Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy.
Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization kwenye hii strategy naona ni rafiki sana.
Kabla sijaiingiiza kwenye real money naombeni muongozo...
Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu.
Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?
Hata ukienda na fundi ni ngumu kukagua matatizo yote.
Gari inaweza kukazwa vizuri unapoenda kuinunua na ukaitesti ukajisifu umevuta chuma ila kuna matatizo hutaweza kuyaona kwa muda huo, utayajua baadae
Gari kunywa sana mafuta
Enhine kumaliza oili haraka kila miezi mitatu unabadili
Gari...
Hii tume nayo inamuogopa mafwele!?
Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu
ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama
Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja
Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
"aah wapi, hayo mapiza na mabaga wanayokula na mimi ninae kula matembele vyote vitaishia kuwa mavi tumboni"
"usione mtu amekuwa tajiri kiasi hicho wewe, watu wanalala na nyoka kitandani, wewe unaweza?"
"usione dar hii watu wengi hali ngumu, lile sanamu la askari pale posta ndilo linalonyonya...
Tuambizane ni kero gani unakutana nayo wakati wa kufanya mapenzi?
Mi kero nayokutana nayo ni kukuta mwanamke haoneshi ushirikiano hata ukitaka kumgeuza dog hataki kero ya pili mwanamke ambaye uke wake unatoa harufu mbaya na pia kinywa chake kichafu unashindwa hata kumla denda.
CHECK OUT THIS SIMPLE AND COMPACT
SEBULE KUBWA NZURI ,DINNING ,OPEN KITCHEN ,1SELF BEDROOM,1SINGLE BEDROOM ,AND MASTER BEDROOM WITH CLOSET ,PUBLIC TOILET
CALL US +255624004650
Abdul Malik xxxxx tupo naye ubalozini akiwa ni Mwambata wa Balozi wa Egypt hapa nchi X. Tulikuwa na meeting na katika maongezi tukizungumzis mambo kadhaa wa kadhaa akaanzisha mazungumzo about siasa za Tz na last election.
Bahati mbaya nilimwambia mimi ni mfanyabiashara from Tz sikumwambia hasa...
Boxer umezunguuka nayo wee, usiku unaoga, unarudia boxer hiyo hiyo, mkiulizwa mnasema mwanaume unakuaje na boxer nyingi, je hicho sio kichaa? nyie ndio mnaumwa fungus kisha mkikutana na wadada mnawaambukiza.
Mwanaume usafi, kua na boxer za kutosha and keep your closed parts clean and dry...
madola 5 ya kijeshi, yakiwa na maelezo ya mwaka yalipoanza kutawala kwa nguvu na mwaka yalipoporomoka:
1. Dola la Roma (Roman Empire)
Mwanzo wa utawala wenye nguvu: 27 KK (chini ya Augustus Caesar)
Kuporomoka: 476 BK (Dola la Roma ya Magharibi)
Maelezo: Jeshi lake lilitawala Ulaya, Afrika...
Who are you sasa kazi unayo nendeni wikipedia mkaone wasifu wake hatambuliki kuwa ni raisi 2025.
Na wameshamsagia kunguni ya wasifu wake kwenye wikipedia.
Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa.
Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
Wakuu,
Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
facebook
freedom of expression
instagram
kichwa
maandamano oktoba 2025
maandamano oktoba 29
mitandao
mtandao haupatikani
mtandao kuzimwa kwenye uchaguzi
mtandao kwenye uchaguzi
nayo
signal
telegram
tiktok
uchaguzi 2025
uchaguzi mkuu 2025
uhuru wa habari
uhuru wa maoni
whatsapp
youtube
Hi
Wakazi wa dar ni changamoto
Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini
Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo
Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
Kuna mambo kadhaa katika activities za WhatsApp yanayoweza kufuatiliwa (tracked) hata kama kuna usimbaji fiche wa mwisho-hadi-mwisho (end-to-end encryption), hasa kupitia ukusanyaji wa data-mama (metadata) (kama vile ni nani uliyewasiliana naye, lini, na anwani yako ya IP), udhaifu wa kifaa...
Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.
Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana .
Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali zake zote kwa maslahi ya taifa na na raia wake ndivyo ilivyo kwa mataifa mengi duniani yanayo piga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.