natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es salaam

    Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika mambo ya ugavi. Nimekuja kwenu kuomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi ili niweze kujikimu maana kila leo ni afadhali ya jana. Kazi yoyote halali nitaipokea.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi wa kike Mwenye uwezo Kipesa (Financialy Stable)

    Sifa za nimtakae (Mwanamke) Vigezo vyake : Dini : yoyote ile sijali Mtoto : Akiwa nae asizidi mmoja Kazi : Awe mfanyabiashara/Muajiriwa vyovyote ila Ki uchumi awe vyema (Akiwa Mfanyabiashara ningefurahi zaidi) Umri : 25-35YRS Umbo : Asiwe mnene (BONGE) awe wa kawaida Rangi : Yoyote Elimu ...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke Mtu Mzima kuanzia miaka 50 had 70

    Ninatafuta Mwanamke Mtu mzima wa kuwa naye Rafiki na kushauriana mambo mbali mbali ya Maisha. Mimi n kijana wa Miaka 40, Mrefu, Mweusi Mcheshi. Nipo Dar es salaam Tabata. Nitafute kwa kwa 0693 296 809
  4. JamiiForums Tanzania natafuta mhasibu kutoka inland container depot(ICD)

    Habari ndugu zangu,naomba nipate kuunganishwa na mhasibu wa bandari kavu (inland container depot)kwa kifupi ICD,nina hitaji msaada wa mawazo na uzoefu,mm nimesoma uhasibu ngazi ya bachelor degree,namba yangu 0712705389 nipo dsm,nitashukuru sana.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kero: Wasafirishaji wa mizigo kupakilia mizigo kwenye makazi ya watu Kariakoo

    Msingi wa shida zote ni serikali za mitaa, na hizi karibu zote zilipita bila kupingwa, Sasa hapa Kariakoo misheni kota yaani utafikiri uko sijui kwenye viwanda vya kutengezea malori, yaani mitaa yote kuanzia Ndanda hadi Muheza, Narun'gombe, Magira, Masasi na Aggrey street hapajulikani ni jiji...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu ......napatikana Mbeya

    Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu Tumaini university ......napatikana Mbeya
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ndugu zangu hadi kufikia hatua hii ninapitia kipindi kigumu sana. Kwanza kabisa mimi ni graduate wa Bachelor Degree in Accountancy, nina mwaka tangu nimalize nipo mtaani tu na umri wangu ni mkubwa zaidi ya miaka 30. Kila nikiapply kazi mbalimbali zinazoendana na career yangu unakuta naenda...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa malengo

    Kwa kifupi kuna mengi ambayo nimefikiria mpaka kuandika Andiko hili Kama utaona kuna binti au linakufa wewe mwanamke basi pm yangu iko wazi Na ni serious Kwa kifupi Mimi ni kijana umri miaka 28, ninaishi katika moja ya wilaya mkoani mbeya Nimeajiriwa kampuni binafsi na pia ninajishughulisha na...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kununua ps3 iliyo katika hii condition.

    PS3 yangu imepata hitilafu. Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa. Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe, inawaka(inaonyesha kitaa cha kijani) bila kuonyesha picha kwa sekunde 30 hivi halafu inajizima yenyewe...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea kwenye kazi za ujenzi

    Thanks
  11. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kazi za ndani

    Habari zenu jamani. Natafuta Binti wa kazi, Eneo ni Dar es salaam (Mbweni) ! Binti awe na uwezo wa kusoma na kuandika, umri kuanzia miaka 18. Kazi ni ya kuish hukuhuku na nyumba haina watoto. Mshahara maelewano. 0692917101 (call or whatsap tu)
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta hizi kofia

    Habari ya muda huu wana Jamiiforums, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza., nahitaj kufahamishwa ni maduka gani/wapi naweza pata hizi kofia kwa hapa Tanzania.
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya Internship

    Mimi kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya Land and Mine surveying natafuta nafasi ya Internship kwa kampuni yoyote inayojihusisha na masuala ya land surveying nipo Dodoma namba yangu 0699239068.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa maisha

    Habari humu ndani.... Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha . Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi. Nami ni muajiriwa Serikalini....
  15. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online tv

    Wakuu habari Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online TV. Wajue ni vifaa gani vya kuanzia tuwe navyo, na programs zote za kufanyia kazi. Wajue kuoperate hizo programs na vifaa. Mmoja awe mwanaume na mwingine binti. Wasizidi umri wa miaka 30. Ukiwa tayari nicheki PM. Mimi...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

    Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi. Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari ndugu zangu naitwa John nipo Kibaha Natafuta kazi yeyote iwe ya kuuza duka aina yeyote kazi ya house boy nitafanya. Msaada wenu wakubwa😔
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote. Nina elimu ya kidato cha sita

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta walimu tufanye project!

    Habari wasomi. Kama title inavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu wa masomo yote ya O-LEVEL & A-LEVEL pamoja na CPA kama wapo. Kwa walimu wa secondary kazi yao kubwa watakuwa wana solve past paper za necta na mock pamoja na kuweka notes. Kwa baadae nafikiri tunaweza kuanza ku solve pia...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu anayeweza kunikopesha kwa kuweka dhamana ya camera

    Mimi ni Mjasiriamali, sasa kuna shughuli zimekwama kidogo nahitaji kama shilngi 70000 (elfu sabini). Dhamana yangu ni camera aina ya cannon iliyo katika hali nzuri na inafanya kazi ikiwa na lensi zake mbili, mic na charger. Nitakopa kwa muda wa siku 15 au 20 tu kwa riba tutakayokubaliana. Nipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…