Natafuta kazi/kibarua part time au full time katika maeneo ya Arusha/Moshi

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
682
918
Njaa kali, majukumu mengi na umri unasogea hata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo imeshindikana.

Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe ni kweli lakini kila ninachopata kidogo kinaenda kwenye majukumu ya kulea familia. (mkataba wangu wa kazi umeisha).

Nina uzoefu kwenye sales and customer care, usimamamizi wa donor funded projects, computy skills (intermediate user). Kiwango cha elimu degree ya community development.

Naomba mwenye connection ya kazi kwa mkoa wa Arusha/ Moshi na kwingineko anisaidie.

Note: Arusha/Moshi kwa sababu kuna mradi wangu wa ufugaji nafanya, hela ya kuemdesha mradi imeisha kwa sababu ya majukumu mengine hivyo nikipata kwenye hiyo mikoa itakuwa vizuri zaidi. Hata ikitokea nje ya hii mikoa niko tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom