nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

    Habari za Sabato! Kwa kweli Sisi wengine tulishaweka miiko na mstari kuwa Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli wala asiyeweza kujinunulia vocha huyo hatuwezi ku-date naye. Kwanza hatuamini kabisa kuwa Mwanamke mrembo na mzuri anaweza kukosa nauli au vocha. Hilo siwezi kuamini. Hiyo imetusaidia...
  2. J

    Mtei Express Babati - Dar mna huduma mbovu sana zisizoendana na nauli

    Hili basi lilipoanza huduma ya Luxury mara ya kwanza lilikuwa vizuri ila kadri siku zilivyoenda huduma zimegeuka kuwa za hovyo sijui tatizo ni nini, Usimamizi mbovu no customer care at all imagine na hii ni Luxury na imeidhinishwa kama gari la level ya Luxury na wanatambulika LATRA kama Luxury...
  3. Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo. Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili...
  4. Asante sana we mdada ulionilipia nauli

    Nadhani upo humu, Kama kweli basi pokea asante yangu. Ilikuwa hivi: Naamka najiandaa kwenda job, Naingia kwenye gari kuweka switch on kitaa cha wese kina blink, sio kesi ni kawaida tu matarehe yakichachamaaga hivi kulitelekeza gari na kujiunga na public transport. Mzee baba nikachomoka...
  5. LATRA mkoa wa Morogoro simamieni bei elekezi za nauli za usafiri wa umma

    Katika tembea tembea zangu, mkoa wa Morogoro ni moja ya sehemu ambayo mfumo wa nauli haujakaa sawa. Ukipanda daladala za Dar es salaam mfumo wa nauli umekaa vizuri sana na unaeleweka na inaonesha ni wazi kabisa mamlaka zinafatilia juu ya hilo. Mfano gari linatoka Tandika kwenda Mbezi nauli ipo...
  6. KERO Responded Serikali isikie kilio cha Barabara ya Goba Mpakani, ruti zinabadilishwa, wanapandisha nauli kiholela

    Jamii Forums naomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu Barabara ya Goba Mpakani hadi Tegeta A hapa Dar es Salaam, ni mbovu sana na inatugharimu sisi raia wa kawaida. Mfano mvua iliyonyesha jana tarehe 5 Mei, 2023 eti imesababisha tubadilishiwe ruti na nauli ipande, je hii ni sawa? Mwezi uliopita...
  7. Nauli ya Dar es Salaam - Arusha ni kiasi gani?

    Wakuu kwema, Nina safari kidogo ya kutoka Dar es Saalam kwenda Arusha naomba kujua bei ya nauli ya kutoka Dar kwenda Arusha na basi gani?
  8. Swali kwa LATRA Kuhusu Nauli za Mikoani

    Naomba kuuliza kwanini nauli za kutoka Dar kwenda mikoa mingine zinatofautiana na zile za kurudi hasa vituo vya njiani kwa mfano, hivi majuzi nilipanda bus moja kutoka Morogoro kwenda Mbeya nikalipa Tshs 45,000, jambo la kushangaza wakati narudi nilipokwenda kukata tiketi kwenye bus lilelile...
  9. Katibu wa UWT mkoa wa Kilimanjaro jifunze alama za nyakati, punguza kupokea mlungula na warejeshee akina mama nauli walizotumia kwenda Dar

    Niwe muwazi na mkweli. Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023. Tumepatwa na kila aina ya dhoruba. Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui...
  10. Erasto Nyoni asaidia kuwalipia nauli MajiMaji ya Songea

    Beki wa kati wa Simba SC Erasto Nyoni baada ya Timu ya Majimaji ya Songea kukwama jijini Dar es Salaam kwa kukosa pesa ya nauli na deni la Hoteli juzi alifanikiwa kuwasaidia kulipa na kuwapa Tsh. Milioni moja ambayo wamefanya nauli ya kurejea Songea. Erasto ni Mwenyeji wa Songea na ameongea...
  11. Kama hujawahi kuliwa nauli wewe sio risk taker,utakufa masikini

