natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Medical Laboratory scientist

    Mimi ni kijana wa Kitanzania nahitaji kazi kwa hiyo fani niliyosomea ..uzoefu miaka 3 ...kazi temporary au parmanent. Popote Tanzania
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya mkataba au hesabu

    Habari, Naitwa Device frabius ninamiaka 29,nakaa dar es Salaam Mikocheni natafuta gari Kati ya IST,RAUMU,SPACIAL AU WISH. Kwaajili ya kuwaendesha Waturuki kwa mkataba wa mwaka mzima. Namba yangu 0617146950
  3. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kivule mpaka Msongola. Bajeti ni milioni 5 na kisipungue sqm 300

    Habari wadau. Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola. Bajeti yangu ni milioni 5. Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru. Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake. Pesa ipo mfuko wa shati
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara. Awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima...
  5. Ramapepe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya editor na cinematography

    Naitwa Rama Pepe naishi dar natafuta kazi ya kuedit na kushuti muvi mimi ni Editor na pia ni Cinematography mwenye uzoefu wa miaka 7 nafanya kazi mahali popote napatikana kwa namba 0699524998 Na hizi ni baadhi ya kazi nilizofanya zipo youtube https://youtu.be/78ZpRG10crc
  6. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

    Habari za humu jf Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:Chagga Elim Diploma Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio...
  7. Shemasi 3rd

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

    Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali Mpaka sasa nimesha andika vitabu zaidi ya 6 kama nilivyo weka cover zake hapo chini. Ntafuta meneja...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

    Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl) Sehemu ya kazi -Dar es Salaam Majukumu yake -Kufanya usafi wa nyumba ya wastani -Kufua nguo za watu wawili tu -Kupika chakula cha watu wawili Mapendekezo -Napendekeza awe Mkristo ili aishi ndani ya familia pasipo kukinzana katika imani ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke hasa mtu mzima wa kuoa ambae yupo serious

    Jmn natafuta mke
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote Arusha

    Habarini za jioni wadau wa JF, Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi, sichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya. Asanteni
  11. Uniquegal

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote Nina Diploma ya Banking and Finance

    Natafuta kazi yoyote, Nina diploma ya banking and finance, ninaishi Dar es salaam, ni mwanamke.
  12. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa magonjwa sugu ya staphylococcus (MRS)

    Wakuu, Natafuta specilist wa magonjwa ya kuambukiza (staphylococcus aureus infection -MRS) Nawapataje maana sijui kama kuna hiyo speciality
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi, awe anaishi Dar

    Mimi ni mwanaume. Naishi dar. Umri ;32 Rangi :Black. Dini yangu -muslim Natafuta mpenzi awe na sifa hizi Awe anaishi dar. Asiwe serious sana (Awe charming) Umri 20-35. Dini yoyote sibagui. Aliyeridhia aje inbox.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume Muislam

    A'alkm Natafuta mume Muislam Umri 35-45. Wasifu wangu - Nina miaka 36 -mpole sana na mcheshi -nina watoto wawili
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28

    Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28. Msaada tafadhali.
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu au kampuni ya kufanya Partnership ya Social Network mfano sawa na Facebook & Twitter

    Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva bodaboda au uvuvi

    Habari WanaJF, Natafuta kazi ya udereva boda boda ,uvuvi na yeyote ile kikubwa inipatie kipato cha kujikimu, umri wangu ni 24 naishi hapa Dar pia Nina ELIMU ya chuo kikuu upande wa education in kiswahili and history ila bado nimehairisha mwaka kwa ajiri ya KUJITAFUTIA, mawasiliano 0785598033
  18. Munirah seiph

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au mfadhili wa kuniwezesha kibiashara

    Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:- Stationary Secretary Duka lolote Reception Costumer Care Wakala wa miamala Mbalimbali Lakini Pia Kwa Wale Wenye Uhitaji...
  19. Kelvin Malila

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi dar

    .
  20. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Natafuta air BnB ya 2 bedrooms

    Kwema, naombeni mwenye Air BNB katika locations zilizo karibu na city centre prefferbly Magomeni na kuendelea. Anicheki DM!
Back
Top Bottom