natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Benaco Ngara Kagera

    Kichwa cha habari cha husika! Hamna vigezo awe tu binadamu
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

    Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao. Nahitaji mpenzi wa kike tupendane. Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
  3. JamiiForums Tanzania Dereva natafuta ajira.

    Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12 sasa..nipo tayal kwa udereva wa aina yoyote ile ndani na nje ya mkoa wa dar..kwa mwenye kuhitaji dereva...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota IST ya kununua

    Habari wakuu. Mwenye gari IST anaye uza tafadhari tuwasiliane.
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Ndugu zangu natafuta mke wakuoa sifa awe muislam elim yoyote awe mikoa jiran na arusha.umri kuanzia 21 mpaka 30.mim sifa zangu ni muislam umri 33 ninaish arusha nimejiajiri.aliyetayar karibu pm
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuchoma nyama

    Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu ! Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka mbeleni. Akiwa mkazi wa wilaya ya Kinondoni itapendeza. Kazi ni jioni tu kuanzia saa 11 hadi saa 3...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga single self (Mbeya town)

    Habari za wandugu! Naombeni msaada wakuu. Kama kuna yeyote anayeweza kunipatia msaada wa chumba kizuri hapo mjini mbeya, pasiwe mbali na Mtaa wa mahakama Kuu. (Sehemu ya bajaji moja hadi maeneo ya Open University itapendeza) Ninatanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee ila kaniruhusu kufanya shughuli zozote za kujiingizia kipato. Mara kadhaa amekuwa akionekana na...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama.. Uzoefu nlionao driving. Kulinda. Kufuga. Na kazi yoyote ile manual Kwa maelekezo tu. Pia ni graduate wa social protection katika chuo Cha IFM. Niko juu ya mawe...
  10. JamiiForums Tanzania Wadau wa season natafuta hii

    Wakuu kwa mwenye season ya kikorea inayoitwa THE HEALER main theme anisaidie maana nimeitafuta kwa kipindi kirefu bila mafanikio Nimeitafuta YouTube wameifuta msaada wakuu
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea nina Degree ya IT

    Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu. mawasiliano: 0656058186
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Jina: John Kazi: religious Makazi: Dar na Zanzibar Umri: 34 Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano akiwa na maisha yake itapendeza zaidi. Sijachagui dini, kabila, Wala rangi cha muhimu upendo. Asinitegemee sana maana sina kikubwa cha kumpa zaidi ya upendo na Muda wangu. Kwa Aliye...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mke mkristo miaka 30-41

    Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni muajiliwa na ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Mengine tutayajenga inbox.
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta nyimbo za msanii kipofu

    Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha
  15. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Niko Arusha Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama, asiwe mfia dini za wazungu Mimi ni mweupe maji ya kunde, umri wangu miaka 35, sijaoa wala sina mtoto Rafiki ninayemtaka Awe mweusi Awe mrefu Asiyejichumbua Asizidi miaka 28 Asiwe na mtoto Mawasiliano yangu: brightcreeper87@gmail.com
  16. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, civil engineer

    Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wanaofanya biashara ya viatu vya mtumba

    Habari wakuu? Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua. Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Habari Za Leo Ndugu Zangu. Mimi ni Mwanaume Natafuta MCHUMBA Ambaye baadaye Tunaweza Kuwa Mume na Mke. SIFA ZANGU. 1. Elimu Chuo 2. Umri Miaka 28 3. Nimeajiriwa SIFA ZA MCHUMBA 1. Awe Anajitambua 2. Mkristo 3.Umri Asizidi Miaka 35 4. Elimu Yoyote Aliyonayo. #MUNGU AWABARIKI.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi Community Development

    Habari, Mimi ni msichana wa miaka 26, natafuta nafasi ya kazi ya maendeleo ya Jamii name elimu ngazi ya dilpoma au shirika lolote linalohusiana na maendeleo ya jamii. Ninauzoefu niliwahi kujitolea katika shirika la FARAJA TRUST FUND liliopo morogoro linahusika na maswala ya USAID BORESHA...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufanya aina yoyote

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni ngumu sana. Elimu yangu: Shahada ya Uhasibu Ujuzi: Microsoft office Excel Computer Kazi nazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…