    Kama unaogopa kutuma nauli ya basi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y utaweza kweli kuagiza mzigo wa milioni kadhaa online huko China au Dubai, Duniani marisk taker ndio waliofanikiwa Take a risk tuma nauli ujilie vinono Mi nimeliwa sana nauli ila na mimi nimewala sana waomba nauli. Hata nimiliwa...
  12. Kurudishiwa nauli baada ya basi kusitisha safari

    Leo basi la Shabib VIP la saa 8 toka Dar (Shekilango) kwenda Dodoma, abiria walitakiwa wabadirishiwe basi na walitakiwa walifuate Stendi ya Magufuli, Mbezi. Sijui kama walifanikiwa kusafiri au la. Ila mkatisha tiketi (mdada) pale Shekilango alikiona cha moto. Jana, basi la Buti la Zungu la saa...
  13. F

    Kupanda kwa nauli za mwendokasi: Mkakati wa kuboresha sekta ya usafirishaji wa umma utakaoleta matokeo mazuri katika usimamizi na uendeshaji wa mradi

    Kufuatia Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kumtangaza bei mpya za nauli, nimeona mtazamo wa baadhi ya watu ukiwa kulekule vitu vinapanda bei sana. Kufuatia mtazamo wa namna hiyo nami nitachangia machache juu ya faida za kupanda kwa nauli za usafiri huo husasani katika suala zima la...
  14. Nauli mpya za Mwendo Kasi Dar zimeanza kutumika leo 16.1.2023

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa bei mpya za nauli kwa watu wazima wanaosafiri katika njia kuu na mlishi zinatakazoanza kutumika leo ambazo zimeidhinishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja Uhusiano wa Dart, William Gatambi...
  15. Mwendokasi wakipandisha nauli, basi nyingine ziruhusiwe kuongeza nauli

    Umoja wa mabasi muda wa kuwa kitu kimoja sasa Hivi karibuni tulitangaziwa ongezeko la nauli za mwendokasi. Sijui zinaanza lini Kama wameruhusiwa na mamlaka husika na nyie mabasi ya kawaida mpandshe Wote mnatumia mafuta aina moja vyema kukawa na usaws kwenye swala la nauli na matumizi ya...
  16. Nauli mpya za Mwendokasi

    Mungu akipenda, tutaoiona kesho huenda hizi zikawa nauli mpya.
  17. Nauli mpya za Mwendokasi, Teksi Mtandao hizi hapa

    Nauli mpya za mabasi ya mwendo wa haraka zitaanza kutumika kuanzia Jumatatu Januari 16, 2023 lakini nauli ya wanafunzi itabaki ileile ya Sh200. Hatua hiyo inakuja baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kuridhia maombi yaliyowasilishwa katika mkutano uliofanyika Januari 3, 2023...
  18. LATRA yapandisha nauli za Mabasi ya Mwendokasi, Teksi na Pikipiki za mtandaoni

    Kuanzia Januari 16, 2023 Nauli ya Mabasi ya Mwendokasi itakuwa Tsh. 750 kutoka 600, njia ya mlisho (Feeder Route) ni Tsh. 500, njia ya mlisho na njia kuu (Feeder & Truck Route) Tsh. 900 njia ya Kimara - Kibaha ni Tsh. 700 badala ya pendekezo la DART la Tsh. 1,200. Teksi Mtandao za abiria Tsh...
  19. Serikali imeshindwa kuzuia upandishaji nauli holela wakati wa sikukuu?

    Imekuwa ni kawaida kuona taarifa za ongezeko la nauli za usafiri hasa mabasi yanayosafiri mikoani, lakini Serikali mara zote imekuwa ikitoa matamko kadhaa lakini kiuhalisia hakuna mafanikio kivitendo. Mfano ukienda Kituo cha Magufuli vilio vya nauli kupanda vipi tena kwa wingi, ninachojiuliza...
  20. LATRA acheni kuhangaika na nauli za Desemba tu

    Binafsi sioni mantiki ya serikali kuhangaika na kupoteza muda na nauli za mabasi kila mwezi wa December ukifika. Huu ni uingiliaji wa kanuni ya biashara inayoitwa "demand and supply in relation to price". LATRA inatia aibu kugeuza kila kitu kuwa siasa na kampeni. Inajulikana na kufahamika kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…