Natafuta kazi

MBUZI MWENYE BUSARA

Senior Member
Nov 24, 2019
143
151
Habari ndugu zangu,

Mimi ni mwanaume mchapakazi na muaminifu .Nina uzoefu miaka mitano hasa katika sekta binafsi kwenye kazi ya uhasibu haswa kwenye mambo ya kodi n.k. Nina uzoefu sana kwenye kazi zifuatazo:

●Preparation of payrolls
●cash management,
●Monthly filing of Vat Returns.
●Paye and Sdl efiling
●Withholding tax and Stamp Duty paymemts
●Preparation and Payment of Statutory Contributions like NSSF , WCF
●Data Entry into the Accounting system i.e QuickBooks, WebErp n.k
●Preparation of financial statements, etc

Pia, nina uzoefu mzuri kwenye kutumia computer tena kwa haraka.

Naomba kwa atakayehitaji mhasibu , Naomba uni-DM tafadhali ili niweze kumtumia CV yangu.Napatikana Arusha.

Asanteni.
 
Hakuna kilichotokea mkuu. Lakini nilitamani ningeenda kuonesha ujuzi wangu sehemu nyingine maana kila sehemu kuna vitu vipya tofauti vya kujifunza.
Hii sio kweli ,sema ukweli tu ndugu yangu kama umeharibu huko
 
Habari ndugu zangu,

Mimi ni mwanaume mchapakazi na muaminifu .Nina uzoefu miaka mitano hasa katika sekta binafsi kwenye kazi ya uhasibu haswa kwenye mambo ya kodi n.k. Nina uzoefu sana kwenye kazi zifuatazo:

●Preparation of payrolls
●cash management,
●Monthly filing of Vat Returns.
●Paye and Sdl efiling
●Withholding tax and Stamp Duty paymemts
●Preparation and Payment of Statutory Contributions like NSSF , WCF
●Data Entry into the Accounting system i.e QuickBooks, WebErp n.k
●Preparation of financial statements, etc

Pia, nina uzoefu mzuri kwenye kutumia computer tena kwa haraka.

Naomba kwa atakayehitaji mhasibu , Naomba uni-DM tafadhali ili niweze kumtumia CV yangu.Napatikana Arusha.

Asanteni.
Mungu akutangulie amiin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom