natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuzaa nae

    Wasifu wangu: -miaka ni 28 yrs -Elimu ni college -kazi ni mwajiriwa (sector binafsi) -Dini ni mkiristo Wasifu wa nimtakaye - atoke Kanda ya ziwa -elimu mwisho secondary -dini awe mkiristo OFfer hii itakua halali kuanzia Sasa mpaka mwezi December 2025
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Nvidia RTX 3070 Used nina 500,000 Cash

    Wakuu nina shida na kadi Nvidia RTX 3070 kwa alienayo anicheki PM. Tafadhari
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha Kukaa (Living Room) Musoma mara

    Wakuu habari, Nimehamia Musoma hivi karibuni kwa ajili ya kazi na nimekuwa nikisumbuka kupata chumba kizuri cha kukaa (living room) kwa malipo ya kila mwezi. Vigezo ninavyopendelea: Iwe maeneo ya mjini (karibu na barabara kuu) Mahali pasafi na salama Bei isiyo juu sana kwa malipo ya kila...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Umri kuanzia 18

    Napatikana Kakola(Kahama) umri wangu 32. Government Employed
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta wanaozalisha inzi aina ya Black Soldier kwa ajili ya uzalishaji wa funza

    Wadau Amani iwe kwenu Nimefuatilia kwa wenzetu huko Nigeria wanaozalisha funza agotti) kwa ajiri ya chakula cha kuku kwa kutumia inzi waitwao Black Soldier Nauliza kwa hapa Tanzania wapi naweza kupata hawa inzi ili nitumie kwenye ufugaji wangu wa kuku
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya coconut husks shreading

    Habari. Niko kisiwa cha mafia, kutokana na zao kuu kisiwa hiki kuwa ni nazi. Nazi zikishabanguliwa "kuvuliwa ganda la nje, mara nyingi haya maganda hutupwa na kuchomwa moto. Natafuta mashine ya kusaga hayo maganda kwa hapa tanzania ili niweze kupata unga nitaotengenezea coco peat kwa ajili ya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi jinsia ya KIKE

    Natafuta rafiki wa kike, kabila yoyote, kuanzia miaka 40-50. Dini yoyote, mfanyabiashara au mwajiriwa. Naishi Dar. Nina miaka 50, mwanaume, urefu wa kati, maji ya kunde. Msukuma na Mjita. Mzaliwa wa Dar. Mfanyabiashara. Karibu atakayependezewa. Tafadhali naomba dharau, dhihaka na utani vikae...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume asizidi miaka 40

    Mimi ni mama wa miaka 23 Niko Dodoma Kazi mtumishi Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuishi naye na kulea watoto

    Hello, mimi ni mwanaume mwenye watoto wa tatu, ni dereva Bajaji, nahitaji mwanamke wa kuishi nae na kulea watoto umri kuanzia miaka 27 hadi 35, sichagui rangi, dini wala kabila. Awe tayari kuishi Arusha
  10. JamiiForums Tanzania Natarajia kuvuna samaki sato natafuta mteja/wateja Mwanza

    Habari za muda muda wadau bila shaka mnaendelea kufuatilia wagombea waliopita.Nisiwachoshe nipo jijini Mwanza najihusisha na ufugaji wa samaki aina ya Sato ziwa victoria, natarajia kuvuna makadirio ya chini Tani 2.5(2500kg+). Hii ni kati ya wiki moja ijayo,hivyo naomba yoyote mwenye uhitaji wa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Partying buddy wa kike

    Ndio, sio mahusiano ya kimapenzi, tunapeana kampan tu tukitoka kurelax, of course na kusaidiana upwiru wa hapa na pale. Ukiwa unakunywa pombe itapendeza zaidi, ukiwa na tattoos pia ni bomba sana. Maeneo ni dar na dodoma. Karibuni PM.
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi mwanamke

    Sifa zake ● Awe mrefu kiasi ● Umri kuanzia miaka 28 hadi 31 ● Awe muajiriwa au amejiajiri ●Dini yeyote. ● Kabila lolote ● Awe na mtoto mmoja Sifa za mtafutaji ●Mrefu mweusi kiasi ●Mpole kiasi ● nimejiajiri ●umri miaka 29 mawasiliano pm ipo wazi Akipatikana maeneo haya ni sawa Geita, Mwanza na...
  13. JamiiForums Tanzania Mkemia natafuta kazi nina experience ya miezi 10 kama quality controller

    Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta adsense yenye site kama unayo njoo inbox tufanye biashara, 0718474600

    Natafuta adsense yenye site kama unayo njoo inbox tufanye biashara, 0718474600
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke kuanzia mwenye miaka 40 na kuendelea

    Hanari. Natafuta mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea ambaye atakuwa mke wangu. Awe mkristo na mwenye upendo. Pia asiye na familia kwa maana asiwe na mtoto. Ni PM namba Yako kama upo serious
  16. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa seriously 20-25

    Habar ndugu zangu mimi n kijana mwenye umr wa miaka 29 , mrefu cm 179 mweusi kidogo ni mtumishi wa umma nahtji msichana mkristo, awe na umr kuanzia 20-25, nichek pm
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta Adsense yenye site

    Natafuta adsense yenye site kama unayo njoo inbox tufanye biashara, 0718474600
  18. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu wa daycare

    Habari za wakati huu wapendwa, Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili kufundisha kwenye shule ya English Medium, ambapo nilifanya kazi kwa upendo, uvumilivu...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta screen ya Lenovo Thinkpad neo3 Desktop

    Screen yangu hiyo imepasuka na Niko Dodoma,mwenye connection wapi naweza,tafadhali nisaidie
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Natafuta kama yoyote hata ya kiwandanj, waiter, barman, office assistant, no.0679222414 nipo dar
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…