natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta bajaji ya 1.5m mpaka 2m isiwe trip garage

    Habari “Matatizo unayatafuta mwenyewe kaka” nilipompa wazo hili jamaa yangu kuwa natafuta bajaji ya bei hiyo.. majibu yake yalikuwa hayo Mwenye connection ya minada ya serikali ya bajaji na pikipiki zilizokamatwa na makosa mbali mbali kama na madawa na wenye vyombo wakavitelekeza kituoni...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari ! Natafuta kazi ya udereva wa magari ya abiria, taasisi au hata ya binafsi. Nina umri wa miaka 27 vyeti halali na leseni daraja D, C1, C2 na C3. Nina uzoefu wa miaka 3 katika udereva (NOAH + HIACE) Napatikana Morogoro, ila naweza kufanya kazi sehemu yoyote ile. Kwa yeyote mwenye...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji mwenza wa Chuo cha Kati

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la JMT. Mimi ni mtumishi wa Umma. Pia ni mpambanaji sana wa Biashara hasa kwenye uwekezaji, Kwa sababu Sina muda wa kusimamia Biashara. Naomba kuwasilisha UZI huu:- Ninatafuta Mwekezaji wa Kufanya nae Biashara ya kuendesha Chuo cha Kati. Nina Kampuni ambayo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Original Content (OG) za Maisha ya chuoni

    Habari wanajamii, Natafuta watu binafsi, creators au timu zenye Original Content (OG) zinazohusu maisha halisi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vijana waliotoka vyuoni. Maudhui ninayohitaji ni pamoja na: Burudani na maisha ya kila siku ya wanafunzi Elimu na maendeleo binafsi Mahusiano na...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenyeji hapa Beni Congo

    Habari za usiku wakuu Natafuta mwenyeji hapa Beni Congo nilitoka Tanzania wiki mbili zilizopita kupitia Julius Nyerere International airport hadi kampala nitakaa Kampala hotel ya 5 star kwa siku mbili then nikachukua basi Kampala kuja Beni japo nilikuta mpaka imefungwa ila nilipita sasa Niko...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vyuo vya sanaa ya uchoraji level ya diploma

    Habari wanajf. Natafuta Vyuo vya uchoraji Tanzania, Kuna mto anapend kuchora na anataka akasomee kozi inayohusiana na kuchora. So far nimeona kozi ya Performing and visual arts pale Tasuba itamfaa, ila web ya TASUBA naona haifunguki. Naomba mwenye Orodha ya vyuo vinavyotoa kozi zinahusiana...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Natafuta mke umri 30+ Umri wangu 41 Watoto 2 Sms kujibiwa 0792045560
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo nzuri la kariakoo la saa, jewellery, accessories

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza Wa kuoa hapa Tanzania.

    Mimi ni mzee kijana wa miaka 41.Natafuta mwanamke wa kuja kuoa awe na miaka 30 mpaka 39.Dini yoyote. mengine yote ni sawa.Naishi Mkoa wa Arusha vijijini. Home town ni Kilimanjaro. Namba zangu 0679383475
  10. JamiiForums Tanzania Homa Sugu & Uchovu: Natafuta Tiba Asili

    Wakuu naomba msaada. Nina homa kwa siku 4 sasa. Mwili unachemka, viungo vinauma, najisikia mchovu sana na sina hamu ya kula. Nimemaliza dozi jana usiku lakini bado sijapata nafuu. Ningependa kujua kama kuna mtu amewahi kutumia natural remedies zilizomsaidia kupunguza homa, maumivu ya mwili...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mwenge mpaka Mbezi Africana

    Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga self-contained kiwe chumba kimoja na sebule. Maeneo ya Mbezi Africana kurudi mpaka Mwenge na Kawe. Isiwe mbali na barabara kuu. Meter ya maji na Luku ya umeme kujitegemea. Itapendeza ikiwa ndani ya geti na yenye sehemu ya kuegesha magari ndani. Budget...
  12. JamiiForums Tanzania Kusema kweli siko tayari kwa ajili ya commitment, natafuta tu mrembo wa ku-spend moments nae. Karibu.

    VIGEZO: Asizidi 40. Asiwe mke wa mtu. Asiwe askari/mjeda, etc Makebo makubwa au madogo sijali, cha msingi awe cha utundu kitandani
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya tonsils sugu bila kufanyiwa operation

    Tonsillitis ni ugonjwa unanisumbua karibu miaka 7 sasa ila currently zimefikia hatua mbaya. Nikimeza dawa siponi na nikichoma sindano zinapoa kisha zinarudi tena. Siwezi maliza mwezi au miezi miwili sijalala kitandani sababu ya tonsils. Nishajaribu dawa za kienyeji za kukoroga mchanganyo...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira

    Hello. Kwa anae hitaji mtu mzuru wa mauzo. +255745623885
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, napatikana Kahama

    WanaJF habari za majukumu wadau naomba Kwa yoyote atakayeguswa anisaidie mchongo wa nafasi ya kazi yoyote Hali. Nipo Kahama Shinyanga 0664984110
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira , je una una maoni Gani kuhusu hili swala?

    Maoni yako , tafadhari. Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?.. Natafuta Ajira
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya Credit Officer - Tabora

    Habari wakuu, Jina langu ni Jofrey, nina uzoefu katika masuala ya ukopeshaji na huduma kwa wateja. Natafuta nafasi ya Credit Officer au Loan Officer hapa Tabora. Niko tayari kuanza kazi mara moja na nina uwezo wa kufanya kazi chini ya pressure. Nipigie: [0740 490 386, 0612945593 au watssap...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mke maridadi

    Awe na umri wa miaka 19 mpaka 24, awe Christian, asiwe na mtoto. NB: awe anajua kucheza draft na pool table, hii ni kwa faida ya watoto watakaozaliwa
  19. JamiiForums Tanzania Maisha yamebana wakuu, natafuta kazi yoyote ya halali

    Habari wakuu, Naomba msaada wa connection ya kazi yoyote halali, hasa kwenye viwanda, maghala, site za miradi au sehemu yoyote yenye uhitaji wa wafanyakazi. Nina Degree ya Finance lakini imekuwa ngumu kupata nafasi ya kazi ya fani yangu, hivyo kwa sasa niko tayari kufanya kazi yoyote ya halali...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia Airbnb, Lodge, Camp Lodge na Hotel.

    Habari za Jumapili.? Kama heading inavyojieleza hapo, Ninao uzoefu wa kusimamia na kuendesha Airbnb na Hotel (3*) na kwa uzoefu huo ninaweza kusimamia na kuendesha Lodge na Camp Lodges pia. Nipo Zanzibar lakini ninaweza kuhama na kurudi Bara kama nitapata kazi huko. Kwa sasa nilipokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…