natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuwekeza mtaji kwenye biashara ya utalii

    Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni msomi wa ngazi ya stashahada na shahada ya utalii na utawala wa biashara. Nimeyumba katika biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta machines ya kununua (Backhoe) used

    Habari wakulungwa Niko dsm, Natafuta backhoe, used ya kununua It is urgently pls Tuwasiliane 065-932-5453
  3. JamiiForums Tanzania Nimesoma Bsc. Human nutrition, natafuta kazi ya kujitolea

    Habarini wana JF, Mimi ni moja kati ya vijana ambao tumebahatika Kumaliza chuo mwaka huu 2021/2022 sina budi kumshukuru Mungu kwa hilo. Nimesoma Bsc. Human Nutrition, chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA). Shahada hiyo imejikita kwenye masuala yafuatayo; 1. Nutritional Assessment and...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu aliyesoma Computer Science

    Kama kichwa Cha habari kisemavyo Kuna projects nafanya inahusika na biological database, natafuta mtu aliyesoma computer science na anakaa Dar asiwe na kazi sababu mda mwingi atakua kwenye hii project Vigezo Awe amemaliza chuo mwaka jana Awe na uwezo wa kufanya presentation bila uoga au...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner tufungue mechanical workshop

    Ndugu wanajamvi, mimi nimejiajiri ktk tasnia ya ufundi ( mechanical Engineer) nimefanya ktk tasnia hii kwa miaka 10 sasa, kwa sasa nataka kushea changamoto na mtu mwingine mwenye nia ya dhati katika biashara, Maoni yangu nipate mtu ambae ana elimu ya ufundi katika kusimamia mafundi/ kazi au...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke Wa kuzaa Nae Kwanza

    Nimefungua hii thread niko serios sina utani hata point 1,sitojibu comment ya mtu yeyote zaidi ya PM tu kwa wale watakao kuwa serious na watakaokuwa tayari. Mimi ni kijana wa 32yrs nimeshakua na mpenzi si mara ya kwanza kuwa na mpenzi,nina mtoto 1 yuko kwa mama yake (nampenda kusiko tamkika)...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya PC Maintanance and Networking

    Habari wapendwa I hope ni wazima wa afya, naitwa Kelvin Dickson natokea Dar es Saalam natafuta kazi ya PC maintanance and Networking ambapo nimefanikiwa kupata certificate veta kipawa naweza fanya kazi zifuatazo kama: Windows installation Computer Repair and Maintainance Network Installation...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina bachelor degree in information technology"

    Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa. Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata Ajira ... Elimu yangu NI BACHELOR DEGREE IN INFORMATION TECHNOLOGY. nimespecialize kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kuuza dawa mwenye ADDO

    Habari wataalam, Ninatafuta binti wa kusaidia kutoa huduma ya kutoa dawa kwenye duka la dawa muhimu ambalo liko Dar wilaya ya Ubungo. Sifa za muombaji lazima awe amepitia mafunzo ya ADDO na awena cheti. Tuwasiliane inbox kwa wahitaji.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wateja wa Websites. Niko Arusha

    Habari za wakti huu; Kwa jina naitwa Libera Niko Arusha ni binti wa miaka 22.Ninafanya biashara ya kuuza website na bidhaa nyingine za kidigitali.Mwanzoni nilikuwa nafanya shughuli ndogo ndogo lakini nikapata mwalimu akanifundisha jinsi ya kutengenza website kwa kutumia wordpress.Kwa sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (part time job)

    Mimi ni binti wa miaka 22 natafuta kazi part time job, ambayo nitaifanya baada ya kumaliza vipindi vyangu vya chuo na ambayo nitaifanya weekend, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na chuo changu Kiko dar es salaam posta. Tafadhali wanajamiiforums nisaidieni
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Sifa zangu: 1. Hustler 2. Sina nyumba wala gari 3. Mkulima 4. Monogamous 5. Mkristo. 6. Miaka 26 7. Mweusi; urefu futi 5+ 8. Elimu ya kawaida. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji: 1. Kabila: mha, msukuma, mngoni 2. Hustler 3. Aasiwe na mtoto/ watoto 4. Dini mkristo 5. Miaka 22-32 6. Mnene...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimehitimu Diploma ya Utawala

    Habari za humu wana JamiiForum, Naitwa David (23), mkazi wa Arusha kwasasa Dar es salaam, kimara Nimhitimu wa diploma kwenye biashara na utawala. Dhumuni la kuandaa post hii kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu nahitaji kazi yoyote halali (kuuza duka la nguo, vyombo, vifaa vya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta ya mawese kwa wanaouza jumla

    Wakuu kwema? Natafuta mafuta ya mawese kwa anayeuza mengi bei ya jumla Asanteni
  15. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta ya mawese

    Wakuu kwema? Natafuta mafuta ya mawese kwa anayeuza mengi bei ya jumla Asanteni
  16. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta ya mawese

    Wakuu kwema? Natafuta mafuta ya mawese kwa anayeuza mengi bei ya jumla Asanteni
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya mauzo au masoko kwa malipo ya commission

    Habari! Naitwa Musa, umri ni miaka 24 ni graduate wa information technology katika level ya degree. biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo yake kwa kupata wateja basi tunaweza...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote hata ya kuwa counter bar

    Habaro wanajamiiForums. Nina bachelor ya sociology natafuta kazi yoyote hata ya kuwa counter bar ili niweze kulea watoto Tafadhali Kama una connection, nipo Mbeya nisaidie
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ndogo za meno

    Natafuta dawa ndogo sana za meno kwa Dar kwa muuzaji wa Jumla. Ni kwa ajili ya matumizi ya hoteli.
  20. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari WanaJF, Ni kijana wa miaka 24 nakaa tabata-bima Dar-es-Salaam. Ni mhitimu wa kozi ya ualimu katika chuo Cha mtakatifu Augustine SAUT-MWANZA level ya bachelor degree Natafuta kazi ya kuuza bar hasa kitengo Cha counter au kuuza duka la vifaa vya umeme,nguo,simu,vipodozi,vitu vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…