Ngoja niu zoom
Huo mti ni mingi -watu wameuotesha kama pambo tuu na wala haiuzwi.
Sio ya kutafut nenda wanakouza maua mbano yapo nje nje tuuHabari za weekend wakuu, nahitaji hii mimea mmoja ni Anubias Nana, na mwingine ni Pothos
Kama unayo naomba tuwasiliane kujua bei na jinsi nitakavyoipata
đź‘‹
Kweli kabisa - hata watu binafsi wapenda maua wameyaotesha nyumbani kwao.Sio ya kutafut nenda wanakouza maua mbano yapo nje nje tuu
Hizo ni aquatic plants, tafuta wauza aquarium, jaribu huyu Marybul Tropical Fish Store (Victoria Branch)Habari za weekend wakuu, nahitaji hii mimea mmoja ni Anubias Nana, na mwingine ni Pothos
Kama unayo naomba tuwasiliane kujua bei na jinsi nitakavyoipata
đź‘‹
Sawa mkuu, lakini nimeenda Kwa wauzaji wa maua wa karibu sijapata.Sio ya kutafut nenda wanakouza maua mbano yapo nje nje tuu
Gharama za kuja huko imekaaje mkuu?Naomba chukua huko wasipouza njoo uniuzie mkuu nakuomba