nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS...
  2. JamiiForums Tanzania Nataka Tv used inch 32, nipo Tabora

    Kama uko Tabora na unauza tv inch 32 niambie nataka ilio tumika nataka kwa leo au kesho nitajie bei na aina ya tv na sehemu ulipo na pia kama una picha itapendeza.
  3. JamiiForums Tanzania Bandari ni mali ya umma, wananchi tuna haki ya kuhoji

    Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana. Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa. Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua goli la Kitimoto Ujiji Kigoma

    Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi. Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo. Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kumfungulia mtoto account ya USD kwa ajili ya kumtunzia hela

    Mambo vp wadau kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua faida na hasara kwa kufungua acc ya usd kwa kuhifadh hela naomba anifafanulie nipate uwelewa vizuri.
  6. JamiiForums Tanzania Nataka kuoa naombeni ushauri wenu jambo litimie

    Kwakwel nataka kumuoa MAMA UMUT lakini sijui chochote yani kuhusiana na kupeleka barua na posa pia. Kwahyo nikaona nina familia kubwa na ndugu wengi huko JamiiForums niwashirikishe ili nijua BARUA inahitaji nini na iweje NA POSA iahitaji nini na iweje. ASANTENI SANA USHAURI WENU WANA JAMVI
  7. JamiiForums Tanzania Topic ya shisha: Nipo Dynasty UNUNIO kufurahia salary, watu wanavuta shisha balaa nataka kujaribu

    Vipi Ina raha Gani sijawahi jaribu kuvuta chochote sio sigara sio nini. . N.b : ule uzi wa kuacha pombe Kwa miezi sita ushafeli napiga JB Mdogo mdogo nipo na yule mpangaji.
  8. JamiiForums Tanzania Mwajiriwa nataka nifungue biashara ya ps, mchanganuo wangu huu hapa, naombani mnirekebishe na kunipa ushauri

    Habari zenu, Nimechoka kusubiri mshahara wa kila mwezi nimeona nijiongeze, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya Ps nipo Mbeya. naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine MCHANGANUO WANGU MTAJI WA KUANZIA PS4 nne zenye games 2,500,000 tv nne 1,500,000 pad...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka nifungue gaming centre, mambo yapi nizingatie

    Habari zenu, Nataka niongeze kipato nje ya mshahara wa ajira, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya ps, gharama nilizopangilia, naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine PS4 nne zenye games 2,500,000 tv nne 1,500,000 pad mtumba za ziada - 300,000 spea za...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka Serikali moja tu ya Muungano, sitaki mbili wala tatu

    Utanganyika na uzanzibari imeanza kusikika, wenye mamlaka nao wamekaa kimya hawataki kukemea ubaguzi huu unaoendelea nchini. Tulishaungana tangu 1964, hakuna serikali ya TANGANYIKA wala ya Zanzibarinatikiwa iwepo hadi leo,tumewezaje kuungana bila serikali kuungana, Zanzibar inakuaje na...
  11. JamiiForums Tanzania Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

    Habarini? Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda...
  12. JamiiForums Tanzania Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

    Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu. Now its too much. Aende zake kwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa winga Kariakoo

    Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga Kariakoo, sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya. Wiki ijayo naingia Dar kutoka Singida na ni mara yangu ya kwanza kufika Dar 🙏.
  14. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza biashara ya tofali

    Naiitaji msaada wa mawazo. Et naitajika kua na vifaa gan nikitaka kufungua kiwanda kidogo cha tofali kijijini. Na hivo vifaa navipata kwa bei gan. Note: kama kifa unacho unaacha mawasiliano na bei. Mimi nipo Tanga, Pangani.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nataka nije na dini mpya

    Kwa hoja zifuatazo 1 Kuoa mwanamume aoe infinitely kulingana na uwezo wake. 2. Kuoa mke mmja ni dalili ya uroho na kukosa ukarimu Kwa wengine. 3. Mwanamke anaweza kuoa wanaume zaidi ya mmja kulingana na uwezo wake 4. Kwamba Mungu ni upendo. 5.kwamba hakuna aliye Bora kuliko wengine,hakuna...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeboreka nataka mwanamke wakuchat nae

    Ndo ivo Ijumaa ila niko mpweke naomba ujee basi tuchat
  17. JamiiForums Tanzania Mshahara wa June vipi, nataka nitaka nikabe hadi penati wadeni wangu!!

    Habari wadau! Naulizia mshahara wa June 2023 umetoka au bado? Nina wajinga wawili nataka niwape experience ya kudaiwa waache juchukulia watu poa!
  18. JamiiForums Tanzania Dogo namwona hayupo Serious na Maisha kabisa. Nataka nimfukuze Home

    Anaamka asubuhi anajiangalia kwenye kioo. Nimemshangaa sana. Halafu anatumia dk 10 zote akinyoosha nguo. Haya maisha mtu hana kazi anategemea kula kwangu. Anataka apendeze . Ili iweje? Kama vile haitoshi kanaondoka asubuhi hii kanajipulizia na utuli. Nimekwazika sana. Huyu dogo kamaliza Chuo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

    Habar wakuu !!! heading isiwachanganye taratibu mtanielewa ipo hv maisha ni magumu sn kila siku watu wanatubeep so sad ni kibaya zaid sina bib wala babu ambae ni mganga ila nashukuru MUNGU nimepata elimu sasa nikapata wazo nikichukua elimu niliyonayo plus UCHAWI naweza fanya kitu kikubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

    Hi, Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni umuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa. Mara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…