natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa

    *Hello Wana JF, ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Natafuta mke wa kuoa, Ni mwanaume mwenye umri 37, dini mkristu, nimejiajiri, sina mtoto, situmii kilevi chochote,Ila nimpambanaji Sifa ya mke ninaye mtaka. ~ Awe na umri 28-30. ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~ Dini yeyote ~ Kabila...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume. SIFA NILIZO NAZO.👇 Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara. SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇. (1)Awe mrefu (2)Rangi yoyote. (3)Dini awe mkristo au mwislam. (4)Elimu form four kuendelea. (5)umri...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja na Business Partners

    .
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, kibarua, msaada

    Amani iwe nasi Watu wa Mungu. Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua. Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi. Naomba mwenye kunisaidia kibarua hata saidia fundi, nitashukuru sana. Naishi Dar es salaam, Elimu kidato cha 6. Mbarikiwe...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naitwa Ashery Jamal Masoud, natafuta ndugu zangu. Marehemu mama yangu aliitwa Sara Mponela

    Habari zenu? Natumaini wote wa forum hii hamjambo. Kwa jina naitwa Ashery Jamal Masoud, nina miaka 57. Nilizaliwa hapa Dar es Salaam, na nimeishi hapa miaka yote kasoro kwa kipindi fulani nilipopata kazi Dodoma. Hapo nimeamua kujieleza kwa sababu nawatafuta ndugu zangu na natumaini mtu mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Ndugu wana JF napenda kuwasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo. Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali. Nimetumia muda wangu mwingi...
  7. JamiiForums Tanzania Nina million 5 natafuta gari

    Habari wakuu, katika kuupiga mwingi ndugu yenu na mimi nimeguswa na upako wa Bi mkubwa, sasa hizi million tano nilizo otea naombe mnishauri nitafute gari gani used. 1. Naishi mjini full rami (dsm) 2. KM 8 home to work na kurudi, 4go, 4return 3. Sina crue,watu wengi,familia kubwa ya kubeba 4...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke Muislam

    Nahitaji Mke Sifa awe na degree ya pharmacy Awe na umri wa kuanzia 30 – 37 Akiwa Muislam itakuwa poa zaidi Awe anajitambua Nimeweka hiyo sifa kwa kuwa natamani ahudumie watu upande huo hivyo nitamwezesha kutimiza hiyo ndoto Mengine tutaongea DM.
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mke)

    Mimi bado nikijana, nina miaka 25 elimu yangu ni darasa la saba ninajishugulisha na biashara (maduka) Tanzania na Zambia, ninatafuta mchumba awe na vigezo hivi miaka 18/24, Awe na hofu ya mungu dini mkristo na awe na uhitaji kama wangu (ndoa) kuhusu elimu (yoyote) asiwe single mother...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba, upweke umezidi

    Habari, Natafuta mrembo tuanze safari kuelekea uchumba na tuyajenge vizuri kuelekea ndoa. Sifa zangu; Umri 27 Kazi: Nimeajiriwa Mkoa: Arusha Elimu: Degree Dini: Roman Catholic Mwanamke ninayemtaka Umri: 20-27 Elimu:Form four na kuendelea Kama upo tayari ni PM please.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mke makini haswa

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31, mkazi wa Dar es Saalam, Mkristo, nnaejishughulisha. Elimu niliyonayo ni kubwa, urefu wangu ni 6'1 mrefu fulani hivi, maji ya kunde, sina mtoto wala sijawai kuoa. Natafuta mke wa kuoa, mwenye sifa zifuatazo; ~ Umri miaka 25 kushuka chini ~ Mweupe ~ Elimu yoyote...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya HR Administrator

    Habari wanajamvi Natafuta kazi ya HR Administrator ninaishi Dar es salaam lakini kazi popote. Nawasilisha. Asanteni
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta internship au kazi Electrical Engineering

    Habarini!! Nimesoma bachelor degree in Electrical Engineering pia nina diploma,pia nina leseni class C Electrical installation natafuta kampuni ya kufanya nae kazi ninaomba msaada wa internship au kazi Namba:0762136488 au missnzowatwb@gmail.com
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji katika biashara au mtu atayekubali kuweka hela kwenye kila kazi na tutagawana faida

    Habari wakuu, Nimerudi kwenu kwa mara nyingine tena. Mwaka juzi (2021), nilikuja hapa kwenye jukwaa na kutafuta business partner ambaye atakuwa tayari kuwekeza kwenye Machine shop. Hii kwa maana ya kwamba mimi nitawekeza kwenye Ujuzi & Marketing na yeye atawekeza kwenye ununuzi wa machines...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mke wakuoa, mwenye sifa hizi Umri-25-40 Dini -yeyote Kabila -lolote Kazi- yeyote Sifa zangu ni Umri-34-37 Dini -mkristo Kazi-nimeajiriwa/kujiajiri Mwenye utayari anitafute kwa namba mke mtarajiwa awe na hofu ya Mungu. Pia awe anajitambua na anajua anachofanya .
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta imersible water pump (shimge) 0.75hp

    Wakuu habari? Vibaka wameniotea bwana wakaamua kuniachia box lake tu, sasa nimezunguka kuitafuta nmekosa. Kama kuna duka kwa DSM hapa nielekezeni ase.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu wanapofanya DTG Printing

    Habari, natafuta sehemu hapa Dar wanapofanya Ditect-to-Garment Printing. Nina designs zangu natamani sana ningeziprint kwenye tees (merch). Natanguliza shukrani.
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta perfume OG ya kike. Bajeti 50k

    Natafuta perfume original ya kike. Sitaki hizi feki au copy zilizozagaa. Bajeti yangu ni elfu 50 naweza pata perfume gani na duka lipi? Wauza perfume nyuzi zenu nishazipitia.
  20. JamiiForums Tanzania Mimi Mwalimu wa Chemistry, natafuta kazi

    Mimi ni Mwl wa Chemistry na biology O level natafuta kazi. Nina uzoefu wa miaka 15 kazini. Nipo Dar es Salaam. Contact: 0764 727890
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…