nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Eti Kwamba TANZANIA nayo ina inteligence,kwamba tunavyombo vya ulinzi na usalama vyenye uzalendo kwa Taifa lao! Hebu acheni dhihaka.

    Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana . Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali zake zote kwa maslahi ya taifa na na raia wake ndivyo ilivyo kwa mataifa mengi duniani yanayo piga...
  2. GE2025 Sugu: No Reforms haikuanza na CHADEMA. No Reforms walianza nayo wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita

    Wakuu, Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita. Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita Wananchi walikataa tamaa kwenye Uchaguzi kwani walianza kukataa kujitokeza kupiga kura Msikilizeni hapa
  3. Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  4. Tulia Alikejeli Wanaotekwa na Kuuawa, Tuamini Kuwa Nayo Yalikuwa Ni Maelekezo Maekezo?

    Tumeambiwa kuwa marehemu Ndugai alizuia pesa ya matibabu kwa Lisu, na kisha kumsimamisha ubunge kwa madai kuwa ni mtoro, huku Dunia nzima ikijua kuwa Lisu yu mgonjwa, tena mgonjwa majeruhi, akipitia hali hatari ya maisha yake. Sababu ya kufanya hivyo, tumeambiwa kuwa Hayati Ndugai alielekezwa...
  5. Fatma Mwasa: Rais Samia ametoa TZS327bn kwaajili ya barabara za mkoa wa Kagera| Angalia hii orodha uone kama kuna barabara inakuhusu kwa safari zako

    https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
  6. Kama Ccm umejiunga nayo ulivyofika Chuo Kikuu huwez kumuelewa Polepole.

    Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion. Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole. Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua...
  7. Sakata la Sheikh Nkokoo kujiteka: Taasisi ya The Islamic Foundation nayo yathibitisha alikuwa anakwepa madeni, yalipongeza jeshi la polisi

    Sasa ni dhahiri kila jambo tulifikirie kabla ya kulaumu Polisi. Hata Kenya wakati mchungaji Makenzi akiua waumini, watu waliaminishwa kwamba Polisi walikuwa wanawateka. Haya sasa, taasisi ya dini yenye heshima kabisa, imeungana na Jeshi la Polisi kwamba sheikh alijiteka.
  8. Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

    Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali. Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje? Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya...
  9. M

    Iran yaiondolea Israel Confidence iliyokuwa nayo

    Siyo siri, Israel ilishaanza kujisahau, ilidhani yenyewe ni superpower tayari, kumbe ni ka entity fulani ambako survival yake hapo middle east inategemea kulindwa, kukingiwa kifua, kupetiwapetwa na west. Kitu ambacho Iran kamfanyia Israel, kamwe Waisrael hawatakisahau. Israel ilidhani iko...
  10. Tambua Utapeli Mbalimbali Mtandaoni - Sitapeliki

    Karibu Wadau wa JamiiForums! Kama mpenda teknolojia na mtafiti wa masuala ya usalama mtandaoni, leo nimekuja kuwafunua kuhusu utapeli unaosambaa kwa kasi katika dunia ya kidigitali. Najua kuna watakao pokea elimu hii kwa mikono miwili, lakini pia kuna wale watakao pinga kwa ubishi na ujuaji...
  11. Je, tabia iliyoibuka kipindi cha kubalehe, ndio upo nayo hadi sasa?

    Muhali gani Wadau; Kiukweli kila mmoja wetu humu na nje ya humu JF alishaipitia hii hatua ktk ukuaji wake, ndio kama ukaribisho wa kuingia kwenye utu uzima. Kila mmoja ana style yake ambayo alibadilika kitabia, Wapo ambao balehe yao iliwatuma Ujeuri, Kiburi, Kujiamini kuliko kawaida, Ubabe, na...
  12. C

    Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM, hivyo wanaipenda kwa hofu na unafiki. Haipo mioyoni mwao kabisa na kupingana nayo ni kutafuta mauti

    Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
  13. Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Friends and Our Enemies, GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake. Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
  14. Usiku wa leo kuna members watakuwa bize kugombania kuanzisha uzi wa Berkane Vs Simba, hii nayo ni tatizo la afya ya akili

    Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi? Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi. Fun enough...
  15. S

    Akili mnemba (Artificial Inteligence) Waafrika tumezaliwa nayo sema basi tu elimu yetu tulishindwa kuiweka kwenye mfumo

    Akili mnemba (AI) siyo kitu kigeni saana! Afrika kwa asili tumezaliwa nanuwezo mkubwa wa kuunda akili mnemba sema basi tu hajui kuendeleza au kuweka vitu vyetu katika mfumo. Maana rasmi ya akili mnemba ni akili bandia! Lakini ukiniuliza mimi fundi SAMICO nikueleze kwa kina hii akili bandia...
  16. Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu

    Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu. 1.ilikuwa kati ya miaka 96 ad 98 wakati mdogo niliona nyoka ana vichwa viwili niliogopa sana..hii ilikuwa Moro vijijini. 2.miaka hiyo hiyo nikiwa kwa bibi maeneo ya kibungo juu kuna siku mvua...
  17. Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  18. Ni wazi kujiondoa kwa G55 kuna ajenda ya siri ya kutaka kuyumbusha chama lakini hii nayo inampigia promo Lissu duniani kote

    Kila mmoja anajua na hata ualaya wanajua Lissu amehamasisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki nchini, sasa anae waelewa hawa G55 aje anieleweshe wanapinga nini ? kwenye mabadiliko hayo na progamu hiyo ya chama. Ukiangalia vizuri hawa G55 wana ajenda ya siri nyuma ya pazia au wametumwa na mtu...
  19. R

    Law School matokeo yametoka, je wamefeli kama miaka yote? Mwenye nayo atuwekee hapa

    Yametoka usiku huu. Mwenye nayo atuwekee hapa tafadhali Mitihani ya Law Shool imekuwa changamoto kubwa sana kwa vijana wetu. Wanafeli kama vile hawajawahi soma sheria.
  20. Hivi nguo ya ndani unaichukuliaje? Upo serious nayo au unavaa yoyote tu iliyo karibu?

    Unavyotoka lazma unakuwa makini sana na kivazi unachotupia juu. Ndio. lazma ujipitishie kioo kuhakiki kama kivazi kimekaa vema au kinahitaji marekebisho, lazma uhakiki kama dizaini ya nguo, rangi na kila kitu zinaenda sawa na wewe. Je kwa chupi unaipa umakini huohuo au unavaa tu unayoiona ipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…