natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Salaam, Natafuta rafiki ambaye ataenda kuwa mke wangu. Nina miaka 34, ni mkazi wa Arusha, awe na miaka kuanzia 25 mpaka 32, Mkristo, kabila lolote. Kwa aliyetayari na mhitaji karibu PM kwa mawasiliano zaidi. Asante.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wenye ujuzi walio na ujuzi wa kiufundi walio mkoa wa Kagera tuungane tujikwamue kimaisha

    Habari wanjf, kutokana na tatizo la ajira linaloendelea hapa nchini, ujuzi wa ufundi ndo suluhisho pekee la kuondokana na changamoto hii. Hivyo natafuta vijana ambao wako tayari kujikwamua kimaisha ila wamekwama kwa namna moja au nyingine waje tuunganishe nguvu mawazo ili tupambane na...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kazi

    Anahitajika dada wa kazi,awe na vigezo vifuatavyo. A)Umri kuanzia miaka 18-25 B)Awe na uzoefu wa kazi za ndani, pamoja na kupika.asiwe mtu wa kuanza kufundishwa kazi. C) Awe anatokea Singida, Manyara ama Mwanza. D) Awe na mdhamini anaye tambulika in case of anything. E) Awe muaminifu na mwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  5. JamiiForums Tanzania Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta taasisi ya mikopo Dar es Salaam

    Hello! Kuna jamaa yangu anatafuta taasisi ya mikopo inayotoa mkopo kwa haraka hapa DSM. Dhamana ni kadi ya gari. Ukipatikana atakuja hadi ofisin kwako. Karibuni.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mtalaam wa Telecomunication

    Habari wakuu, Natafuta mtalaam wa telecomunication. Kama yupo hapa naomba ajitokeze hadharani
  8. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya ghorofa Arusha yenye uwanja wa kutosha

    Habari wakuu. Natafuta nyumba ya kununua iwe na ghorofa moja hapa Arusha na iwe na uwanja wa kutosha angalau nusu eka.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji plot ya kununua Moshoni - Arusha

    Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha. Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/= Kati ya Sqm 450 na 600sqm Kisiwe mbali na Lami. Iwe imepimwa safi kabisa. Mwenyenacho, tafadhali tutafutane.
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mwanamke)

    Habari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi, mwanafunzi wa chuo, kamaliza form six, cheti, diploma, mhitimu. Japo ni kwa mapenzi ya kweli na...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye pharmacy Mtwara au Ruvuma

    .
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa marketing

    Habari wakuu Mimi ni designer wa UI&UX za mobile Apps...sasa kuna mambo mawili ambayo yamefanya nije jukwaani kutafuta mtu wa marketing. 1) Wanunuzi wa designs zangu. Kama ambavyo producer huwa anatengeneza beat kisha msanii akiskiliza akapenda akamuuzia beat hiyo au kuingia studio kurekodi...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya zao la Korosho Mbichi na za kukausha. Tupeane feedbacks za deal hii

    Habari wadau wa Kilimo ,naomba tusaidiane kuhusu kupata masoko ya UHAKIKA ya Korosho mbichi grade A mzigo upo wa Kutosha tokea Mtwara-Tandahimba Utapendeza zaidi kupata masoko Kanda ya Ziwa ,Kaskazin and nje ya mipaka ya Tanzania.
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

    Habari wakuu, Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali viwandani au kwenye kampuni

    Naitwa Muhammed naishi dar umri wangu miaka 30 Nina familia na mtoto mmoja hali yangu kiuchumi nimbaya sana nilisomea Ualimu masomo ya Geography na History ila kazi cjapata. Hivyo naomba kwa anaejua Viwanda au Kampuni zinazochukua vibarua vya wafanyakazi anielekeze walau nipate kazi yakufanya...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta Web Developer

    Hello, habari pole na majukumu wakuu. Nimekuja mbele yenu natafuta Web Developer ambaye yupo competent tufanye kazi, malipo kila kitu tutamalizana. Kama una ndugu, jamaa au rafiki nipe connection naye tufanye kazi.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa bajaji wa kuleta hesabu nipo Dar - Kigamboni

    Hello! Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri. Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961. Nipo Kigamboni
  18. JamiiForums Tanzania Natoa 50k (elfu hamsini)

    Habari wakuu Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao. -Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola -Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light -Joseph Kusaga -Majizzo -Diamond Platnumz Haya twende kazi 50k...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta tenki used la Lita 3000

    Nipo DSM. 0655173113
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote nina elimu ya Kidato cha Nne

    JAMANI wapendwa mimi ni nijana Mtanzania nina miaka 24 ninatafta kazi yeyote ilio halali jamani. Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…