nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Tundusami

    Nataka mwanamke mwenye umbile la asili

    Natafuta mwanamke mwenye umbile la asili sio surgery awe na tako kubwa asiwe amejichubua awe mzuri wa sura na tabia njema Asiwe mzanaki, asiwe mvivu wa kufanya kazi Ajue kulea watoto Awe na matumizi ya pesa mazuri Awe tayari kuishi popote hata kijijini Ajue kupika chakula Ajue romansi...
  2. Chizi Maarifa

    Pamoja na kuwa huwa na enjoy lakini nataka kujua haina madhara kweli?

    Huyu demu huwa sometimes akija ofisini kwangu kwa kuwa nakuwa alone hasa jioni basi namchapa nao. Sasa msianze kusema oooooh.... Sijui mikosi sijui nini... Sitaki lecture hapa. Kwanza mikosi gani serikali haiamini ushirikina. Na huku ni nchi za watu. Hayo mambo imani zenu mbaki nazo huko huko...
  3. Dong Jin

    Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Wazee kwema Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅) Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je, ni wapi ambapo...
  4. comrade_kipepe

    Nataka kununua kiwanja Zanzibar

    Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani. Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
  5. MakinikiA

    Nataka kununua za kumwagilia mpunga

    Kwa mwenendo huu wa changamoto za maisha huku maporini nahitaji kama 10 zitanisaidia kwenye ukombozi. US$20,000 = 50,000,000tsh
  6. K

    Nataka kufungua biashara ya khanga na vitenge naweza wapi kupata kwa Bei ya jumla?

    Habari zenu wadau wa jukwa la biashara. Nakua hapa sintakosasaada wa ombi langu. Ombi langu kwenu ni kutaka kufahamishwa ni sehemu Gani kwa Dar es salaam ambapo naweza kupata khanga na vitenge kwa Bei ya jumla,NAMI kwenda kuuza kwa Bei ya lejaleja. Naomba msaada wenu tafadhari Natanguliza...
  7. Foffana

    Nataka kuanza safari yangu ya kuwa Data analyst unanishauri nini katika safari yangu?

    Habari zenu Mabro Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
  8. Lagertha

    Nataka kuhama Dsm, nishauri niende Mkoa gani?

    Salaam wanajamvi, Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani? Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa upo, Tafadhalini mnishauri kwa upendo, nina vidonda vya tumbo.
  9. 4

    Nataka kutana na top 3 viongozi wa nchi hii. Nipo na ujumbe kwao

    Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k Nataka kutana na uongonzi wa taifa ,namanisha top 3 . Nimepeni utaratibu namna ya kuwaona ila mambo ya kutekana, kupotezwa...
  10. Avith almachius

    Wanawake wanataka nini kwa mwanaume wasicheat?

    Wanawake wanataka nini kwa mwanaume wasicheat? Bas kimoja tu
  11. Mad Max

    Wenye Nyumba: “Nataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!” Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

    Kuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto. Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
  12. Sexer

    Nimechoka kudangangwa na kina dj Mark, Nataka niifaidi Soundbar yangu

    Wakuu msaada, nahitaji sana kujua kizungu cha kusikiliza hasa cha kwenye movie za wazungu. Najua kusoma na kuandika kiingereza. Mswahili mwenzangu pia akiongea kizungu naelewa kiaina, kimbembe kipo wakiongea wazungu na black america naambulia kidogo sana. Napenda sana movies za Hollywood...
  13. Mlume Ndago

    Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

    Habari wakuu, Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza. Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla. Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988. Katika cheti changu jina langu...
  14. Troll JF

    Nataka kujiunga na CHADEMA, nifanyeje ?

    Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM. Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
  15. Dennis Robert Shughuru

    GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

    Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram Wako watakaopiga kura Wako wanaosupport maandamano Wako wanaopinga Wako ambao hawajajua wako upande upi...
  16. Bei Rahisi Electronics

    Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Nina shida ya million 5 ni mtumishi wa umma nawezaj kupata mkopo na utaratibu upoje.Napokea laki 5
  17. kiss ov love

    Nataka kununua godoro kampuni hii, ushauri

    Nataka kununua godoro la spring kampuni hii, ushauri kwa waliowahi kutumia
  18. Kurunzi

    Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

    Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine. Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
  19. M

    Nina milioni 100 nataka nifungue kituo cha tiba(Afya) Tanzania

    Wakuu salaam, Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa tiba,majengo na kila kitu na lengo niwasaidie Ndugu zangu waTanzania maana nimewaza kufungua huku...
  20. La Quica

    Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

    Wakuu. Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii. Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili. I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant. Nishaurini maana mimi na huyu...
Back
Top Bottom