natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ndani na nje ya Tanzania, nina shahada na uzoefu na kazi za bandari

    Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo. Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022 Nina...
  2. JamiiForums Tanzania Wajemeni natafuta shekhe anayejua kutoa majini

    Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake. Naombeni msaada ni waharaka
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta broker wa stocks na ETFs za nje

    Habari wakuu. Niliweka hii post kule kwenye jukwaa na hoja mchanganyiko lakini sikupata jibu lolote. Nataka kuwekeza kwenye Exchange Traded Funds (ETF) lakini kampuni haina option kuwekeza kwa watu wasiokuwa wakazi wa Marekani. Kama kuna broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia kwake naomba...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta broker wa ETFs za Marekani

    Habari wakuu. Kuna exchange traded funds (ETF) za kampuni ya Marekani nilitaka kuwekeza kidogo ila wanahitaji tu US residents. Kama kuna mtu anamjua broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia yeye naomba msaada tafadhali.
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena. Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa. Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za pharmacy kwenye hospital pharmacy au community pharmacy

    Habari, mimi ni Pharmtech Tech., nina liseni, nilikuwa nahitaji kazi. Naishi Dar es Salaam-mwenge, pia naweza fanya kazi as full time, part time and night shift. Napatikana kwa number 0765607650 au email: jaelynebless@gmail.com
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta screen replacement ya ULEFONE NOTE 11P

    Wasalaam wadau, Natafuta, screen replacement ya ULEFONE Note 11p ( Ulefone Note 11P - Full phone specifications) , hii ni baada ya kioo kilicopo kuacha kufanya kazi baada ya simu kuanguka. Naomba msaada kama kuna mtu mwye hiki kioo au anafahamu kwa uhakika mahali ambapo naweza kupata kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu wa Chekechea

    Waungwana habari za mwaka mpya, Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE. Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta ECU/Control box ya IST New model

    Habari zenu wapendwa, nahitaji kupata control box ya IST New model, details zake ni hizi hapa. 89661-52F50 J2 IST New model Niliyoipata imefanikiwa kuwasha gari vizuri but taa za dashboard zina blink, zinazima na kuwaka. Ukiacha gari silensa au ukiwa una drive taa za dashboard na mshale zina...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, mimi ni mwalimu pia nina uzoefu wa Ulinzi na Udereva

    Ndugu wanafamilia wa Jamii forums, nawasilimu kwa jina la Jamhuri, Maji yamenifika shingon mwenzenu, mim ni mhitimu shahada ya ualimu tangu 2016 , nimejaribu kupambana niwezavyo kutafuta ajira bila mafanikio. Baada ya kuona ajira zinakuwa ngumu, nikatafuta kazi kwenye kampuni ya ulinzi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Mwenge - Makumbusho

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwenge au Makumbusho. Bei 40 to 60k kwa dalali naomba tuwasiliane tafadhali.
  12. JamiiForums Tanzania Kijana 26 years natafuta kazi yeyote halali

    Mimi ni kijana umri miaka 26, mwenyeji wa mkoa wa songwe ambako ninaishi mpaka sasa. Nimemaliza kidato cha nne na kupata div 2 point 20 mwaka 2015, nilifaulu vizuri masomo ya sayansi hivyo nikajiunga na advance kwa tahasusi ya pcb hapo sikufanya vizuri kwani nilipata division three point 14...
  13. JamiiForums Tanzania Jamani natafuta apple acid vinegAr

    Jamani natafuta apple acid vinegAr inakouzwa hapa dar es salaam
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta madarasa ya kukodisha Kigamboni

    Natafuta madarasa ya shule yaliyokamilika kwa ajili ya kukodisha kigamboni. Kama unayo taarifa yeyote tafadhali nicheck inbox
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote halali

    Habari ndugu zangu naitwa Charles mimi naomba mwenye connection ya kazi/ kibarua cha halali anisaidie kuniunganisha kwa maeneo ya Dar es Salaam maana nilikuwa nafanya biashara sasa kulingana na ya uchumi mtaji wangu umekata. Nipo hapa kuwaomba ndugu zangu mnisaidie nipate kazi ili niweze...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mchumba baadaye awe mke kabisa

    Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ni kijana mwenye miaka 30 kwa sasa, pia ni mkristo. Mjasiriamali pia. Natafuta mchumba baadaye awe mke. Umri wake ni miaka 27 mpaka 30. Dini yeyote pia sichagui, elimu kuanzia kidato cha nne, atokee sehemu yeyote Tanzania hii, ila mkazi wa Dar es Salaam atapewa...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta Housing ya HP 250 G6

    PC yangu imeharibika housing. Nikiifunga na kufungua ndio inazidi kuvunjika. Je, ni wapi naweza kupata housing mpya au used? (Ni housing ya plastic) Makadirio ya bei ni kiasi Gani? Na gharama za ufundi ni kiasi Gani? Nb: Hizi picha nimedownload online. Ila PC iliyoharibika Iko exactly the same...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya salon

    Naitwa Edson Joseph malingumu natafuta kazi ya salon upande wa nail artist, pedicure & mancure. Kwa sasa naishi nchini uganda ndo nako nafanyia kazi Ila naitaji kurudi nchini kwangu. Nina uzoefu wa kutosha na hiyo kazi namba ya +255753255263 /+256708462740
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kazi za nyumbani.

    Habari wapendwa! Samahani, natafuta dada wa kazi za nyumbani. atakuwa anaishi nyumbani. na nyumba ipo na mke pamoja mtoto tu. Kigezo; Awe na miaka kwanzia 18 - 24, Mchamungu & anayejielewa. Eneo: Dar es salaam. Mshahara: Maelewano. Mawasiliano: +255 676 797 679
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke wa kuoa

    Ndugu wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Nimeamua kuacha na life hili la kisera na la kujiamulia nitakavyo na kuanza life litakalonifanya ku surrender na kuji limi au kulimitiwa kwenye baadhi ya mambo. Pamoja na uamuzi huo muafaka kwangu, hili halienda patulo bila vigezo. Aina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…