nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Silaha ya Ushindi iliyobakia kwa CHADEMA ni moja tu, nayo ni silaha ya fedha

    CHADEMA ilishatumia silaha nyingi sana lakini zimekuwa zikiyumba au kutokuleta matokeo mazuri Silaha iliyobakia ni moja tu ambayo ni silaha ya pesa CHADEMA itakapochangiwa na Wananchi fedha nyingi matokeo yake itakuwa CHAMA hatari sana sana ambacho hakijawahi kutokea Kitakuwa ni CHAMA tajiri...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Odero amekuja na kamati yake ya maridhiano, je mnakubaliana nayo?

    Wadau naomba majibu kwenye kichwa Cha habari hapo juu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Venezuela yajiondoa Rasmi ICC. Ni muda muafaka kwa Tanzania nayo kujiondoa kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo na kukumbwa na kashfa mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kila Uchao. Kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo,kupoteza imani na...
  4. JamiiForums Tanzania Mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru kwelikweli

    Hakuna mtu atakayekuja kukuambia au kukufundisha ukweli. Ukweli unafahamika na unapatikana kupitia kufahamu. Kufahamu ukweli ndiyo ukweli wenyewe na hiyo ndiyo maana ya maana ya kufahamu kweli. Jamii ina namna yake inayotaka mambo yafahamike ndiyo maana ipo mifumo mingi sana leo Duniani ambayo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Misheni iliwekwa sawa mipango ikaparanganyika sasa tunakwenda nayo kwa namna yeyote

    Mipango ilipangwa kwa umakini wa hali ya juu kwanza kabisa ndani ya chama tuliweza kuwadhibiti makada wakorofi ambao wangeweza kuvuruga tukachapisha fomu moja kelele zilivuma lkn hazikuwa na madhara yeyote Mpango wa pili ulikuwa dhidi ya upinzani hawa nso tungewacha tuu bila uthibiti...
  6. JamiiForums Tanzania Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Serikali nayo ikiwa ni ya walalamikaji inaondoa matumaini

    Nukuu ya mazungumzo ya kwenye video "Wapinzani wanailaumu Serikali, wanalaumu mifumo, wanalaumu mahakama, wanalaumu Jeshi la Polisi, na kadhalika. Lakini wanasimama viongozi wa Serikali, wanawalaumu wapinzani, wanalaumu Diaspora, wanalaumu watu walioko nje. Hakuna anayekaa mahali pa kuleta...
  8. JamiiForums Tanzania Yemen nayo yawasaidia Israel na US dhidi ya Iran

    Serikali ya Yemen inayotambuliwa kimataifa imesema vikosi vyake vimeishambulia Uwanja wa Ndege wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi wa Houthi, kwa lengo la kuzuia ndege ya Iran kutua katika uwanja huo. Hali hii inanishtua sana. Hawa Yemen si walipaswa wawasaidie Iran?
  9. JamiiForums Tanzania Kujichua ni kawaida na afya. Watu wengi huendelea nayo hadi utu uzima ila pale inapokuwa uraibu hadi kususia sex na majukumu basi shida unakuta ni hii

    Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina. Usicheze na kitu kinaitwa...
  10. JamiiForums Tanzania Yawezekana CHADEMA hawajaelewa nguvu waliyo nayo! Waache kusikiliza kila mwanaharakati, Chama makini mambo yao uamriwa ndani wala si watu wa nje,

    Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie Mimi ni CCM mfu niwe wazi, ila Ninapenda kuona CHADEMA ikiendelea kuimarika zaidi na zaidi kwa kuwa ndo chama mbadala, achana...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wameigeuza 7/7 kutoka kuwa Siku ya Maonesho ya Biashara Mpaka Kuwa ya Maonesho ya Silaha. 8/8 Nayo Wataigeuza?

    Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza. Bila shaka wanaowatumia...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiona unaihangaikia sana ujue siyo ya kwako mwenye nayo haiombi

    Shikamoo wakuu kama kichwa cha habari hapo juu. Ukiona mke wako anakunyima unyumba na hana time na wewe ujue hana hisia na wewe. Mwanamke anayekupenda lazima akumiss na hasiti kukuomba akiwa na ugwadu bila hata kutumia nguvu. Maana hisia za mwanamke zipo juu kuliko za wanaume.
  14. JamiiForums Tanzania Mama mwenyenyumba anataka niichape ili nimpe laki 1 ana shida nayo

    Ni mrembo, ni nurse by professional. Ameniambia nisimkopeshe anaogopa kuniahidi uongo ila yuko tayari kunipa niichape. My take: Naona kabisa amekwama kweli hivyo nimepanga kumpa hiyo hela ila nisimpige mkuyenge au ntakuwa nimezingua kimaadili? (Maadili ya kibaharia)
  15. JamiiForums Tanzania Wataalamu hii nayo ni kanzu ⁉️

    N.B Huyu ni nani huko dar?! Naona yupo main table na bosi kusaga
  16. JamiiForums Tanzania PNA: Tuheshimu Mawazo ya Wengine Hata Kama Hukubaliani Nayo!, Simai ni Jasiri, Shujaa, Hoja ya Yuda ni ya Msingi, Asibezwe, Asikilizwe Afafanue!.

    Wanabodi, Angalizo la Nyuzi Ndefu JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli zake za kumuingizia kipato kuendesha maisha yake, hivyo wao wanaandika jf kama past time tuu, mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Kesho nayo ni siku

    Leo imeisha hivyo, Katika mizunguuko yangu ya siku hatimae nimerejea nyumbani, nimerejea nikiwa na maumivu ndiyo! Ni maumivu ya uchovu wa kazi lakini pia ni maumivu ya kukosa bila kuambulia chochote yaani nimetoka patupu Basi najisemea siku hazifanani kesho nayo siku Ndio hivyo wakuu.
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mmasai anayeshutumiwa kumuua Mchina inavutia kimedani. Nipo interested nayo kuona kile jeshi letu litafanikiwa na kwa muda gani

    Habari za jumapili! 1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni. 2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la maasai. Hii ni kusema taarifa inaripotiwa mchina auawa na mmasai. 3. Wamasai ni moja ya Makabila...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Ukraine kuzishambulia vinu vya kuchakata mafuta leo hii Russia nayo ya shambulio makazi ya Raia

    Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu. Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
  20. JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa hii Nyota Kali uliyonibariki nayo, japo nakiri inatusababishia tuchukiwe, turogwe na tuonewe wivu sana

    Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi GENTAMYCINE. Kwa wale ambao mnajijua mna hii Nyota kama yangu na ambayo imesemwa hapa kama ukitaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…