Leo nimepanda daladala!! Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,195
18,501
Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii

Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala

Kumbe nauli zimepanda kiasi hikišŸ˜¢
Halafu mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosha

Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha kama una usafiri wako mshukuru sana Mungu aisee

Sio kwa nauli hizi za daladala!! Kizimkazi wala hajali lolote.

Kufa hamtokufa ila cha moto mtakiona!! Hii ndo hasara ya kuwa na watawala wenye roho ya kiswahili, wivu na husda dhidi ya raia wake wenyewe kwamba wakiweka mambo sawa wananchi watafaidi sana kwa mtazamo wao!! Hovyo kabisa!!
 
Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii

Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala

Kumbe nauli zimepanda kiasi hikišŸ˜¢
Halaf mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosja

Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha kama una usafiri wako mshukuru sana Mungu aisee

Sio kwa nauli hizi za daladala!!Kizimkazi wala hajali lolote
Hebu twende sawa, wewe kwenye hilo gari lako kwa siku unatumia mafuta ya shilling ngapi n daladala bei gani?
 
Kwa hiyo mama anahusikaje na nauli kupanda?

Tatizo lile lizee sijui liliwaloga! Maana vyuma vilikaza lakini kwa umbumbumbu wenu mnajidai kusahau!

Acheni upumbavu!

Nchi inaenda vyema kama wakati wa Born Town.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom