natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira maabara

    Naitwa Innocent Mvulana kutoka Arusha mwenye taaluma ya maabara ya binadamu, natafuta kazi ya maabara Arusha au Moshi mwenye uelewa tafadhali naomba mawasiliano kupitia 0763506458. Asante
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nimesomea IT

    Habarini ndugu zangu wana JamiiForum, poleni na majukumu ya kazi, Ndugu yenu nimekuja mbele yenu mnipokee na kunisaida, nina shida ya Kazi/Ajira, Iwe Serikalini au Sector Private nitashukuru sana. Nina umri wa miaka 29, Nina Degree ya Computer Security, nina uzoefu wa miaka 4 kwenye mambo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanza: Natafuta external hard disk, 1 TB kwa ajili ya kuhamishia FILE zangu

    Habari za sasa wana jf? niko mwanza natafuta bidhaa hio kwa bei nzuri. nipo mwanza Igoma namba: 0744 033 555
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta motherboard ya Star X TV inch 32

    Happy Valentino Day to you all. Natafuta motherboard ya Star X TV inch 32. Nitaweza kupata kwa bei gani? Asante.
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Apprtment ya NHC Dar

    Habari wakuu Natafuta appartment ya NHC kati kati ya mji kuanzia magomeni, Upanga, Mikocheni na maeneo yoyote jirani na Mjini Piga 0713- 039 875 kama unafahamu utaratibu
  6. JamiiForums Tanzania Msaada natafuta motherboard ya Tv Panasonic

    Wakuu habarini za majukumu! Natafuta mother board ya hii Tv panasonic tafadhali naombeni msaada kwa mwenye kujua wapi naweza ipata 0683965391
  7. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma computer science pia nina uzoefu wa ualimu

    Habari ndugu zangu!! Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana. Elimu: Degree ya Computer Science UWEZO 1. Programing (C++, Python, Visual basic) 2. Computer Mantainance and troubleshooting 3. Photocopy Mantainance and troubleshooting 4. Printer Mantainance and...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano na sita yenye academy

    Wadau sina mengi ila naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano inayo fundisha mchezo wa mpira wa miguu
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenye mtaji tujenge lodge Singida

    Habari. Nina eneo Singida-Mwaja kilometa 5 kutoka mjini kati. Natafuta mtu mwenye mtaji pesa wa kushirikiana nae tujenge lodge kwa kuanzia vyumba vitano tu. Nipo tayari kutoa umiliki wa biashara kwa makubaliano ya asilimia kulingana na gharama atakazoweka. Ukubwa wa eneo 2129 sqm eneo...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta frem ya biashara Goba

    Habari wakuu, Natafuta fremu ya kuweka nguo maeneo ya Goba Center. Maeneo yawe yamechangamka wakuu. Kama unayo au naweza kuipata kupitia wewe tuwasiliane wakuu. 0734 187722 (WhatsApp)
  12. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ nina uhitaji wa kazi

    Habari za wakati huu Wana JF, naitwa bless nina miaka 24, elimu yangu kidato Cha 6. Natafuta kazi viwandani, supermarket au kampuni binafsi nina uzoefu na u- cashier yeyote ataeweza nisaidia nitamshukuru,, nipo DSM.
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kuuza duka la vinywaji (vinywaji vikali na soft drinks)

    Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu🙄. Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm. Sifa za muombaji: 1: Awe na mdhamini mwenye mali zisizo hamishika 2: Awe na elimu angalau kidato cha nne 3: Awe...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya biashara kwenye eneo lililochangamka Dar es Salaam

    Natafuta nyumba ya biashara ya kununua iwe chini ya 50mil Kama ni lodge, Ya kupangisha/apartment, Fremu, Iwe DSM eneo lililochangamka Weka biashara hadharani Maswala ya kutaka namba za simu siyo nzuri kama hujaweka hadharani Nyumba picha, maelezo ya muhimu weka na namba yako ya simu
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha TCL Smart Frameless Inch 65

    Habari wakubwa kichwa cha habari chajieleza, napesa mfuko wa shati laki 6 nashida na kioo cha TV Tajwa hapo juu, Deler kaniambia kinauzwa 1.1M kwa kweli nimeshindwa. Kwa mwenye nacho hata cha mchongo isizidi laki 6 anicheki asante.
  16. H

    JamiiForums Tanzania I'm seeking for an employment opportunity on any field

    Greetings, My name is Harrison Munuo, a 28 years old . A holder of a bachelor degree in Education(IT& Geography). I'm seeking for an employment opportunity on any field that my particulars fit. I am energetic and open to learn new skills. I am willing to work in remotely environment and minimal...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume Shombe Shombe

    Habari zenu. Mimi ni Mschana, umri 30 years, Sina Mtoto. Mimi ni Halfcaste wa kiarabu, sio mweusi wala sio mweupe sn, natafuta mume ambae ni mixed race na mwenye Hofu ya Mungu. Umri wa mwanaume miaka 30-45. Nipo serious.🙏🏼
  18. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo la mafuta ya kupikia ya Mico Gold

    Habari ndugu! natumaini mnaelendelea salama. Naomba kufahamu chimbo la mafuta ya kupikia hasa haya ya Mico Gold nahitaji nipate kwa bei ambayo itaniwezesha mimi kuuza kwa bei ya jumla kwa wateja wangu.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aje kuwa mke

    Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25. Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa mfupi sio mbaya, rangi yoyote, mwenye heshima, na mwaminifu, umri awe kuanzia 18-25.
  20. JamiiForums Tanzania 🚨FREELANCE TASK🚨 Mtaalamu wa kutengeneza 3D models anahitajika

    Salaam, Kama una uwezo wa kutengenenza 3D models unahitajika kuna task inatakiwa kufanyika, na malipo utapata baada ya kazi. Na kama utafanya vizuri, utakuwa unapewa task za mara kwa mara. Hii siyo ya kukosa. Kama una skills hizo, karibu PM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…