natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi, awe anaishi Dar

    Mimi ni mwanaume. Naishi dar. Umri ;32 Rangi :Black. Dini yangu -muslim Natafuta mpenzi awe na sifa hizi Awe anaishi dar. Asiwe serious sana (Awe charming) Umri 20-35. Dini yoyote sibagui. Aliyeridhia aje inbox.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume Muislam

    A'alkm Natafuta mume Muislam Umri 35-45. Wasifu wangu - Nina miaka 36 -mpole sana na mcheshi -nina watoto wawili
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28

    Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28. Msaada tafadhali.
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta watu au kampuni ya kufanya Partnership ya Social Network mfano sawa na Facebook & Twitter

    Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva bodaboda au uvuvi

    Habari WanaJF, Natafuta kazi ya udereva boda boda ,uvuvi na yeyote ile kikubwa inipatie kipato cha kujikimu, umri wangu ni 24 naishi hapa Dar pia Nina ELIMU ya chuo kikuu upande wa education in kiswahili and history ila bado nimehairisha mwaka kwa ajiri ya KUJITAFUTIA, mawasiliano 0785598033
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au mfadhili wa kuniwezesha kibiashara

    Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:- Stationary Secretary Duka lolote Reception Costumer Care Wakala wa miamala Mbalimbali Lakini Pia Kwa Wale Wenye Uhitaji...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi dar

    .
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta air BnB ya 2 bedrooms

    Kwema, naombeni mwenye Air BNB katika locations zilizo karibu na city centre prefferbly Magomeni na kuendelea. Anicheki DM!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya education ila nimeahirisha mwaka

    Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar, Nina ELIMU ya chuo kikuu na nimehairisha MWAKA kutokana na changamoto mbalimbali ila nahitaji kufanya KAZI itakayo nipa kipato ili niweze kukusanya pesa za Kuni somesha ,KAZI YOYOTE ila kikubwa iwe halali, namba 0785598033
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta platform nazoweza ku-publish research zangu bure. Anaefahamu nisaidie

    Habari wana JF, Naomba kufahamu jukwaa naloweza kuweka research zangu moja nilifanya kama mwanafunzi wa masters, nyingine nilifanya kama independent researcher nikiwa na mwenzangu. Naona ni knowledge inayoozea kwenye kabati najua wapo wenye uelewa wa haya mambo naomba mnisaidie. Topic ni...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki wa kubadirisha mawazo. Jinsia yeyote muhimu siwe talkative kupititiliza.
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta shule iliyopo kijijini nikajitolee sharti kuwe na umeme tu

    Wakuu najua humu ndani walimu ni wengi akiwemo mpwayungu village, mm ni kijana wenu natarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 4 nafundisha BIOLOGY NA GEOGRAPHY level ya elimu ni DEGREE. Nahitaji shule ya kujitolea angalau Kwa miaka miwili ili niwe competent kwelkwel. MAHITAJI YANGU Kijiji...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada, natafuta Ajira. Nina Advanced Diploma ya Uhasibu

    Kama kichwa kinavojieleza natafuta kazi ya kuweza kujikimu, nina diploma ya uhasibu Kwa yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mawazo ya jinsi ya kujikwamua, mitihani ya utumishi nimeshafanya mingi ila sijafanikiwa kupita. Sina uzoefu sana nimefanya internship zile za TAESA ila ni mwepesi...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Habari natafuta marafiki wakubadirishana mawazo especially wanachuo lengo nikubadirishana mawazo
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta intern ya Software Developer

    Habari Jamii! Ninatafuta fursa ya kazi ya intern software developer(paid). Katika ajira yangu ya awali nimefanya kazi kama IT Support specialist lakin ninataka kubase kwenye coding kwasababu ninafurahia kufanya coding. Skills ambazo nimejifunza na ninazielewa hadi sasa japo bado naendelea...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta gari aina ya Prado

    Kwa mtu ye yote ambaye atakuwa anauza gari aina ya prado liwe na hari nzuri, bajeti yangu M13 namba yangu 0673505972
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta pagala / boma

    Habari wadau kwa anaeuza pagala la maeneo ya Darsalam ambazo huduma muhim zipo kama maji, umeme barabar naomba anicheki Pm.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta wadada na wakaka 5 kwa ajili ya kupika katika bakery

    Habari, Naitaji wafanyakazi 5 (wadada na wakaka) kwa ajili ya kunisaidia kupika katika bakery. Eneo: Kibaha Maili Moja Piga: 0678650509
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta dalali wa mbuzi Tabora

    Habari wanajamvi Ninatafuta dalali/mfanyabiashara wa mbuzi mkoani Tabora kwa yeyote anayeweza kunisaidia kwa hilo nitashukuru sana. Tuwasiliane 0788303079
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina diplom ya Uandishi wa habari

    Natafuta kazi, nina diploma ya uandishi wa habari na utangazaji. Pia nipo vizuri kwenye camera na video editing. Please jamani connect.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…