Baby de toto
Senior Member
- Jan 3, 2025
- 153
- 338
Habari za wakati huu wapendwa,
Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili kufundisha kwenye shule ya English Medium, ambapo nilifanya kazi kwa upendo, uvumilivu, na kujitoa kwa watoto.
Nina elimu ya kidato cha sita na nina uwezo mzuri wa kuwasiliana na kuelekeza watoto kwa njia rahisi na ya kuvutia. Ninapenda mazingira ya watoto na ninazingatia maadili ya kazi kwa moyo mmoja.
Kama unafahamu shule yoyote ya daycare inayohitaji mwalimu mwenye moyo wa kujitoa, naomba unisaidie kwa taarifa au unielekeze.
Kuhusu cv na mawasiliano yangu yapo inbox