfumo wa elimu wa nchi yetu hauendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa

    Mfumo Mbovu wa Elimu Tanzania: Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa taifa. Hata hivyo, katika karne hii ya teknolojia na maendeleo ya haraka, ni muhimu kutathmini na kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya dunia ya kisasa. Katika kesi ya Tanzania, mfumo wa elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…