natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtengenezaji wa juice ya miwa

    Nipo Kitunda,Ilala,Dar-es-Salaam Namba:0685 069 818
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Vitabu

    Nisiadie kunijulisha wapi ntavipata vitabu hivi!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Napatikana Dar es Salaam

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu. Napatkana Dar es Salaam Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Habari za humu JF Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:mpare wa ugweno Elim Digree Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kulima

    Habari Natafuta man power ( kijana) wa kulima bustani za mboga mboga. Eneo la kazi ni Kimara mwisho , dar es salaam 0616274277
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar

    Wakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Habari, Natafuta kazi ya nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es Salaam, kazi mahali au mkoa wowote. Nipo mbeya Mawasiliano: 0672876887
  8. I

    JamiiForums Tanzania Heavy machine operator natafuta kazi

    Natumaini ni wazima wote. Ndugu jamaa na marafiki embu angalieni mnanisaidiaje na hii fani na uzuefu nilionao kwa nguvu zangu nimekwama. EXCAVATOR OPERATOR uzoefu miaka 5 WHEEL LOADER uzoefu mwaka1 pia naoperate LLOLER NABIDII NIWAPO KAZINI NATAMANI SANA KUPATA MASHINE YA MTU BINAFSI...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta wazalishaji wa chupa hizi za plastik,Anayejua naomba connection

    Habari wakuu. Natafuta chupa za plastik hizi za kijani kubwa na ndogo,naomba maelekezo ya kiwanda maana nahitaji kwa wingi na biashara endelevu. Piga 0713 039 875
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kurudi tena kwenye uhusiano, natafuta mchumba (Mwanamke)

    Mimi ni mwanaume umri miaka 33. Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo . Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila. Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya Kujifunza na Kufanya Mazoezi ya Kazi katika Fani ya Business IT

    Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mhitimu mwenye shahada ya Business Information Technology. Natafuta nafasi yoyote ambapo naweza kujifunza kazi kutokana na taaluma yangu. Ingawa nimejifunza mambo mengi nikiwa chuoni, natamani kupata sehemu ya kufanya mazoezi ya kazi, hasa katika upande wa...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi/ajira

    Habari wanajukwaa Mimi ni kijana wa miaka 23 Jina ni Rajab Makazi ni Kwa Aziz Ali, Dar es salaam Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo. Nimehitimu chuo mwaka huu (Lakini sitaweza pata cheti wala kufanya mahafali hadi mwakani juu ya changamoto zilizonitokea ikasababisha...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta power tiller ya kukodi

    Wakuu habari Natafuta power tiller la kukodi, Nina eneo langu dogo tu la kulima bustani , kama Kuna mtu ana power tiller naomba anikodishie Eneo la kazi ni Kimara, dar es salaam 0616274277
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira /Kazi ya Ulinzi, Storekeeper

    Naitwa Ezra Umri 23 Elimu kidato cha sita. Nimepita JKT Natafuta Kazi zifuatazo Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha. (security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Hi… Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding :mbunifu wa kutafuta kipato :Asizidi 34+ Dini yoyote Kazi yangu na vipaji pm
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta music academy kwa hapa dar

    Habari wakuu, natafuta chuo au sehem ambayo wanafundisha muziki. Nina mtoto wangu wa kiume anapenda drums sana. Kwa hapa dar es salaam ni sehem gani naweza pata?
  17. A

    JamiiForums Tanzania Ruby caption natafuta mnunuzi

    Nina madini Aina ya ruby lakini Ni caption natafuta mnunuzi
  18. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mhasibu

    Habari ninahitaji mhasibu kwa ajili ya kampuni mpya uwekezaji kwenye madini, awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 5. Majukumu ni kuandaa mishahara, kuandaa report za fedha kila mwezi kwenda mamlaka za serikali, kumanage cash na accounts, kudhibiti matumizi na kuratibu, n.k. Tuma CV kupitia...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba Scandinavia country

    Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest
  20. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kuchimba madini ya Almasi

    Wadau Salaam. Shida yangu natafuta mdau mwenye ujuzi wa kuchimba almasi nitafute inbox WhatsApp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…