natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi: Nina Uzoefu Miaka 10 + Ujuzi Maeneo Zaidi Ya 17

    Habari za majukumu ndugu zangu! Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi. Nimefanya kazi kwa miaka 10 katika maeneo tofauti mpaka mwaka 2020 ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kupata ajira. Kilichotokea ni kwamba mradi niliokuwa nafanya kazi ulifika mwisho na shirika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fedha na mali nimepata, sasa natafuta mke (mchumba)

    Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo Napenda kuwatangazia wasichana wenye uhitaji wa kuolewa kwamba natafuta mke naomba tuwasiliane ili tukikubaliana na...
  3. JamiiForums Tanzania Uber driver natafuta gari

    Mimi ni dereva nina uzoefu mkubwa wa kutosha natafuta gari nifanyie kazi ya Uber/bolt Gari ndogo. Hesabu au mkataba vyote sawa Kwa yeyote Alie nayo Napatikana Temeke Mawasiliano: 0717285828
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Habari zenu ndugu, Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa . Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka 30 iwe mwisho Awe anajitambua Awe na elimu angalau Diploma na kuendelea Mwisho awe tayari kuolewa...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Habari wakuu, Kwa majina naitwa charz juma, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 natafuta kazi yoyote lakini hiwe halali
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ambaye ana uwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini

    Habari zenu wakuu, Natafta kijana ambaye anauwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini kwajili ya kazi ya kunyoa. Natanguliza shukrani Mawasiliano 0655087675
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 4 natafuta banda/frame ya uwakala

    Kama kichwa cha mada mie mdau nimebangaiza kitaa nina 4m hapa nataka nifanye biashara ya uwakala wa pesa kwa simu na mabank, natafuta frame ya kufanyia biashara hiyo iliyopo maeneo yalochangamka iwe Kinondoni, Mwananyamala, Kigogo nk. Nikiipata nianze kufuatilia lines za miamala na leseni ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo Beach

    Nawasalimu wanaforum wenzangu, Kama kuna eneo la Beach kuanzia heka 2 kwenda mbele, mkoa wa Pwani, Tanga ama Zanzibar bei za kawaida kwa sisi waswahili tafadhali tuwasiliane, WhatsApp +255675308774
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi

    Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi Sifa Awe mwanamke Awe anajua kusoma na kuandika kiingereza(Tutatumia vitabu vya kizungu kujifunza) Awe ndani ya Dar es Salaam Awe na umri wa kufanya maamuzi binafsi preferably 25+ Akiwa na elimu kuanzia Bachelor itakuwa poa zaidi Hit my inbox
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Marekani

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa kitanzania ninaomba mwenye ndugu au hata mtu wa karibu ambaye anahitaji mfanyakazi iwe ni baby sister au hata house girl MAREKANI aniunganishe, Mimi nipo pia naongea Kiswahili na Kiingereza vizuri, maisha magumu sana jamani ,pia ajira ngumu sana kupata...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kununua kampuni ya huduma ya chakula na vinywaji

    Wapedwa wadau napenda niwataarifu kuwa natafuta mtu mwenye mtaji wake wa kutosha company ya catering services ambayo inapatikana hapa DSM, imasajiriwa tangu mwaka 2017 mpka sasa ipo sokoni na inafanya kazi Ina vifaa vyote vinavyohitajika katika kazi hii pamoja na ofisi pamoja na wafanya kazi...
  12. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KIJANA ANAYEJUA COMPUTER

    Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama 1.Youtube 2.Website 3.Instagram page 4.facebook page Pia Ajue program za Editing angalau...
  13. JamiiForums Tanzania Single room needed Maeneo ya Tabata shule hadi Segerea

    Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba. Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita. Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi. Nb; Nina...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management

    Ninaitwa Louis M Fussi Nina umri was miaka 24, Nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management kutoka chuo kikuu SUA. Ninaomba nafasi ya kazi, kujitolea ili niweze kuepukana na vishawishi vya mtaani. Kuachana na degree pia nina leseni ya udereva. Namba za simu 0712730570
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme tukanunue wote vifaa original, malipo 50,000 to 100,000

    Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana, Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta girlfriend

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji mwenye nia ya dhati ya kuolewa sina vigezo ving ila kwa aliyetayarit uwasiliane inbox au atumie namb +255755772556
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Hadi sasa sijaona ushahidi wowote unaoonesha kulikuwa na ugaidi

    Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lakini kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi. Shahidi badala ya kuthibitisha uhusiano wa silaha iliyokamatwa na mtuhumiwa anakuja kutuambia silaha zilizokamatwa ni nzima kwani silaha kuwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina degree ya Bsc Environmental science and Management (SUA)

    Habari ndugu zangu, Husika na kichwaa cha habari hapo juu natafuta kazi ata ya internship ili nipate japo pesa ya kujikimu na maisha. Namba ya simu 0712730570 Email: louisfussi1999@gmail.com
  19. A

    JamiiForums Tanzania Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Habari wana JF, Mie kijana wa kiume, naishi Dodoma! Nina mke na mtoto mchanga wa miezi 4. Kitaalum ni muhitimu wa Bachelor ya Computer Science, na nilikuwa nimeajiriwa sehem lkn tulipunguzwa kipindi kile janga la corona limepamba moto. Sina kazi maalum kwa muda sasa, naunga unga tu...
  20. JamiiForums Tanzania Mimi natafuta mchumba nipo serious

    Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia Vigezo serious awe handsome wa kiasi . Awe 32 -40 Awe hajawahi kupata mtoto kokote. Awe anafanya kazi kaajiriwa . Elimu Anizidi mimi na Diploma . Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani. Asiwe mzubavu awe anachangamkia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…